Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nahisi anayefuata ni kati ya hawa
Poland
Latvia
Estonia
Lithuania
Au Finland na Sweden kama watataka kujiunga na umoja wa waoga kaskazini mwa atlantiki.

Vita kamili bado. Ukraine imeshateketea. Ikija vita kamili aisee sijui itakuwaje

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kaka una maneno mengi lakini habari chache. Utajiri wa Marekani unatokana kwanza na idadi kubwa ya watu, eneo kubwa, kiasi kikubwa cha malighafi ndani ya eneo lake na utaratibu wa uchumi unaohimiza kutafuta faida katika matumizi ya maliasili. Pamoja na utaratibu thabiti wa sheria na siasa ya kupokea watu kutoka pande zote za dunia wakiwa na sifa zinazonekana kufaidi Marekani.
Tofauti na nchi kama Urusi ambako kuna pia maeneo makubwa , malighafi nyingi na watu wengi kadhaa, lakini historia ya udikteta, kutoheshimu sheria, rushwa ya kupindua na msimamo wa kuwa na wasiwasi kuhusu wageni na ubaguzi mkali.
Maneno ya Libya acha, fanya homework kwanza. Kampuni gani za Marekani zinachota mafuta Libya? Zina sehemu gani ya soko??
 
hakuna hio putin km anataka ukraine mwache aendelee kuwaua aibebe ukraine yote, km aljjua ataibeba ukraine bila mkono yake kuwa na damu kachemsha, putin aendelee tu kupiga kazi abebe ukraine yote maana uwezo huo anao
Sasa mbn mnamsusia kidizaini mkuu. Putin haofii kuua as long as mbwa ashampa jina baya anamuua tu.

Kinachonisikitisha wanaomshangilia zele wanaangalia kutokea mbali.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naona George' betram na wa kupuliza mnapiga spana mpaka huku .....duhh ...ila pro nato wa huku sio vilaza kama wale wa kule vichwa vigumu .....

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] Hawa wa huku naona 'reasoning capacity' yao Ina angalau.Lkn sitashangaa kesho Moshi mzito wa hapo kyiv ukawachanganya Hali Yao ku-reason ika-deteriorate ajabu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] wkt huo huo baadhi ya Nchi za NATO zimeanza kuchoka na demands zao mbali,juzi kali-demand $7bil/per month kulipa salary za wafanyakazi mbalimbali, wazungu wanajiuliza hivi hao wafanyakazi Ni wa wapi na hii Vita?[emoji16][emoji16]
 
Sasa mbn mnamsusia kidizaini mkuu. Putin haofii kuua as long as mbwa ashampa jina baya anamuua tu.

Kinachonisikitisha wanaomshangilia zele wanaangalia kutokea mbali.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
sio kumsusia mkuu that is how it is, kuna vile russia inakua painted hasa kwa kwa rafiki zake ambao wengi wanashea borders hasa wale wa central asia, kuna sku putin ktk moja ya speech zake alsema kuwa urus haina no ovu dhidi ya maeneo ya majiran zake ila ukraine ni issue tofauti,
 
Thousands attend ‘Not in My Name’ rally in the Serbian capital, protesting their government’s UN vote against Moscow

Belgrade, April 15, 2022 © Sputnik/Aleksandar Djorovic
Several thousand Serbs gathered on Friday evening in downtown Belgrade, carrying Russian flags and declaring the countries' “brothers forever.” The rally, dubbed ‘Not in My Name’, protested last week’s vote of the Serbian envoy to the UN to suspend Russia from the Human Rights Council, which President Aleksandar Vucic said came only after immense pressure from the West.
 
Sema unaona sababu gani kumwamini??
 
Marekani hana demokrasia wala hajali haki za binadamu. Taifa dhalimu sana hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…