wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Kweli kabisa mkuu na ndio maana ukraine inashinda Vita kila siku na soon wanaelekea Moscow kuiteka. Putin anahaha Sana kumbembeleza Zelensky astopishe Vita.Russia hamna kitu pale.Hii midoli imeshindwa kusambaratisha uwezo wa jeshi la anga la Ukraine.
Kwa hiyo hapo unajiona umeongea point ya maana sio?Wewe nilikupa siku tatu achilia mbali siku moja kwamba Azov wala Denis hamtawakamata. Je mumewakamata? Kwa aibu hutajibu hii quote utajifanya hujaiona kwa aibu. Pole sana. Bado hamjawakamata? Neter tulia ujifunze vita inavyoenda.
Unakumbuka?
Mimi ni figganigga. Nyie mnafanya propaganda za kuwadanganya Watanzania. Eti Azov wamezungukwa Mariupol. Siku moja tu wanadakwa. Sasa wiki inaisha. Huo mzunguko wa ukutiukuti. Ngoja niwaache muendelee kujiliwaza kwamba hii Vita Urusi watashinda. Hawa Urusi wataondoka kama walivyo kuja.
Mwanzo mlisema mtaikamata Kyiv ndani ya Siku 3, sasa miezi miwili imeisha hata kuikaribia bado.
Mkadai atakayeisaidia Ukraine mtamlipua, nchi ndogo kama Poland inaisaidia Ukraine, hamjathubutu hata kufyatua risasi hewani. Acheni kudanganya watu. Urusi wana Vifaa vingi vya Jeshi lakini hawana mbinu wala maarifa ya kuvitumia.
Baada ya kuona Warusi wanakufa sana Ukraine, Urusi ikabidi ikodi wanajeshi wa Libya na Syria ili waende Frontline wafe. Sisi tunataka Wanajeshi wa Urusi ndo waje Frontline. Mnaogopa nini? Mnaogopa Ukraine nchi ndogo hivi?
Vita ni akili sio Maguvu. Ngoja niwaache muendelee kuliwazana na kudanganyana.
View attachment 2199485
View attachment 2199484
Nambie ngapi Sukhoi -57 zipo operational vs F-35? Halafu unasema output hakuna? Labda ulimaanisha Sukhoi.Achana na google mzee, sikuzote hizo data zipo kumpa US kichwa lakn uhalisia ni hakuna, hizo F series ni moja ya project za hovyo ambazo nilitumia pesa mingi afu output hakuna
What Went Wrong with the F-35 Fighter Jet?
The most expensive fighter jet in history is also one of the least reliable.www.thomasnet.com
Hio F-35 haina ubavu wa kwenda na sukhoi 57 ila waliipamba sana ukweli haina maajabu. Ni sawa na sim za mchina wanajaza specification tofaut na uhalisia.
Nimeona hiyo kwa kauli zake na wanao fiance kuona hawawezi kuimudu hiyo vita, ziada za Binken na Austin, zinaelekea hukoRais wa UKrane ameomba vita iishe na kuomba kuonana na Rais Putin ,,amekiri kushindwa na kuleta soluishi la kudumu kwa watu w alande zote, Source,BBC ,Star Tv
Na hata Guteresi wa UN naye anatumika na team NATO, kwenda kupoza mamboRais wa UKrane ameomba vita iishe na kuomba kuonana na Rais Putin ,,amekiri kushindwa na kuleta soluishi la kudumu kwa watu w alande zote, Source,BBC ,Star Tv
Ww jamaa mbona una hasira sana na watu wenye mtazamo tofauti na ww?Wenzako walishaeleweshwa wakaelwa, wewe ulikuwa wapi?
US haihitaji mafuta ya Russia kwa sababu yeye ndiye mzalishaji mkubwa zaidi wa mafuta duniani na hata kama hayamtoshi majirani zake Canada na Mexico wanazalisha mafuta mengi tu anayeweza kununua.
Halafu mbona mafuta na gesi ya Putin havijawekewa vikwazo.
Achana na propaganda nyepesi na uchwara.
