Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Mkuu umeongea kwahisia za kinafiki hongera sana, kwanza naamini hao vijana walikuwa wamekunywa viroba maana maeneo ya soweto, iyunga ,mafiati ndo soko kubwa la pombe aina ya viroba tena pombe hiyo nyingine ilishapigwa marufuku kutoka zambia wao wanabugia tu. sio akili yao ni viroba tu vikiisha kichwani hawazomei tena na mwisho wa viroba ni tar.25 oct.
 
Watu wa moon bay mmenipa raha, yaani mnamyoshea Magufuli vidole vya peoples power lakini yeye anashangilia. Kazi kwelikweli
 
Kijana
Nyani haoni kundule. Take care.
 
Kwenye taarifa ya habari saa mbili nimeshangaa kuona maandamano ya magufuri kuelekea uwanjani.polisi walipiga marufuku maandamano nchi nzima lakini leo sijaona polisi wakipiga mabomu haya maandamano yasio na kibali
Rais wa nchi na wafuasi wake hawapigwi mabomu ya machozi hata siku moja. Magufuli ni rais wako, penda usipende huyu ndio rais wako na polis wanajua hivyo. Vibaka, wanywa viroba, na wajinga wajinga wengine ndio wataishia kupigwa mabomu. Huo ndio ukweli mchungu na lazima ukubali. Angalia hata vidole vyako, havilingani lakini vyote ni vidole. Mtaisoma namba. #HapaKaziTu
 
View attachment 281427
hawa vijana wanamuonyeshea Magufuli alama ya ✌✌,kweli watu wamechoka

Wanyooshe vidole 2, 3, 4 haijalishi! Wanyooshe hata vidole vya miguu #hapakazitu Magufuli ndio rais wao. Naomba unitafute tarehe 28 October au weka kumbukumbu ya hii post. Nakuambia na amini ninachokuambia Dk. Magufuli ndio rais wa Tanzania. Najua kuna watu humu watapinga sana lakini huo ndio ukweli na utabakia kuwa ukweli mchungu sana kwao. Ni bora mkaanza kujiandaa kisaikolojia mapemaaaa.
 
He never used to such long talks and speech giving, and so kukaukiwa sauti ni jambo la kawaida sana, it's not an issue.
Ila kuhusu afya yake naomba nisitie neno.

Tatizo la mgombea wetu, ameingia kwenye kampeni kwa pupa. Be strategic mheshimiwa. Isikimbize sana kivuli chako hutokitangulia hata siku moja
 
Leo ndio ilikuwa siku ya ufunguzi wa kampeni za Jimbo la Tunduma mjini,Tofauti na siku aliyokuja Mh Pombe Magufuli,ambapo watu walisombwa kwa malori..leo watu wamekuja kwa umoja wao na hiyari yao..kwa uwingi na kwa mamilioni.Kampeni hizo zilizinduliwa na Mh.Silinde akimtambulisha mbunge mpya mtarajiwa Mwakajoka

Wananchi wa Tunduma wamemwambia ndugu Mwakajoka kuwa akae tu nyumbani na asipige kampeni ila asubiri tu kuapishwa maana kwao CCM na mgombea wao Frank Sichalwe ambaye si mkazi wa Tunduma bali wa Dsm na Tunduma ameufuata Ubunge tu

[h=2]
[/h]
Mkereketwa akifuraia Mh. Magufuli

Maelfu wakimsikiliza Mh. Magufuli

#HapaKaziTu

Mfuasi wa Magufuli

Mh. Magufuli akutana na Mfuasi wake​

​
 
Ccm hamna jipya,chupa tofauti lakini mvinyo ni uleule,tutawa delete tu oktoba kwa maana hamna namna sasa
 
[h=3]MAGUFULI ASIMAMIA SHOW PEKE YAKE TUNDUMA[/h]

  • Wananchi wamkubali kwa uwezo wake wa kujieleza, sera ,ilani na mipango ya kuleta maendeleo huku akiwa yeye mweyewe bila kuwa na msururu wa watu wa kutanguliza kuhutubia.
  • Ahutubia mikutano mikubwa Laela, Tunduma,Isongile,Vwawa
  • Asema ataondoa urasimu mwingi serikalini
  • Elimu bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne
  • Kuboresha huduma za afya haswa upatikanaji wa madawa
  • Kuboresha malipo pamoja na haki za walimu
  • Anaamini kwa anachokisema kwani amekuwa mfano katika kutimiza wajibu wake.
​

Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa shule ya msingi Tunduma tayari kuhutubia mkutano wa kampeni.

​
Wananchi wa Tunduma wakizingira gari la mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano Tunduma.
​
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Bashiru Madodi akizungumza kabla mgombea wa urais kupitia CCM Dk.John pombe magufuli hajahutubia wakazi wa Tunduma.
​
Wakazi wa Tunduma wakiwa wamefurika kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli
​
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji mdogo wa Tunduma .
​
Ni shamra shamra kila kona Tunduma
​
Hivi ndivyo Tunduma ilivyofurika
​
Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.

Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la tunduma kupitia CCM Frank Sichalwe akitaja mambo ya msingi muhimu ambayo angependa wananchi wa Tunduma wayapate, alisema wananchi hao wanahitaji huduma bora ya afya, magari ya wagonjwa, zimamoto, kiwanja cha michezo, kushoto ni mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiandika hayo mahitaji.

​

​

​

​

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akionyesha msisitizo wa yale anayoyasema kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Tunduma.
​
Hii ni Barabara kuu inayounganisha Tunduma na Rukwa ambayo ni moja ya barabara nyingi nchini zilizojengwa chini ya usimamizi wa Dk. John Pombe Magufuli
​
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa, Mhe. William Lukuvi akihutubia wakazi wa Laela kabla ya kumkaribisha mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kuhutubia kwenye uwanja wa Laela A.
​
Wananchi wa Laela wakimsikiliza mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
​
Mgombea wa Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisali sala maalum na watawa wa kanisa katoliki waliofika kwenye mkutano wake Laela, kulia ni Sister Christiana na kushoto ni Emiciliana, mwingine pichani ni Mhe.William Lukuvi.
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na kijana mwenye ulemavu Joseph mkazi wa Laela mara baada ya kumaliza mkutano.
​
Dk. John Pombe Magufuli akiwapa mikono ya heri madiwani wanaogombea udiwani la Kwela
​

​

​

​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea Ubunge wa Jimbo la Ileje Janet Mbene Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015- 2010 kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kiwanja cha mpira Isongile
​
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Ileje Janet Mbene kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kiwanja cha mpira Isongile
​
Wananchi wa Vwawa wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika Vwawa ,Mbozi.
 
Hahahah.....nimezitizama picha kwa umakini naona wananchi wanamuonyesha ishala ya VEMA. Bila kukosea iyo SIDO, amesomeshwa number leo.
 
Ngoja tusubiri za UKAWA nazo......ila msije sema ni photoshop maana hamkawii.
 
sisi kina gogo la shamba tungemuelewa kama angesema kwamba ni nani aliyeviua viwanda na atawachukulia hatua gani kabla ya kuvifufua
 
Nimeshuhudia leo vijisanii vya chadomo vilivyokwenda kumsalimia Lowassa, hata kunyanyua mkono kusalamiana nao alishindwa kwa dharau na kunata, anaona watamchafua.

Sijaona mgombea urais mwenye majivuno kama huyu mamvi.
 
Watanzania sio wajinga mwambie huyo magufuri harudishe nyumba za Watanzania alizouza.

awissme
 
tinga tinga linamtetemesha mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…