babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Vishalipuliwa viwanda we mwehu kachambe ulaleHivi nyie watu mnakichaa Iran ana viwanda vya ballistic missiles kila siku vinafanya kazi iweje aishiwe? Na materials ya production anatoa china hivi ni rahisi Tanzanian kuishiwa Korosho? Wakati kila msimu watu wanalima? Kabla ya mwaka Jana alipandisha uzalishaji Kwa 50+ per day kitu kilichofanya US aanze kuleta ***** ***** pamoja na shoga ake zayuni
Waliambiwa waondoke mapema tuDuh waliojirani watapona kweli?
Mjinga huyo hajui zile ndege za Israel zimetifua mpaka chini huko,Bomu la kilo zaidi ya 13000 hajuiNdio utokee mlipuko mkubwa hivyo?
And that is something Israel cannot do alone?.German Chancellor Friedrich Merz:
If Iran does not back down, the complete destruction of its nuclear program will be on the table β and that is something Israel cannot do alone.
He added:
"Israel is doing the dirty work for all of us."
Sio rahisi kwa mtu mwenye umri wa miaka 86 kua na hofu ya kifo, halafu mtu mwenyewe Shia?.Aombe pooo tu yaishee... Maana dah
View attachment 3373853
Angejiweka kifua mbele sasa ili wananchi wasife...Sio rahisi kwa mtu mwenye umri wa miaka 86 kua na hofu ya kifo, halafu mtu mwenyewe Shia?.
Mzee mwenye miaka 86 hana hofu ya kifo, halafu hao wapigania jihad kwao wanaona kufia vitani ni heshima. Hana nguvu kwa sasa za kukaa mstali wa mbele, ndio maana majukumu yake kayakasimisha kwenye Baraza la viongozi 12 Ili waamue watakacho ona ni sahihi bila kusubir ridhaa yake.Angejiweka kifua mbele sasa ili wananchi wasife...
Ndio sawa na kusema kisa mwanamke ni Malaya eti hana wasiwasi na magonjwa...
Soma ujumbe uelewe kwani mtaani ni kama hukoWewe kiroboto unaweza kwenda kuamua hiyo vita??
Kakayangu Iran kitechnology wapo Mbali sana. ,,,Aisee hawa Israel ni mifumo yao ya ADS inafeli ama nini!?
Mbona wanajilipua sana aisee?
Kuna jeshi kubwa lenye vifaa vingi sana ila vya kizamani (vifaa dini) na kuna jeshi dogo lenye vifaa vichache ila vya kisasa kabisa (bora)Usichojua Sasa,
Mpaka vita na urusi inaanza,
Ukraine ndio aliekua most sophisticated military country na mwenye jeshi imara Sana ULAYA nzima
Launchers nyingi zimepigwa, na ndio target ya Israel.Una amini kabisa nchi kama Iran iwe na stock ya makombora ya kupigana kwa siku tatu tu?
Vipi kama nao ndiyo lengo lao hilo kuwataka maadui zake waamini hivyo ili wajae mazima?
Pale ni Ayattollah atoke, paje uongozi mpya.Israel imefanya kosa kubwa!
Kosa la kutaka kuingamiza Iran na kosa la kutaka kuondoa utawala wa Iran.
Strategically alivyoshambulia Israel ndiyo inazungumza hivyo!
Pengie kuundoa utawala wanaweza kukusamehe lakini kuiangamiza nchi hawawezi kukusamehe.
Kutetea Wapalestina mbona hata wazungu wanatetea? Shida ya Iran ni kudhamini ugaidi tu. Ilo ndio kosa lake kubwaMwenzao anapinduliwa yenyewe yapi tuu.
Shida zote hizo anapata Iran ni kutetea Wapalestina.