Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama umebadirika sawa., Na akili zimekurudi.. Maana wewe ndio ulianza hizo lugha ....
 
Propaganda ni section muhimu sana ndani na nje ya uwanja wa vita, recconaissance isipotumika vizuri lazima vifo vya askari viwe vingi kwelikweli. Frustration zinazotokea mstari wa mbele zisome tu kwenye media sio mchezo.

 
Russio sio Zimbabwe
 
Umefanya research au umeropoka tu brother, yaani kabisa unasema nchi mbalimbali duniani 😂😂😂😂 unachekesha sana. Harafu fahamu kuwa propaganda ni silaha na ina pande mbili uwongo na ukweli unaoumiza. Propaganda inaweza kupikwa kutokana na agenda ya kushamirisha jambo litokee. Kwa mfano, neno ( ubeberu ) ilikuwa ilikuwa ni propaganda ya kashamilisha sera ya ujamaa, ndani ya uwanja wa vita inaweza ikajengwa propaganda kama ( fake retreating ) kumuhadaa adui kisha kumshambulia kwa kasi. Mabeberu tunawachukia bure tu lakini wako smart sana mambo yao hawababaishi maana ushindani ndio jadi yao. Tunaitaji therapy kutibu ( inferiority complex) ili tuepuke unyonge kuona tunaonewa na mabeberu badala ya kushindana vizuri.
 
Wangapi wameshayatapika !!??
 
Sijaona hoja za maana za Russia na Putin has more to loose than to gain from this war
 
Tumpe muda MKUU naamini PUT IN wanajua kipi wanafanya nanini wanatakiwa kukifanya nakwawakati gani wakifanye
Hao FINI na SWED hawatajiunga na NATO hiki kipigo walikua wanatumiwa watu salamu !!!
Asee watajiunga na NATO ili kujikinga na chokochoko za warusi
 
Kwani tanzania wanatawalaje. Zanzibar watoto wawili wa rais wanatawala huku bara wengine wamepewa uwaziri hata uwezo hawana
 
Jeshi la Ukraine Mariupol uzalendo mtupu, wamegoma kusalimu amri pamoja na kuzungukwa na adui. No retreat no surrender ,we shall fight to the last man standing.
Maneuver warfare, hii mbinu moja wapo kwani supremacy ya vikosi vya urusi vitakuwa challenged, kukataa kusurrender kunamaanisha kitu probably wamehakikishiwa msaada na vikosi vya silaha za msaada. Inaonekana wazi askari waliogoma bado wake kwenye defence line na fighting unit zao zinaweza kujibu mapigo. Kama wangekuwa wamezingirwa it means wanakuwa kwenye killing zone haina haja ya kuwaambia wajisalimishe wao wenyewe wataweka silaha chini. Vita ina level tatu yaani physical level, psychological level na analytical level, under this section makamanda wao watakuwa wamefanya analysis na kuona kuwa wanaweza kuendeleza mapigo licha ya kuzidiwa wingi wa askari. Personally, nawasifu askari wa ukraine ni wanaume haswaa wenye pumbu za chuma sio mchezo kuhimili supremacy ya jeshi kubwa kama la urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…