Ni kweli kabisa Urusi anapigana vita ki utu . Fikiria raia anajitokeza anazuia msafara wa jeshi la Urusi. Hebu jaribu kuzuia msafara wa jeshi lolote likiwa kwenye madani na katika mazingira hatarishi. Russia hakushambulia Kieve sababu majeshi ya Ukraine yalivua combart na kujichanganya na raia huku vyombo vya habari vya WEST vikilialia kuwa raia wanaoshambuliwa.Proved
Hakuna fedheha yoyote Urusi imepata.
Mimi,wewe,CIA na NATO hatujui mipango ya Urusi ikoje.
Pia hata baadhi ya wanajeshi wa Urusi hawajui mipango yote ya Urusi ikoje ili kuepuka kutoa Siri pindi wakitekwa.
Mipango ya vita hua ni Siri za makao makuu ya jeshi na makamanda wa ngazi za juu.
Kwa hiyo Mimi na wewe tuangalie vita kwa nje inakwendaje.
Nakumbuka Putin alisema hawataki kupiga Kyiev kwa sababu huko Kuna Decision makers,hivyo bado wanategemea mazungumzo kumaliza vita hii,hayo ni Nia njema sana.
Kama unaamini kweli kuwa Urusi kashindwa kuikamata Kyiev basi nakupa pole sana.
Kwa resources alizonazo Urusi na akidhamilia kweli Kyiev haisumbui.
Kuna General mmoja wa German juzi katoa maoni yake kua Urusi inaipiga Ukraine kistaarabu,na Ukraine waisidhani wanaweza kuishinda Urusi.
Bandiko liko humu.
Huyo ni kama anamuunga mkono Gen wa Marekani nae alitoa kauli kama hiyo
Andiko limo humu.
Hakuna fedheha yoyote Urusi kapata zaidi ya fedheha kwa NATO.
Unaamini Urusi inapigana na nchi zaidi ya 30?
Mkuu, binafsi naamini Russia alipiga hesabu zake KWA muda mrefu sana. Na kama kuna mtu anadhani Russia waliweka malengo ya kufanya hiyo op KWA muda fulani YUKO WRONG.systematic work that has been carried out over the past years...Halaf kuna raia wanahisi RUSSIA alikurupuka eti[emoji4][emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ni ke 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌Shangazi ukiwa na maana ya [emoji23][emoji23][emoji23], umenipiga chenga kidogo ndugu yangu.
Toka mwanzo tuliwaambia Russia sio zimbabwe wakashjpaza shingo. Sinema za kimalekani zinawadanganya sana.Baada ya sarakasi nyingi za Zelensky huko Twitter akiwaaminisha wafuasi wake kuwa Ukraine inashinda mechi zake na Russia, Zelensky ameamua kueleza ukweli sasa kupitia chombo cha habari cha Australia, ABC.
Katika mahojiano, Zelensky amekiri kuwa kwa mambo yalivyo, pamoja na kupokea misaada kedekede ya silaha za gharama na zanavita toka Marekani na nchi za NATO/EU, Ukraine haiwezi kamwe kushinda vita vya Russia nchini Ukraine.
Zelensky amesikitika kuwa Ukraine imeshapoteza marubani wengi mno ambao hawezi kutaja idadi yao hadharani, lakini wengi wao wameuawa wakiwa kwenye ndege zao zilipodunguliwa na majeshi ya Russia. Wengi wao wamekufa walipokuwa wakijaribu kurusha ndege hizo kupeleka madawa, vyakula na maji kwa wapiganaji wa Ukraine waliozingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol
===========
View attachment 2233169View attachment 2233170View attachment 2233171View attachment 2233172
Proved.Mimi bado nakukumbusha ahadi yako uliyoahidi, jiandae View attachment 2233311
CC😡britaniccaWapiganaji wa mwisho wa Ukraine waliojibanza katika eneo la kiwanda cha chuma cha Azovstal cha mji huo sasa wamejisalimisha, maafisa wa Moscow wamesema.
Kwa miezi kadhaa vikosi hivyo vilikuwa vimezingirwa katika jengo hilo kubwa, na kuizuia Urusi kuwa na udhibiti kamili wa mji huo.
Uokoaji wa siku ya Ijumaa unaashiria mwisho wa kuzingirwa na uharibifu zaidi wa mji wa Mariupol ambao sasa umesalia magofu.
Mji huo na kiwanda chake cha chuma sasa "umekombolewa kabisa" baada ya wanajeshi 531 wa Ukraine kuondoka katika eneo hilo, wizara ya ulinzi ya Urusi imesema.
"Vituo vya chini ya ardhi vya kiwanda hicho, ambako wanamgambo walikuwa wamejificha, viko chini ya udhibiti kamili wa majeshi ya Urusi," iliongeza katika taarifa.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema walinzi wa mwisho waliosalia kaika eneo hilo wameruhusiwa kuondoka.
"Leo wapiganaji hao walipokea ishara ya wazi ya amri ya kijeshi kwamba wanaweza kutoka nje na kuokoa maisha yao," aliiambia kituo cha televisheni cha Ukraine mapema Ijumaa.
Kwa wiki kadhaa eneo hilo la Azovstal ilikuwa limezingirwa kabisa.
Vikosi vya Urusi vilizuia misaada yote ya kibinadamu kuingia, na kulishambulia eneo hilo kutoka angani na kuwataka watetezi wake waliobaki kuweka chini silaha zao na kujisalimisha.