Kwamba haupo?Huo ni ugonjwa wa mchongo kugoka U.S.A
Mmh, kumbe ni moon tena, sio kumpiga Putin?NASA’s Mega Moon Rocket, Spacecraft Complete First Roll to Launch Pad - NASA
NASA’s Space Launch System (SLS) rocket with the Orion spacecraft atop arrived at Launch Pad 39B at the agency’s Kennedy Space Center in Florida Friday inwww.nasa.gov
Kawapa ukweli wa mambo.
Ww jamaa mbona una hasira sana na watu wenye mtazamo tofauti na ww?
Kwani mm ndio nimetoa hiyo habari mpaka unikataze kufanya propaganda si chanzo kiko hapo nimekiweka au?
Maana nimekufatiria kwenye coment zako nyingi ni mtu unaonekana una uchungu na wamagharibi kuliko hata wao wenyewe kiasi kwamba ukisikia mtu yuko kinyume na wamagharibi unatamani kupasuka.
Huo uchungu unao uonesha kwa nchi za watu ambazo hata hazitambui kama kuna mlala hoi mmoja kutoka nchi masikini anatoa mapovu kwa ajii yetu, nadhani ungeulekeza kwa nchi yako iliyo jaa viongozi wa hovyo walio ifanya nchi yako kuwa masikini kwa miaka zaidi ya 60 ungeleta mabadiliko makubwa.
Marekani angekuwa anajitosheleza mafuta angekuwa hangaika kuvamia mataifa mengine na kupora mafuta yao?
Eti hakuna vikwazo vya mafuta?
Marekani na Uingeleza walipiga marufuku ya mafuta ya Urusi umesahau au unajitoa akili?
Nambie ngapi Sukhoi -57 zipo operational vs F-35? Halafu unasema output hakuna? Labda ulimaanisha Sukhoi.
Hii ni nchi yako, ila hupajui hata serikari inaponunua siraha, achilia mbali mazoezi ya Kijeshi.Anayeifundisha Tanzania kuvua ni US, Russia haina mchango wowote kukuendeleza.
Jeshi la Tanzania huwa linafanya mafunzo ya pamoja na majeshi ya USA na China.
Mbwa wa kukamata dawa za kulevya ili msiwe mateja wanafundishwa na USA.
US anatoa hadi misaada ya kutahiri magovi ili kupunguza maambukizi ya Ukimwi.
Mafunzo ya kupambana na majangili hutolewa na US na UK.
Scholarships nyingi zaidi nchi ni kutoka nchi za NATO.
Fahamu kwanza historia ya kanisa la kiothordox , mafungamano yake na Urusi ya Sasa.Hapa Tanzania ilikuwa kama nongwa anapoonekana hayati Rais Magufuli akizungumza na watanzania kupitia mimbari ya Kanisa la Mungu wa mbinguni.
Lakini watu wenye akili kubwa huko duniani wameuchukua utaratibu huu wenye baraka na kuanza kuutumia.
Rais Putin amefanya hivyo katika Kanisa analoabudu la Orthodox.
Maaskofu wa Kanisa hilo wameibariki operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine na wamemtaka Rais Putin aikamirishe haraka.
Dominica njema!
Hii niliona live through aljazila hiyo press aliifanyia railway stationEndelea kuteseka hapo nanjilinjiView attachment 2199431
Kanisa la Orthodox la Ukraine lilivunja mahusiano na kanisa kuu la kiothordox la kirusi.Ajabu ni kwamba kanisa hilo hilo LA Orthodox ndilo liko Ukraine.
Askari Wa Orthodox Wa Ukraine wanaua Askari Wa Orthodox Wa Urusi.
Askofu Wa Orthodox Urusi anabariki uvamizi Wa Urusi, na askofu Wa Orthodox Wa Ukraine anabariki askari Wa Orthodox Wa Ukraine waue askari Wa Orthodox Wa Urusi.
!!!!!!!!!?????
Does it make any sense?
Kwa sababu Kuna Mataifa yenye nguvu kabisa duniani na maamuzi yao hayaingiliwi na Taifa linguine lolote(Total sovereignty)Huu ujinga wa kwamba kuna taifa baba, mama, mtoto, mjomba na shangazi huwa mnajifunza wapi ??
Hata Sudan ya Kaskazini sio baba wa Sudan Kusini.