Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mambo yanabadilika brother

Chumi za nchi nyingi za Asia zinakuwa kwa kasi na wana mtaji wa population.

Mambo hayatakuwa the same miaka 30-50 ijayo.

Asia has overtaken Europe as the world's second-richest region,according to an annual report by the Boston Consulting Group (BCG). Hii ilikuwa 2015 tayari unaona dalili zinaanza

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hivi huwa mnasoma mnachoandika kabla ya kupost?Eti hata wao walijua ni superpower,unadhani huko Syria hajaujua uwezo wa Russia?Fuatilia ujue kwanini Syria anamuunga mkono Russia!Us alikimbizwa huko Syria na alishindwa kumuondoa Assad Kwa sababu ya back up ya Russia!
 
pro russia wote humu wanatukana, ndege wafananao wanaruka pamoja
Uongo mkubwa huu, Loh!

Nawaona pro russia wengi tu humu hawatukani halikadhalika ProNato. Hii point haina tofauti sana na ile ya udini

Na Kama tukisema tuhesabu idadi ya matusi basi nina uhakika ProNato mtatia fora.

Mnacheza 'faulo' alaf mkichezewa mnalia. Acheni utoto

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ulipotelea wapi [emoji3]
Majukumu Mkuu,ukiona niko hapa muda wote ujue ratiba zingine zinaruhusu[emoji3].Hata hivyo nilikuwa kwa nyuzi zingine za mada hii hii,wewe si umeamua kupiga kambi kwa uzi huu 24/7.Pole na msiba mzito wa kuzamishwa Manowari yetu pendwa [emoji3]
 
Reactions: Tsh

😃😃
Mm nipo hapa 24/7 huku napiga piga story na vijana wangu nyumbani. Nipo free hadi J3 ndo mihangaiko itarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…