Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Endelea kusubiri meli Airport.Sema kobaz ww huna deni vp umesalenda au tuendelee kula mtori
View attachment 3378463
Jamaa wabishi wale watataka kulipiza tu.Iran aachane na mpango wa kulipiza kwa USA kwa sasa ila achague kibaraka mmoja wa USA ampe kisago Cha liwe fundisho kwa wengine baada ya hapo atulie kujipanga upya
Mkuu tuletee update achana nao haoMkuu nilipokua nachukua updates muda ule Kuna taarifa ilisema makomandoo walivamia na kuondoa hatari kabla ya kulipuliwa ili kutoleta madhara
Nimesoma sasa hivi baada ya hii taarifa kutangazwa imethibitika ni kweli zoezi Hilo lilifanyika kabla ya kulipuliwa
Watu wana akili wewe,ulidhani yatatokea ya Hiroshima na Nagasaki?😄Hakuna hata mwale mmoja wa muonzi wa Uranium uliionekana fordow
Si useme Tu kobazi hahahahahaNasikia mtu kasalenda 😀😀😀😀😀😀
Kelele zote za Pro Iran (kobaz) zimehitimishwa na ndege ya kijanja ya B-2 .. wenzenu wanawekeza kwenye tech nyie mnawekeza kubong'oa misikitini !
Kosa gani? Chambua😄Iran inabidi ajipange upyaa maana kosa alishalifanya mwanzo kabisa
Sadam walimnuke?Endelea kusubiri meli Airport.
Njia pekee ya hao watu kusurrender ni kuwanuke, otherwise USA anapoteza tu resources zake kijinga.
Endelea tu kusikia.Nasikia mtu kasalenda 😀😀😀😀😀😀
Nuclear site zilipigwa zingine since day one Israel alipo Anza mashambuliziHata mimi nashangaa ina maana jamaa walikuja kubahatisha pale? Na vipi kuhusu vingine 8'vinavyosemekana vipo ila havijapigwa na vipi kuhusu radiations baada ya kupigwa?
Mkuu kama ishu unaona SI kweli achana nayo tuu.Kaka acha ku play victim na hayo maneno sijui kuwa irrational sijui nini.
Tuiache hii mada ila sisi sio watoto.
Usitake kufanya kuwa kila unachosema wewe ndio sahihi embu acha hizo mambo.
Case closed.
Ebu nipe shule kiongozi.Sadam walimnuke?
Eeee mionzi inaonekana duuuuuu.Hakuna hata mwale mmoja wa muonzi wa Uranium uliionekana fordow
Mossad mnawasujudia daaahHao massaid watakuwemo mpaka ndani ya jeshi la Iran, yaani mpaka wanaingia sehemu muhimu kama za nuclear