MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Nifah hivi unaona Iran anafanya vizuri?Ila Iran walitukosea sana kwenye True Promise 1 & 2, kwanini hawakufanya haya wanayofanya sasa ilhali uwezo wanao?
Walijibu kinyonge ndio maana Israel walipata kiburi cha kushambulia na kuua viongozi kila mara. Sasa hivi sidhani kama watathubutu kushambulia tena kiurahisi kama walivyokuwa wanafanya hapo kabla ya kupewa mwana ukome ya sasa.
High technical.From 200 ballistic missile per night to 1 missile, what happen to iran? Au ndio washabondwa kwenye kiini?
Inamaana wanakwenda kuiomba Iran iwe na huruma iache kuivuruga Israel Au vipi !?Mkutano wa diplomasia leo unaendela huko Geneva akiwemo waziri wa mambo ya ndani ya Iran na wakuu wa Ulaya
Tizama habari sio kukaa kama pofu.Jamaa liongo, unaongea kama vile wewe ni insider.
Kaka unataka mimi nikijibu hoja zako? Nikikujibu utafaidika na nini?Nilitarajia kujibiwa hoja zangu kumbe wewe unaendelea na taarabu tu jibu hoja zangu taarabu zako baadaye!!
Mayahudi wa kibuyu mimba na kifude wanapita kimya kimya.Naona kobaz JR mmecharuka wana israel wanapita kimya kimya.
Kila sehemu kwenye vita lazima kuwepo sheria za matumizi ya mitandao kwa tahadhali ya taarifa hizo kumnufaisha adui hivyo kila upande una namna yake kulinda taarifa zake.Mpaka sasa Kwa sisi watu wa kubeti GG imetoka.ila matokeo ni ngumu kupata kwa sababu upande mmoja wanakataza kuchukua picha au video. Lakini kwa muonekano ni wazi ubao unasomeka
IRAN 4 - ISRAEL 2
Inasikitisha sana.Mayahudi wa kibuyu mimba na kifude wanapita kimya kimya.
😀😀😀Hajaongea vizur ila ameongea unachotaman kusikia, mbona muda sana Israel aliomba kuzishambulia hizo nuclear na vitu vyote hata sio kushtukiza
Jehova kavishwa Sanda na Wahuni wa Iran. Kazi kipimo cha utuMungu wa Israel amelala usingizi wa pono.
Mungu wa Israel amedhoofu.
Mungu wa Israel ameshindwa kulinda taifa lake dhidi ya makombora ya Iran.
Mungu wa Israel ni mchomvu na mdhaifu sana.
Siwezi kukulaum maana najua kwa Wafuga Midevu na Majini kama wewe huwezi kunielewa kwa sababu silaha yenu kubwa ni uongo tu. Nakuwekea hapa chanzo cha habari hapo chini najua pia huwezi kuelewa nakushauli tu utafute anayejua kiingereza akusaidie kuelewa!!Wewe ebu nenda kawatafute watoto wenzako kwenye mabanda ya video muongopeane izo story za Rambo.Ivi unajua ndege 200 au unaongea tu.
Endelea kujilizaliza tu!!Ameanza lini kiwa na busara ya kutoshambulia shule au hospital. Vita walifanya propaganda ila sasa aibu wanaipata,wanatamani kumwita Iran wamwambie yaishe ila wanaona aibu kuchekwa.
Jangiri Muoga sana huyuNetanyahu muda huu anafanya press akiwa eneo lililoshambuliwa na makombora ya Iran. Netanyahu anasema all options are on the table.
View attachment 3375888
Kwa hiyo alitengeneza hizohizo,hana zingine, hawezi zitoa?Hizo kaizitoa shimoni hivi karibuni ila nyuma hazikuwepo na zitapigwa ni suala la muda
Si nimeandika hapo wanavyopiga,au hujaelewa!?Sasa hizo air strike ndani ya mji mkuu zinatoka wapi?
Wacha wakung'utane.Kipigi Cha Jana hamjamisikia?