Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Poa poa JombaI know them too buddy, I don't usually engaging directly kwenye majadiliano, mimi napenda kua msomaji tu. Pale nilikuwa nikimsisitiza ajibu maswali aliyokuwa akiyakwepa kwa kuuliza maswali mengine.
Thanks for you time, have a nice day.
Anyone can say anything😁😁
Nguvu alivyotumia NATO kwa watalabani ni kubwa kuliko hii Op ya Russia Kwa ukraine.ni kubwa kwelikweli.Una uhakika nguvu aliotumia NATO ni sawa na hii ya Russia kwa Ukraine?[emoji16]
Na Mimi naongeza wamekaa Afghanistan miaka 20 na walipoondoka TU ,Taliban wakarudi madarakani.Jibu kile ulicho ulizwa, au umeishiwa hoja ndugu yetu tukusaidie. Wametumia miaka 20, haya mjibuni swali lake la pili kuhusu hiyo Time frame ya Operation ya Russia kama mnayo ambayo mnaitumia kutoa reference kua Russia kashindwa Operation yake.
swali :Na tujikumbushe Russia walipiga mkwala kutumia nuc endapo Finland and sweden watajiunga NATO.
Haya mmoja tayali katuma maombi, na mwingine anategemewa kufanya hivyo soon.
Ngoja tuongeze popcorn [emoji897][emoji16]View attachment 2221649
Huoni kama unajitekenya then unacheka mwenyewe?Unajua kwanini ilionekana failure, ni kwasababu wengi walipinga US kuondoa vikosi vyake ikiwemo hata washirika wengine wa NATO, wengi walitaka US iendelee kuwa kule.
Lakini usisahau jambo lililo mpeleke kule alifanikiwa kwa miaka yote hiyo Yuko huko so Biden alisema haoni haja ya US troops kuendelea kuwa kule kwani hakuna sababu ya msingi na vifo vitakuwa havina sababu.
And trust me, angekuwa hajafanikisha Jambo lake mpk sasa Taliban asingeshika nchi[emoji419]
I recommend uende ukasome zaidi..br[emoji16]
Ask Q
Ni dhahiri Marekani mwishowe walishindwa Afghanistan.Huoni kama unajitekenya then unacheka mwenyewe?
When Russia withdraw jeshi lake Kyiv mlizungumza nini? Hamkusema Russia kashindwa kuiteka Kyiv?
Ok so you are admitting vita ilikuwa bado inaendelea? So you are admitting that kama wasingetoka hivi sasa wangekuwa wanatafta mwaka wa 21 wakipigana na kikosi cha wa Taliban?
Yet you are admitting that, kama ukitoka hujamaliza ulichokusudia that means umeshindwa? If not kwanini walitoka kama hawajamaliza walichokwenda kukifanya Afghanistan?
If Russia today anaounce a withdrawals ya jeshi lake nchini Ukraine, kwa madai ya kuepusha wanajeshi wa Russia wasiendelee kuuwawa, Can you tell us what that means?
View attachment 2221702 Do you know what even Bide saying when they retreat in Afghanistan?
You tell us they win while themselves saying Afghanistan was a Failure, Hey buddy so who to believe? You or them? How America Failed in Afghanistan
Napenda kujadiliana na watu kwa hoja. But nyie hamna hoja bali ushabiki which are far very far from reality.
Thanks for your time. Let's stop here.
Ww uta bilingika una fanya ufanyavyo ila ukweli Marekani alishindwa vita maana walienda kuiangusha serikali ya Talban kwa hoja ya kuwa unadhani ugaidi lakini wameondoka wamewaacha haohao wadhamini wa ugaidi wakiwa madarakani.Unajua kwanini ilionekana failure, ni kwasababu wengi walipinga US kuondoa vikosi vyake ikiwemo hata washirika wengine wa NATO, wengi walitaka US iendelee kuwa kule.
Lakini usisahau jambo lililo mpeleke kule alifanikiwa kwa miaka yote hiyo Yuko huko so Biden alisema haoni haja ya US troops kuendelea kuwa kule kwani hakuna sababu ya msingi na vifo vitakuwa havina sababu.
And trust me, angekuwa hajafanikisha Jambo lake mpk sasa Taliban asingeshika nchi[emoji419]
I recommend uende ukasome zaidi..br[emoji16]
Ask Q
Kaka unateseka Bure ...... Huyo jamaaaa ni mgumu Kuelewa na akielewa tu mwepesi kusahau unaanza tena kuelimisha kilekile.Huoni kama unajitekenya then unacheka mwenyewe?
When Russia withdraw jeshi lake Kyiv mlizungumza nini? Hamkusema Russia kashindwa kuiteka Kyiv?
Ok so you are admitting vita ilikuwa bado inaendelea? So you are admitting that kama wasingetoka hivi sasa wangekuwa wanatafta mwaka wa 21 wakipigana na kikosi cha wa Taliban?
Yet you are admitting that, kama ukitoka hujamaliza ulichokusudia that means umeshindwa? If not kwanini walitoka kama hawajamaliza walichokwenda kukifanya Afghanistan?
If Russia today announce a withdrawals ya jeshi lake nchini Ukraine, kwa madai ya kuepusha wanajeshi wa Russia wasiendelee kuuwawa, Can you tell us what that means?
View attachment 2221702 Do you know what even Biden saying when they retreat from Afghanistan?
You tell us they win while themselves saying Afghanistan was a Failure, Hey buddy so who to believe? You or them?
