Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aisee umenichekesha sana,drone zinayeyushwa,zinamulikwa zinayeyuka.

Hakuna kitu kimekua kikinichekesha kama hii silaha mpya ya Urusi ya Lazer.
Yaani kazi yake ni kuchoma / kuziunguza silaha za wenzie.
Aisee hii safi safi.
 
Ha ha haa,
Nyie Pro Russia watata sana.
Kwa kifupi mmetawala jukwa mwanzo mwisho
Tupo imara toka zama za Javelin 😅😅😅 tuliwaambia kuwa Ukraine ni ntoto ndogo ila walikaza vichwa na kupost vifaru vilivyotunguliwa na Javelin ila baada ya kupata dawa ya Javelin sahizi hawaonekani kabisa🤣🤣🤣 ni mwendo wa Kalibr tu mpaka kieleweke.
 
Naona kama umegonga mwamba,na umeishiwa hoja.
Sasa kama unaona Kua Urusi ikishinda akirudi kwa mke wake Haina maana yoyote kujisifu kua Urusi imeshindwa wewe mbona umepoteza mda mwingi humu jamvini,kwa Nini usingekua unafanya mambo mengine ya kukuingizia kipato.?
Najua utanijibu kwa ghadhabu.
 
Aisee umenichekesha sana,drone zinayeyushwa,zinamulikwa zinayeyuka.

Hakuna kitu kimekua kikinichekesha kama hii silaha mpya ya Urusi ya Lazer.
Yaani kazi yake ni kuchoma / kuziunguza silaha za wenzie.
Aisee hii safi safi.
Hahahahahahah mrusi haogopwi kizembe yani ni kuwa anaweza kumdhalilisha mmarekani ndani ya muda mchache sana 😅😅😅 ndio maana wanapigana nae kwa mlango wa nyuma ila still hawawezi kumshinda maana kila shehena wanayotuma inapita bandarini alipopateka anaziangamiza au stesheni ya reli anazilokota tu.
 
Umeshayajua na majibu kabla sijajibu sio. Okey, hayo majibu ya ghadhabu uliyojiambia unayajua yatolee majibu😀.
 
pamoja na pumba zote hiz umeandika , Ukraine imevamiwa na inaoambana kama.walivyopambana babu zako dhidi ya uvamiz wa wakoloni , au na wao walikuwa wanatumika kuwadhoofisha wakoloni ?
 
nahis dish lako limeyumba , Zelensky ndo amekuwa muomba kukutana kwa muda mrefu sana
 
Ha ha haa baadae Askari wa Ukraine wakaja kukiri kua Juvelin hafui dafu kwa silaha za Russia wakaomba wapelekewe silaha Kali ili kuzimudu silaha za Urusi.
USA wakaleta vi droni vyao na aina Fulani ya mizinga.
Aisee Urusi akawaletea Silaha ya kuzichoma hizo za kutoka USA🤣🤣🤣.
Aisee Sasa hivi ni burdan zinaynguzwa zikiwa huko juu kwa juu.
Sikuwahi kusikia silaha inachomwa na kuungu kabisa Tena hata ikiwa juu.🤣🤣🤣👏👏.
 
Tutaelewana tu Mariupol tayari, Luhansk na Donetsk mda sio mrefu inarudi nyumban Moscow, huko tulipoondoka hakuna wazungumzaji wa lugha yetu pendwa ya kirusi
na kyiv mlienda kuwachukua wanaozungumza lugha yenu pendwa ?
 
Vita ni mbinu sio kuwa na silaha mpya au za zamani😅!

Hata ukipewa shehena ya AK 47 kama huna mbinu kipigo kitakuhusu tu. Hao si wamepewa Javelin mlizosema ni anti tanks mbona sahizi kimya wakati mlisema wanaharibu vifaru vya mrusi kama biskuti.
 
Da kusema kweli Mzee mzima USA safari hii kakutana na mbabe mwenzie.
Yaani Kila Marekani akishusha mzigo wanaume wanaula kichwa.
Aloo Urusi sio congo.
 
Umeshayajua na majibu kabla sijajibu sio. Okey, hayo majibu ya ghadhabu uliyojiambia unayajua yatolee majibu😀.
Hamna nimejihami TU,maana nilijua nimeingilia ugomvi sio wangu,Sasa nikahisi hapa utanishukia kama mwewe mwenye njaa amshukiavyo kifaranga.
Huoni numefanikiwa kuku pre empty.
Hatimae umenijibu kiungwana kabisa.nami Sasa nimekua huru.?
 
2014 hapakuwa na jeshi la Urusi kule Donbas labda wakandarasi, baada ya vijana wetu kusumbuliwa sasa tumekuja kuwaweka huru , tutaanzia Crimea mpaka kule Moldova , hakuna mzungumzaji wa Kirusi anaweza sumbuliwa tena
bora Putin angekufahamu
 
Hahahah wacha tuone wataletewa nn kwenye hio usd40 billion
 
na kyiv mlienda kuwachukua wanaozungumza lugha yenu pendwa ?
Hujui vita , kama Urusi angevamia moja kwa moja luhansk maana yake wale wanajeshi wa Ukraine pale Luhansk wangepata msaada mkubwa sana kutoka KYIV, kwahiyo tumekwenda KYIV kuwablock wasije wakaleta msaada mkubwa kwa wakati ili tuwapige wale luhansk kwa raha zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…