Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
KabisaaaaDamn!!!! (In Negan's voice)
Mkongwe, tengeneza ID nyingine kwaajili ya huu uzi, hii ID yako inaheshimika sana humu jukwaani, huu uzi utakushishia heshima yako uliyoitengeneza kwa muda mrefu.
Halaf watu hawalioni hiliRussia yupo mmoja tu wao wameungana karibia mataifa matano but wamemshindwa Kwa Russia..
Ulichokiandika %kubwa ndo uhalisiaBinafsi baada ya wiki karibu 9 za huu mzozo, nimejifunza kuwa.
1. Urusi hajafanya Full scale war pale UKRINE.
2. NATO bado hawajafahamu akiba halisi na hata ukubwa na hatari ya Silaha za URUSI.
3. USA na UK wako tayari kuingia vitani na URUSI ila wanachama wengine wa NATO wako mguu nje mguu ndani.
4. Kitendo cha USA + NATO kuingia rasmi vitani itasafisha Njia CHINA kuwa new SUPER POWER.
5. Kuna kila sababu NYUKLIA itatumika haina namna ambayo URUSI anaweza kujihami dhidi ya NATO bila kutumia NYUKLIA.
6. UKRINE inakuwa uwanja wa mapigano bila wenyewe kuchukua hatua za haraka basi taifa lao linaweza kuwa historia tu.
7. Kadiri mzozo huu unavyosogea ndivyo URUSI anazidi kukaza kamba na Ugumu kwa UKRAINE unazidi kutamalaki.
8. POLAND itakuwa nchi ya kwanza ya NATO kupigwa na URUSI ikiwa NATO watajiingiza rasmi vitani.
WatapingaRuble is getting stronger naona!!View attachment 2205091
Namtosa tu,hata vitabu vya dini, maadili ya kitanzania hayaafiki.Kwa mfano ikatokea baba yako, mjomba wako, shangazi yako au mtoto wako akiwa shoga utafanyaje?
UmemalizaUlichokiandika %kubwa ndo uhalisia
Kwa kuongezea hapo, Russia kwasasa anatumia wapiganaji wa majimbo yaliyo jitenga na Ukraine kupigana na majeshi ya Ukraine huku small scale ya Russian army kama wanchenchen wakishambulia kama back up tu na siyo frontlines. Ndo maana husikii hawa jamaa wakifa au kukamatwa hovyo hovyo zaidi ya kuwaona wakipiga self na mazoezi nchini Ukraine.
Pia inaonekana wanajeshi aliopeleka urusi kwenye operation hii ni wale wa kiwango cha kawaida kabisa size ya jeshi la Ukraine.
Halafu wale high trained military personnels wamebaki urusi kwajili ya kujipanga na vita kamili endapo kama hii operation ikigeuka kuwa vita baada ya NATO kujiingiza moja kwa moja.
Kwanini nadhani hivo?; ukiangalia picha za wanajeshi wa urusi walio tekwa au kuuawa wengi wao ni vijana wadogo sana aged kati ya 17 to 24 yani kibongo bongo unaweza kusema ni wale service men(kuruti walio iva) walio rundikana makambini wakisubiri ajira za mama za JWTZ.
Ukitaka kuona kuwa urusi haijatumia hata 10% ya jeshi lake halisi kwenye hii operation subiri gwaride la siku ya ushindi(victory day) on 9/5/2022 hapo ndo utajua Russia alijua na anajua anachokifanya.
Tatizo watu mnakosea sana kulinganisha maamuzi ya kijeshi au operation ya nchi kubwa kama Russia au USA na operation za polisi wenu wa kibongo za kupambana na vibaka pamoja na wezi wa pikipiki Hapo DSM.
Urusi siyo Zaire na Putin siyo IGP Siro.
Nalog off.
Hehe sawa ngoja tumngojee ila MKUU Galip QiL tutolee mwanga kidogo kama linafahamikaNgoja tumwite mkuu T14 Armata aje kutuelezea hii military tech...najua atachambua vizuri zaidi kama akiweka ushabiki wa Marekani pembeni[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Unacheza makida wewe...Si uamue wewe sasa??? Unafikiri Rais wa Urusi ni Kama Mkiti wa serikali yako ya Mtaa...Someni muelewe mambo hayaPutin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.
Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.
Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.
Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
I think its time tujikite kwenye mada tuache matusi tunajidhalilisha sisi wenyewe na tunaondoa maana ya Jamiiforums the home of great thinkers kuna members na baadhi ya waandiahi wa habari wanakuja hapa kuchota madini na kuyapeleka sehemu nyingine so tuache matusi jamaniMatusi mnayaanza nyie, mkianza mtajibiwa ipasavyo
F-35 mradi wa hovyo atakaebisha na abishe tuuuuKuna mtu tulibishana sna humu kuhusu huu mradi ila alinipinga balaa ikabd nimwache hwa watoto wa NATO ni wabishi sana sikuhz sinaga time nao.
Namtosa tu,hata vitabu vya dini, maadili ya kitanzania hayaafiki.
Very fact mkuu Dunia inahitaji Russia mwenye nguvu kuliko USA mwenye nguvu maana USA ana miause Sana nguvu zakeFact tupuuuuuu
Hakika MKUUVery fact mkuu Dunia inahitaji Russia mwenye nguvu kuliko USA mwenye nguvu maana USA ana miause Sana nguvu zake