SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kabla ya vita ulikataa kuwa Israel haina uwezo kuishambulia Iran leo hii imetimia umebadirisha gia angani na kuanza story zingine kabisa hii inaonyesha wazi wewe si mtu makini!! Ni bendera hufata upepo!!
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    3.2 MB
Dawa ishawaingia hadi wamezidishiwa dozi
 
m

mimi binafsi sijategemea kama Iran angepigwa kirahisi hivi maana tuliaminishwa kwamba irani huwezi kurusha hata kijiko kikapita, ila sasa hivi anapigwa kila sehem dah aibu hii
Basi upo nyuma sana ya muda unatakiwa ujue hakuna mtu asiyepigika mfano mdogo hapo urusi kila siku anapigwa mpaka moscow na muyukrein ambae hana hata ndege ya maana wala silaha ya maana sembuse israel anayetumia kila aina ya silaha tena ni first class weapons,
Kwa sasa hvi hata mmarekani asijichanganye kwa wahuni wanampiga pale pale washington
 
Izi F-35 ni kwa nchi kama uganda ila sio Iran, zitaisha zote
Nimecheka sana mkuu.

Kwakweli Israel asipokuwa makini ndege zake zitamalizwa kimzaha tu maana Muajemi amewazidi mbali Mazayuni kwa kila kitu.

Hapo kadri siku zinavyozidi kwenda ndiyo Iran anatumia zana mpya ambazo hakuzitumia awali.

Yaani Muajemi kila siku lazima afungue pakiti ya nd,om ana hamu mno na utamu wa Mazayuni 😂.
 
Kati ya Wewe na Netanyahu Nani tumuamini kwa wewe inavyo ona???
 
Hilo Nimitz linapigwa hypersonic moja tu ...
Haya siku hizi ni kwa ajili ya deterrence tu...
show of force.. kwenye vita haya zilipendwa.. labda upambane na Hamas, Taliban n.k... nchi kama Iran hilo ni kopo..
 
Poleni sana anga la Iran bado sana kulicontrol kuna F35 imeisha angushwa huko na Pilot katiwa mikononi.
Mmekuwa kama Wahouthi wao kila siku tumepiga Ben Gulion wakati ni uongo mtupu na wewe sasa unaiga F-35 ulisema imeangushwa na leo tenausema F-35 huo ni uongo mtupu. Anga lote la Tehran liko chini ya udhibiti wa Israel!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…