Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Yaani superior general akuoneshe mguu wewe mkazi wa mloganzilahabari iliyotolewa ni kwambajamaa alijeruhiwa mguu akawachukuliwa kurudi rusia kwa helcopter ya kijeshi kwa matibabu, na ikasema kabisa majeraha hayakuwa makubwa.
kukanusha habari hii kwa umakini jamaa anatakiwa kutuonyesha miguu yake.
sawa?
Ila Comments za wabongo nouuuuuuma sana... Wamebaki Ving'ast tu huku JF kuendeleza mapambio...Jana usiku nikiwa nimetulia nilikua napepesa macho instagram nikakutana na habari kutoka Bibisiii nikaclick comments pale aisee wabongo wamesanuka na propaganda za west.View attachment 2212332
View attachment 2212333
View attachment 2212334
View attachment 2212335
View attachment 2212336
Hapa unaona jinsi hawa watu walivo na hali mbaya sahv wameacha kupost habr za Ukraine kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
Hii Vita imewarudisha nyuma Sana BBC,dw,al-jazeera,CNN etcJana usiku nikiwa nimetulia nilikua napepesa macho instagram nikakutana na habari kutoka Bibisiii nikaclick comments pale aisee wabongo wamesanuka na propaganda za west.View attachment 2212332
View attachment 2212333
View attachment 2212334
View attachment 2212335
View attachment 2212336
Hapa unaona jinsi hawa watu walivo na hali mbaya sahv wameacha kupost habr za Ukraine kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
Wewe unaongelea kishabiki! lakini facts zinakuchapa balaa!Nao wapuuzi tu ,nimegundua wote bure nchi ndogo mkivimba kifua mnawapeleka puta
unaakili sana wengi hawatakubaliana na wwUS sio nchi yakuishi basi tuuu
Safi saanaMabeberu wamempata Putin wa saizi yao...anawaweza kwa vitimbi, mbinu na hila...
Rais wa Zimbabwe aahidi kukopi na kutumia mbinu za Putin (alizozitumia kuimarisha sarafu yake) ktk kuifufua sarafu ya Zimbabwe iliyodidimizwa na mabeberu kwa miongo miwili
View attachment 2208822View attachment 2208823View attachment 2208824
Huyo General alisoma chuo kimoja na aliyekuwa mkuu wa JKT kabla ya mkuu wa jkt aliyetokaJana. Na amepelekwa Moscow. Huyo ni resource muhimu mno. Bado wamo wawili. Mmoja wa USA
Safi saana yani mpaka dear KATUNGE kafurahi saanaThe Armed Forces of Ukraine have regained control over the settlements of Verkhnia Rohanka, Ruska Lozova, Slobidske, and Prylesne in Kharkiv regionView attachment 2209758
Nimemuuliza swali, kama hauna majibu unaachana nalo unaendelea kupost yale mambo ambayo you are good at.Kwanini usilete taarifa hizo wewe!?
Mkuu nifundishe Kutag watu niwe namtag dear KATUNGE wanguUrusi kwa sasa malengo yake yamehamia huko Ukraine mashariki (Putin alibadili gia angani), ila hata huko akikaa vibaya ataangukia pua.
dudus Frank Wanjiru
Mwamaleki
Bwana Utam
Paula Paul
wa kupuliza
T14 Armata
STRUGGLE MAN
lee van cliff
3% yeye mwenyewe pia si ndogo.USA alikua ananua 3% tu ya crude oil kutoka Russia ila ameongeza hapa katikati baada ya kuona hali mbaya sijajua kaongeza ngapi kwa sasa
Ghost of Kyiv yu wapi aokoe jahazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio umegundua leoNao wapuuzi tu ,nimegundua wote bure nchi ndogo mkivimba kifua mnawapeleka puta
Watu wamewasanukia hao MBWA wanawatia spana zakutoshaJana usiku nikiwa nimetulia nilikua napepesa macho instagram nikakutana na habari kutoka Bibisiii nikaclick comments pale aisee wabongo wamesanuka na propaganda za west.View attachment 2212332
View attachment 2212333
View attachment 2212334
View attachment 2212335
View attachment 2212336
Hapa unaona jinsi hawa watu walivo na hali mbaya sahv wameacha kupost habr za Ukraine kabisa[emoji28][emoji28][emoji28]
Taifa la hovyo sana lile MKUU [emoji35][emoji35][emoji35]unaakili sana wengi hawatakubaliana na ww
Mie bado sijaamini kama watafanya parade paleKuna taarifa victory parade ya Russia itafanyika mjini mariupol, mitaani wameanza kusafisha mazingira. Hii taarifa ni dhihaka kuu kwa Ukraine na west, yaani unapigwa kwako na watu wanafanya sherehe.
Sasa huo upinzani wa kijeshi wa Ukraine upo wap? Ghost of Kiev yupo wapi? Juzi niliandika hapa kua asilimia 85 ya operation imekwisha, ikiwa Ukraine atakaza tako upo uwezekano wa Russia kutangaza total war, hapa hakutakua na njia za kupitisha raia, hakutakua na mambo ya kuokoa watoto, wazee au nani.
Naelewa kua Zelensky ni kama chizi fresh ila safari hii akili itamkaa sawa. Ninachompenda Putin hana mbwembwe, kelele wala sifa. Anafanya mambo kimya kimya kwa namna ambayo itakushangaza. Mpaka sasa Ukraine hajajiunga EU wala NATO na kipigo kachukua, sasa unabaki unacheka, anachopigania ni nini?
The irreplaceable