How America Failed in Afghanistan
'US failed in Afghanistan campaign, must withdraw forces'
A senior Russian official has described the US military campaign in Afghanistan as a failure, calling for the withdrawal of American troops from the countr...parstoday.com
Coming to Terms with America’s Undeniable Failure in Afghanistan
The United States failed in Afghanistan. The only points of debate left for analysts and historians are by how much and who is to blame. With negotiationswarontherocks.com
So hao wooote wamezungumza uongo, Wewe ndio unazungumza ukweli?
Napenda kujadiliana na watu kwa hoja. But nyie hamna hoja bali ushabiki which are far very far from reality.
Thanks for your time. Let's stop here.
Take a first sentence to your fellow bobby_Barbosa_9 so as he can stop his wishful thinking...Ni dhahiri Marekani mwishowe walishindwa Afghanistan.
Ni dhahiri pia Urusi kuna uwezekano mkubwa itashindwa Ukraine.
Wachunga mbuzi🤣🤣😂😂😁😀Acha kujifariji Marekani ameshindwa vita nchini Afghanistan tena mbaya zaidi imeshindwa na wahuni wavaa makubazi.
Umeipunguza jomba [emoji23] Vietnam nako ni 20 kasoro... Wamepishana na hawa Afghanistan kwa miezi kama mitano tu hivi.Ww uta bilingika una fanya ufanyavyo ila ukweli Marekani alishindwa vita maana walienda kuiangusha serikali ya Talban kwa hoja ya kuwa unadhani ugaidi lakini wameondoka wamewaacha haohao wadhamini wa ugaidi wakiwa madarakani.
kwani Talban wangeamuwa kusalimu amri na kutopigana Marekani angekimbia? alikimbia kwa sababu wanajeshi wake walikuwa wanauawa na silaha zao kuharibiwa na walikuwa wanapata hasara.
Haya ngoja tuachane na Afghanistan vipi kuhusu Vietnam ambapo Marekani alipigana zaidi ya miaka 8 akashindwa kuteka hata kijiji akaishia kupata kipigo cha mbwa koko akakimbia bila hata kuaga.
Nimemwambia mie kumuelekeza mNATO nje ya kile asichopenda kuskia ni sawa na kumwambia Biden Apige Push Up ka za Hayati MaguKaka unateseka Bure ...... Huyo jamaaaa ni mgumu Kuelewa na akielewa tu mwepesi kusahau unaanza tena kuelimisha kilekile.
2.sio kweli, ukiwa verified unaitwa....Majibu yasiyo rasmi:
No. 1 nahisi ila sina uhakika ni MUDA ulikuwepo Jamiiforums tangu kujiunga kwako.
No. 2 Alama ya tiki ✅ inamaanisha uko verified yaani umethibitishwa na Uongozi kwasababu flani flani au mmeshawasiliana na kupewa muongozo na umeufuata.
Bongo Systems zina utaratibu mreeefu. Wakati kwingine huko ni suala la System yenyewe inafuata vigezo ukivitimiza unajikuta You're Verified Already.✅
Achana na hii makitu haina faidarwanda wanafikiri kuwapokea hao wakimbizi itawapa status aliyopewa israel miaka ile.....
wew huoni western hawalali usingizi, kutwa kujadili ya Putin? Kama ameshapoteza game kwanini wasipate usingizi?hofu ipi
Amerika ilivamia Afghanistan kulipiza kisasi kwa waliopanga 911 na kuhakikisha shambulizi kama hilo halitokei tena. 20 years later hakuna shambulizi kama hilo limetokea tena na Osama bin Laden na wenzake wameuliwa. Huo ni ushindi mkubwa kwa raia wa amerika, Tanzania na Kenya ambao hawana tena hofu ya kulipuliwa na Al qaeda.Can you submit your claim here so as they can change what a history have written? War in Afghanistan (2001–2021) - Wikipedia
So as they can write again fo the people to read that US/NATO defeat Taliban, now Taliban doesn't exist anywhere in the world?
For 20 years amerika ilikua ikiilinda serikali ya Afghanistan, ikitoa mafunzo na kupigana na Taliban sleeper cells, wakijaribu Ku regroup wanapigwa na vitu vizito. Hii ndio sababu Taliban inayotawala haiwezi kujaribu ule ujinga wa 911. Amerika ilijiondoa baada kuona Taliban sio tena tishio kwao.Do you think your wishful thinking can change a reality that US/NATO failed in Afghanistan? Have Failed to eliminate Taliban in Afghanistan? 20yrs? Don't mention Phase 1 and 2.
You want us to believe you kua US and all It's allies took 20 yrs to teach Afghans namna ya kuongoza nchi yao? Walikuwa wakiwafundisha punguani sio vichwa ngumu kuelewa to the extent after 20yrs Taliban waendelee kutawala?
Ooooh come on, try a little to make your argument worth a read buddy. You can't twist a reality that's known to everybody for your wishful thinking.
Kilichoanzisha vita Libya ni maandamano ya Arab Spring ambayo yenyewe yalianza Tunisia na kusambaa Nchi kiarabu. NATO iliingia wakati UN security Council ilipiga kura kuwe na intervention ya kuzuia raia wasiendelee kuuawa na vikosi vya Gaddafi. Kura zilikua 10 walikubali, 5 hawakupiga na 0 walipinga. Russia na China zenye Veto Power waliabstain kura, the whole freaking world was against Gaddafi.Libya pale? How long did they took to defeat Gaddafi? One day right? In case you don't know its 7 Month. A bunch of Clowns fighting against one Man Gaddafi without a tiny support from other nations.
Have you ever imagine all those countries if they gotta Support like what Ukraine is receiving now, Invaders will they able to make it?
[emoji1][emoji1]Na Mimi naongeza wamekaa Afghanistan miaka 20 na walipoondoka TU ,Taliban wakarudi madarakani.