Iran si awamu hii.Kabisa mkuu ata kwenye Mpira ukifanya kosa ndio mwenzio anakuadhibu.
Mkuu vita sio kitu chepesi kuangusha utawala ni ishu nzito tena utawala wa Iran kwa kutumia foreign powers sio jambo jepesi labda itumike nguvu ya ndani lakini kama kinyume chake nyasi zitawaka moto.Nilimuona yupo kimya sana ila ameniheshimisha asubuhi hii aisee.
Kongole kwake.
Swali ni mkamba, wanajua kila kitu au la?Israel – Mossad. One of the most feared intelligence agencies, Mossad is responsible for intelligence gathering, counterterrorism, and covert operations worldwide. It has been linked to high-profile operations such as the assassination of terrorists, cyber warfare, and intelligence on Iran's nuclear program
Hujamuelewa jamaa, mita 60 inategemea na terrain ikoje, na resistance.Acha utani zinaenda deep mita 61, asa mita 20 si hata mabomu ya Israel yangeshafanya shambulizi
Wakuu samahani nilikuwa nimelala vipi B-2 zimefanya yake ?
Iran anapiga bila taget hovyo kabisa.Kama ilivokua kwa israel mabomu yanapenya tuu kama iron dom sijui arraw 3 na thaad kma hazifanyi kazi vilee
kwenye fani yao WANAJUA KILA KITUSwali ni mbamba, wanajua kila kitu au la?
Angekuwa ana uwezo angewaokoa waja wake dhidi ya makafiri.
Hamna kitu hapo.
..hawana intelligency ya maana, so bora kubahatisha targets😀Iran anapiga bila taget hovyo kabisa.
which GOD??Iran destroying a top secret "israeli" bioweapons center is one of the most heroic aspects of Operation True Promise 3.
Yet, due to the world being brainwashed, Iran will get zero thanks for saving humanity from biological terrorism. Which is fine, since the sincerity of the mujahideen makes them do the right thing for the sake of pleasing God, not pleasing the crowd.
una uhakika gani hazijaharibiwa au zimeharibiwa? hizi vita zimejaa propaganda kila upande unavutia kwake, wewe unategemea media kupata habari, kila media inavutia upande wake, ila kitu halisi kinachoendelea huko hujui chochoteNuclear Facilities za Iran zimejengwa underground na hakuna iliyoharibiwa hadi sasa , kwahiyo mwenye Hasara ni Israel mji unachakazwa, na project ya Iran ya kutengeneza Nuclear haijaharibiwa
Then who GOD you know?which GOD??
Nuclear siyo sufuria la makande kwamba ikiripuliwa itajificha kwa propaganda lazima Uranium ingeleta shida na kungekua na vumbi la mionzi hayo maeneo yoteuna uhakika gani hazijaharibiwa au zimeharibiwa? hizi vita zimejaa propaganda kila upande unavutia kwake, wewe unategemea media kupata habari, kila media inavutia upande wake, ila kitu halisi kinachoendelea huko hujui chochote
I know many GODsThen who GOD you know?
Na wew unajuaje kama kuna madhara? Israel ni mweupe tu ndo maana kaenda kulia lia kwa shoga mwenzie wasaidiane.una uhakika gani hazijaharibiwa au zimeharibiwa? hizi vita zimejaa propaganda kila upande unavutia kwake, wewe unategemea media kupata habari, kila media inavutia upande wake, ila kitu halisi kinachoendelea huko hujui chochote