Nani Alikudanganya kuwa Israel inadekezwa? Kivipi inadekezwa? Kwa akili yako ki duchu huoni Iran ilivyo kuwa inataka kutengeneza mabomu ya Nuclear kwa Nia ya kuifuta Israel wewe hilo hulioni? Basi utakuwa zuzu kweli kweli!!Busara inahitajika sana pale, mataifa makubwa yaache kuwa biased na kumdekeza Israeli, yajaribu kuwa fair kushughulikia masuala ya middle east kuna siku mzahamzaha itapigwa nuke pale.
14 wengine wamefyekwa Leo japo sina uhakika na source za habari kutoka twitter mpaka media kubwa Kama Al Jazeera BBC au CNN waki confirmIran Ina nuclear scientist wengi sana mkuu.
Hao waliouliwa hata robo hawafiki.
Pia vinu vya nuke viko salama.
Alichofanya Israel ni kuchelewesha tu process ila sio kuiua kabisa.
Huwa napata shida kuwaelewa! Sijui wao USA hawayaelewi haya kwamba wameshusha kiwango chao cha kuaminika kwa dunia ya sasa?!Trump na USA hawaaminiki tena. Walimwingiza chaka mzee putin kwa kuandaa mazungumzo ya amani. Russia ikashambuliwa kwa drone na kusababisha hasra kubwa ya ndege kama 40.
Wamemwingiza tena chaka Iran. Mazungumzo ya Nuc, israel wanaishambulia iran.
Hawezi kuaminiwa tena.
Mkuu nimekupata, pia naomba kujua kama zild vita za miaka za 1960-1970 israeli na mataifa ya kiarabu hasa ile ya six day war kama pia israel ilipata supprt toka west.Acha kubadilisha maneno siku ya kwanza ya shambulizi la Israel mlidai mifumo yote ya ulinzi na kurushia makombora ya Iran imeharibiwa haiwezi kujibu au sio nyinyi?
Tukiacha ushabiki Iran ilipigwa pigo la kushutukiza na lisilo tarajiwa kabisa hivyo ilikuwa ni razima wajipange kwanza ndo waanze kufikiria mengine.
Israel ilipigwa ambush ya kushutukiza na hamas lakini iliichukua siku 2 kuajipanga na kuanza kujibu mapigo,ina maana Hamas ingekuwa ni jeshi kamili lenye miundo mbinu na silaha zinazo hitajika wenda wangeiteka mpaka Jerusalem ndani ya mda mfupi.
Uliliona Shambulizi la Ukraine kwa Urusi kwenye jimbo la Kursk iliichukua wiki 2 kuanza kujibu mapigo ya kuwarudisha nyuma wanajeshi wa Ukraine.
Hii vita ni ngumu sana kwa pande zote na ndio maana jana Israel imeiomba Marekani hiingilie kati Marekani ikakataa.
Nanusa harufu ya Udini kwenye uzi huu
Muslims vs Christianity
sijaelewa ani kampiga naniNashinda nalia kwa huzuni. Why Mayahudi mnatufanyia haya? Why?kwa nini?
View attachment 3370046
Pentagon equivalent yao imeliwa unataka ushahidi gani tena?Mchicha Pori Embu tulia kwanza leta evidence inayo onyesha military infrastructure iliyo lengwa?
Baada Ya Miaka Kumi Utashangaa Irani Kakopy technology ya Ya Iyo Sukhoi 35Hali ikiendelea kama ilivyo Iran itaanza mashambulizi ya angani kwa kutumia ndege za kivita aina ya Sukhoi Su-35 ilozinunua kutoka Russia na kuzipokea miaka miwili ilopita.
View attachment 3369522
Ndege ya kivita ya Russia Sukhi Su35. Picha na AP
Ndege hizo zipo katika kituo kipya cha jeshi la anga la Iran liitwalo Eagle -44 na kituo hicho kipo katikati ya milima kusini mwa Iran katika jimbo la Hormozgan kilomita 100 kutoka katika mfereji wa Hormuz.
Manunuzi ya ndege hizo yamo katika mkataba maalum wa kistrategjia kati ya Iran na Russia ambapo Iran imekuwa ikipeleka Russia makombora yajulikanayo kama Shaheed ambayo Russia yatumia katika vita vyake na Ukraine.
View attachment 3369525
Marubani wa IRGC wakiwa na moja ya Su-35 chini ya ardhi katika kituo cha kijeshi cha Eagle 44. Picha na Jeshi la Iran.
wamejaribu kulipua south Pars gas field ambayo ni storage kubwa ya gas duniani..Israel wamelipua bwawa na mabomba ya majitaka kupitia mabomu ya kutegwa,maji yanatiririka mitaani,ila udhibiti unaendelea, wayahudi wameishiwa
Unachanja Tu hahaha mm nilikua guard night shift jana nikawa natafuta wa kubishana nae ili usiku uwai kuishaLeo nimeandaa gomba ili nishuhudie ayatollaah atakavyoisasambua tena Israel
Tatizo ni Netanyahu!Israeli ikubali kushindwa kulipua kinu kikubwa cha nyuklia pale Iran.
Pia Israeli imeshindwa kusababisha regime change ndaniya Iran.
Tunaona ila kwa mbali na wengi wanao record ni wapalestina wakiwa mbali, UNAFKIRI hakuna CCTV camera ama mashahidi wa karibu? Wapo ila hutaona hizo sababu zinaminywa.Mbona picha tumeziona mkuu mbona video za vimondo vya Iran vinavyo tua kwa spidi ya mwanga tumeona
Israel haijawai kupigwa Kama alivo pigwa safari hii Kwa mala ya Kwanza ana experience maumivu ya kufukua vifusi ndani ya ardhi yake
But kivita mpaka muda huu kwa mapigo aliyo pigwa Iran, . Israel Bado anaongoza kama ni football ni 10 kwa 1
IRGC ni jeshi la Ayatollah na ndio lenye meno. Hao Artesh kiuhalisia ndio jeshi la nchi, ndio lilikuwa jeshi la kiongozi wa Iran (Shah).Halafu wananafikina wao kwa wao, nasikia hao IRGC ndio walimuondoa uhai Ibrahim rais na wanatumika sana na magharibi