Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Unakimbia swali. Tuendelee ukijibu maswali yangu:Haya tuanzie hapa. Unatakwimu sAhihi juu ya uhAlifu wA kivita alioufanya marekani na hAjashtakiwa.
Lugha za watu hzo jamani msameheni kaelewa huwezi weka did na tookdidnβt took?!! cβmon man
Comedian anadhani kila kitu ni vichekesho tu hata katika umakini wa kuiongoza nchi yake [emoji848][emoji847]
Ha ha ha.....Kwanza anga lote la Ukraine lipo chini ya NATO, kwa teknolojia gani ya kijeshi waliyokuwa nayo Urusi mpaka waweze kuishambulia Kiev? Hivi huyu jamaa anatuchukiliaje sisi?
Uongo mwingine bwana!
Walishajitangazia ushindi baada ya kuona urusi anaondoa vikosi,Hawakujua anarudi kujipanga upya[emoji4]America warned Kiev few days ago but as usual i think they didn't took it serious.
well milio imesikika, Mkuu russia amekaa baharini huko anarusha zile missiles popote litakapotua ndivyo vita vya mrusi tunavyovishuhudia kutoka kwa huyu Putini wa mchongo., ameshindwa ground War, hizo za mbali mbali zinakushtua wewe tu kama mwanamme aweke Nanga aingie ndani ya miji ya KyivTokea jana usiku milipuko isiyo koma inaendelea kusikika ndani ya jiji la Kiev huko Ukraine.
Duru zinatabanaisha maeneo yahifadhio silaha na viwanda vya silaha ndiyo yanayolengwa zaidi.
Eti bila vilainishi daah [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo wenye roho za kishetani,wamagharibi wao huthamini zaidi vitu kuliko utu. Yaani Urusi aumie kiasi hicho kisa meli moja!!!
Kwa akili zako umeona imemuathiri nini kwenye mashambulizi yake?
Mwenye hasara ambayo hamtaisahau lau mngekuwa na ubinadamu ni nyie kupoteza wanajeshi zaidi ya 1000 waliojisalimisha huku wakiwa hawajui nini watafanywa!!
Hivi huo mnaemwita kichaa angeamua kuwatwanga risasi wote au wabakwe bila vilainishi mngefanyaje!?
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Russia is harassing NATO π€£π€£π€£Russia is increasingly harassing NATO planes near Polish airspace.
βThe current situation brings more tension and risks and is certainly more dangerous for the entire NATO community,β said the Head of the Polish Air Force Directorate General Ireneus Nowak via video conference.
Nowak said that Russian Su-35, Su-27 and MiG-29 aircraft flying from Belarus have approached Polish airspace several times since the invasion of Ukraine.
"It's a fairly recurring situation," Novak said. Fighters are dispatched two or three times usually within 24 hours, which is a lot.β
Nowak said Russia keeps its airborne early-warning and control aircraft, the A-50 Perev, in the air at all times. Russian air defense systems also track NATO aircraft.
Even as NATO increases the number of aircraft, Russia is testing the airspace and NATO response time. βThey are harassing us. They are forcing us to send the planes, forcing us to intercept them,β Nowak said.
NATO Scrambling More Often in Response to Russian Jets Near Poland | Air & Space Forces Magazine
Russia is increasingly harassing NATO aircraft near Polish air space, reinforcing the need for both Polish and NATO air policingwww.airforcemag.com
Russia wanashinda, vinginevyo ukraine aamue kukaa na kuongeaHuenda urusi isishinde hii vita,au ikashinda,vyovyote vile Ila nchi ambazo zimeichangia silaha Ukraine ni nyingi Sana zikiwemo zenye nguvu Kama Ujerumani,Ila bado urusi hajachangiwa chochote mpaka sasa,na kama kipo ni kiduchu Sana, mpaka baadhi ya nchi zimeishiwa silaha za kuchangia kama Ujerumani Russia ni taifa kubwa.
Watu zaidi ya 900 wamekufa uko kyiv,Anga la Ukraine si linalindwa na NATO lakini?
Sasa kama commedian leo ni siku ya 60 takriban ameshindwa kumtoa Kyiv ni nchi gani tena Russia atamtisha kwa vita???Wamuue comedian kazi iishe
I'm super serious maaaan!Watu zaidi ya 900 wamekufa uko kyiv,
Afu unaleta habar za anga kulindwa na NATO?
Are you serious mkuu[emoji848]View attachment 2190724
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimeshaumana tayar,[emoji16][emoji16][emoji16] Hawa wa huku naona 'reasoning capacity' yao Ina angalau.Lkn sitashangaa kesho Moshi mzito wa hapo kyiv ukawachanganya Hali Yao ku-reason ika-deteriorate ajabu.
Ongezea na swali hili nikujibu vizuri!Tafadhali jibu maswali usikimbie:
wewe mwenyeji wa nchi gani ambako kila raia yuko huru kumshtaki raisi wa taifa (na amiri jeshi mkuu)?
Yuko huru kupeleka mahakamani kila taasisi ya serikali ya ngazi yoyote akiona ina vunja sheria au haki zake?
Yuko huru kushtaki maafisa wa polisi waliomtendea vibaya kinyume ya sheria?
Ha ha ha.....[emoji16][emoji16][emoji16] wkt huo huo baadhi ya Nchi za NATO zimeanza kuchoka na demands zao mbali,juzi kali-demand $7bil/per month kulipa salary za wafanyakazi mbalimbali, wazungu wanajiuliza hivi hao wafanyakazi Ni wa wapi na hii Vita?[emoji16][emoji16]