SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hapo ni siku 7 tu Israel kwisha habari yake. Just imagine hii vita ipiganwe miaka 2 itakuwaje

 
Wanasema israel analipua maeneo ya kijesh na kuangamiza makombora ya irani. Haya yanatoka wapi tena?
Ni kweli Israel ameoiga milliary centers nyingi na facilities nyingi amezipiga so far lakini hawezi kuwa kazipiga na kuzimaliza zote. Itachukua muda kuzimaliza zote

Iran Ina facilities nyingi sana na Ina kambi nyingi. Hata Iran yenyewe pia hawezi kuzipiga kambi zote za Israel
 
Mungu wa Israel amelala usingizi wa pono.

Taifa lake linapelekewa moto.
 
Hii ndio ile kombora lililo enda nje ya space kupunga upepo kwanza kabla halijashuka? Maana kwa.madhara hayo ni balaa
Hapana lile lilikua miscalculated, taarifa zinasema lilienda kuanguka Catalonia

Huenda jeshi la Israel wanaopambana huko Iran walichezea mifumo. Mossad wapo ndani ya Iran kwa kazi pia ya kuharibu hayo makombora, bila hivyo impact ingekua kubwa Sana ndio maana unaona Kuna mashambulizi mengine hayaleti madhara Wala kutua israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…