Wengi wa wale waliokwama ndani walikuwa raia, ikiwa ni pamoja na wanawake, watoto na wazee. Mapema mwezi huu waliondolewa baadhi kufuatia mazungumzo magumu yaliyoratibiwa na Umoja wa Mataifa na Shirika la Msalaba Mwekundu ambayo yalidumu kwa wiki kadhaa.
Lakini kuendelea kukataa kujisalimisha kwa wapiganaji hao wa Ukraine kulimaanisha Urusi haikuweza kuwa na udhibiti kamili wa mji huo wa bandari ya kimkakati.
Kwa raia wengi wa Ukraine, inawaona wapiganaji hao wa Azovstal waliojisalimisha kuwa mashujaa wa kitaifa ambao walionyesha upinzani wa ukaidi wa nchi dhidi ya Urusi.
Mamia ya wanajeshi waliojificha kwenye mahandaki ya kiwanda hicho ni pamoja na wanamaji, Jeshi la Ulinzi la Taifa (ikiwa ni pamoja na kikosi cha Azov), walinzi wa mipaka, polisi na vitengo vya ulinzi wa eneo.
Walipiga kambi na kupungua kwa vifaa vya chakula na hakuna maji, waliishi kwa wiki katika bunkers chini ya ardhi na mahandaki bila kuona mchana.
Chanzo:BBC
SASA WE PIMBI NJOO UBISHANE NA WANAGHARIBI WENZIO
Ha ha haa,Pro NATO mko wapi leo... na hamu ya kuwakera sana leo... njooni basiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anha nimekupata sasa... tatizo ulichagua username ngumu ase... aki nilikua nawaza Ngaboru ni mzee mmoja hivi wa makamo ana kitaaambi mtaratibu.Mi ni ke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ni kweli, Ukraine imezidiwa kila kitu na Urusi hivyo haiwezi kushinda kijeshi.Proved.
Naomba hii aione Proved
Leo Vibe la Uchokozi liko on Peak [emoji23]Ha ha haa,
Nyie Pro Russia watata sana.
Kwa kifupi mmetawala jukwa mwanzo mwisho
Yani Nchi inapoteza askari kibao, afu mtu anakuja na kauli dhaifu ivi.Da Mungu Aibariki Urusi
Hawa ndio Tegemeo la Usawa wa Dunia
Chagga....n jina la baba wa babu yangu nimeamua kumuenzi tuu.Anha nimekupata sasa... tatizo ulichagua username ngumu ase... aki nilikua nawaza Ngaboru ni mzee mmoja hivi wa makamo ana kitaaambi mtaratibu.
Kumbe toto zuri tu la kichaga sijuw mpare eishiii. [emoji41][emoji41][emoji41]
Marekani atanufaika na kudai mabilioni yake hayo🤣🤣🤣Hayo madeni atayodaiwa Ukraine ni balaa. Marekani anataka ampe Ukraine silaha ambazo hazitamsaidia kuishinda ili aendelee kuomba nyingine.
Russia anakamata maeneo muhimu kiuchumi anajua atafidia hasara ya vita na kumzuia Marekani kupata mianya ya kunufaika labda akalime
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Unajua lau pro NATO wangeacha ushabiki mandazi tungepata elimu kubwa humuDuh umetufunga kamba mjuba, baada ya kuvunjika Soviet Union ndipo jina la Russia ama Russian Federation lilipozaliwa.
So you can call that country either Russia or Russian federation.
Neno Federation, limetumika sio kama muunganiko wa nchi mdau bali mfumo wa kiutawala uliopo Russia.
Mjuba, unaposema Tanzania unamaanisha Tanganyika na Zanzibar, Tanzania bara na Visiwani. Tanzania ni zao la muunganiko wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar.
Russia imepitia historia ya majina tofauti kabla ya hili alilonalo leo mdau.
Kuanzia
1. Kievan Rus
2. Vladmir Suzdal
3. Grand Duchy of Moscow
4. Tsardom of Russia
5. Russia empire
6. Soviet Union
7. Russia Federation baada ya kuvunjika kwa USSR
Historia inatwambia after dissolution of the Soviet union in 1991, the newly independent Russian SFSR(Soviet Federative Socialist Republic) renamed itself the Russian Federation, sio kisa muunganiko wa nchi 23 unazodai mdau.
Ukraine ilikuwa ndani ya USSR(Union of Soviet Socialist Republic), sio Russian Federation mdau.
Russia nae alikuwa ndani USSR kama wenzie mdau. USSR iliundwa na mataifa haya mdau
1. Russian SFSR
2. Ukrainian SSR
3. Byelorussian SSR
4. Transcaucasian SFSR
5. Bukharan SSR
6. Poland (Sio yote)
7. Romania (Sio yote just a portion)
8. Finland (Sio yote)
9. Latvia
10. Lithuania
11. Tuva
12. Vieneo kiasi kutoka Germany, Japan na Czechoslovakia.
1991 zote hizo zilijiondoa USSR ikabaki Russian SFSR peke yake mdau, ndipo wakabadili jina kutoka Russia Soviet Federative Socialist Republic into Russia ama Russian Federation utakavyopenda kuwaita [emoji41].
Mind you mdau, Lithuania, Georgia, Estonia, Latvia, Transistria, Moldova, Krygyzstan, Uzbekistan, Tajikistan, Armenia, Azerbaijan, Turkmenistan, Kazakhstan, Belarus, Ukraine na Russia hii ya leo ni mazao ya kuvunjika kwa USSR, United Soviet Socialist Republic.
So whem we refer back to USSR, hatuzungumzii Russia as Russia Federation hii iliyopo leo but nchi zote hizo tajwa hapo Juu.
Hola hola my Signature [emoji23]