James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Hizi institute zisije kuwa kama zilizo mpa Msukuma u DoktaRussian nationalist figures are increasingly criticizing the failures of the “special military operation” in Ukraine and are calling for mobilization that the Kremlin likely remains unwilling/unable to pursue in the short term.
Click here to read the latest from ISW and CTP:
Institute for the Study of War
Immediate Items to Watch:
- Russian forces are likely reinforcing their grouping north of Kharkiv City to prevent further advances of the Ukrainian counteroffensive toward the Russian border. Russan forces may commit elements of the 1st Tank Army to northern Kharkiv in the near future.
- The Russians will continue efforts to encircle Severodonetsk and Lysychansk at least from the south, possibly by focusing on cutting off the last highway connecting Severodonetsk-Lysychansk with the rest of Ukraine.
Eastern Ukraine Update:
Russian forces reportedly stormed Zolote and took control of the entry points to the city, which would allow them to push northward and complete the encirclement of Severodonetsk from the south.
Mariupol Update:
Russian military Telegram bloggers criticized a video of Russian servicemen reportedly carrying out ground assaults on Azovstal on May 22 and stated that they should have waited for the remaining Ukrainian forces to surrender.
Kharkiv Update:
The redeployment of DNR and LNR troops away from their previous positions conducting frontal assaults in eastern Ukraine to northern Kharkiv to hold defensive lines against the Ukrainian counteroffensive indicates Russia’s prioritization of slowing the Ukrainian counteroffensive.
Southern Axis Update:
Russian forces continued to set conditions to establish permanent control and resume offensive operations in southern Ukraine on May 23.
Moldova Update:
There were no significant events on this axis in the past 24 hours.
Sumy and Northeastern Ukraine Update:
There were no significant events on this axis in the past 24 hours.
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Izo silaha nato wanazo mpa refer(Poland and German), hao mamluki raia kutoka Nato wanaokamtwa uko Ukraine(canada,uk,s.korea etc),izo billion of dollars Us anazotoa kusapot vita, hivyo vikao wanavyokaa Eu kujadili Ukraine saga bado unaniambia n mpambano wa Ukraine na RUSSIA.Anapambana na Ukraine tu, usidanganyike kirahisi hivyo na propaganda za Warusi wa Buza.
Hawakufanya vita walivamia tu. Kwingine waliungana na vikundi vya kigaidi ndani ya nchi hizo kuharalisha uvamizi wao.Vita ya Korea mwaka 1950-1953
Vita ya Vietnam
Vita ya kwanza ya Ghuba mwaka 1991
Vita vya Kosovo
Vita vya Afghanistan
Vita vya Iraq
.......
.......
. zipo nyingi sana
Wanatoa silaha na fedha ila anayepigana na Urusi ni Ukraine sio NATO.Izo silaha nato wanazo mpa refer(Poland and German), hao mamluki raia kutoka Nato wanaokamtwa uko Ukraine(canada,uk,s.korea etc),izo billion of dollars Us anazotoa kusapot vita, hivyo vikao wanavyokaa Eu kujadili Ukraine saga bado unaniambia n mpambano wa Ukraine na RUSSIA.
Njoo na fact acha bla blaaa Pro Russia wa misumbwi.
Yalishajibiwa haturudi[emoji115]
lee van cliff TUJITEGEMEE wasaidieni pro-Putin wenzenu kujibu hili swali maana angalau nyie mnajenga hoja zenye mashiko.
😂😂😂😂😂😂😂Wanatoa silaha na fedha ila anayepigana na Urusi ni Ukraine sio NATO.
👆Wajukuu wa Uncle Sam wanafurahisha sana, kwamba Mzee hakuwahi kupigana vita yoyote baada ya kujipatia uhuru 1776 hadi leo. Hii level mliyofikia sio mahaba, ni Uenda wazimu.
Mexican American War
Indian American War
Philippine American War
Spanish American War
Hizi zote kapigana kabla ya WW1
Mdau akadai tena kua WW1 hakushiriki alikuwa anasaidia tu 😂, he he he so alisaidia wanajeshi Mil 5 kasoro. By the way neno World lina maana gani? If hakuwa involved, US ipo sayari gani?
WW2, wanajeshi wake zaidi ya Mil 16 walikuwa wanapika chakula tu huko vitani au sio wadau 🤣?
Korean War, wanajeshi wa US zaidi ya Mil 1.7, hao walikuwa wanapika chachandu hawakushiriki.
Vietnam War, wanajeshi wa US zaidi ya Mil 3.4, hao walikuwa wanakunywa supu au sio wadau?
Desert Shield/Desert Storm, wanajeshi zaidi ya laki 6, hawa walikuwa wanafua nguo hawakushiriki au sio?
To make it short ni kua Washington ni waongo nyie mko sahihi that US ana vita vya uhuru tu eh?
View attachment 2237344
That hiyo Office ya Public Affairs Washington, hawajui wanachokiandika. Nyie wa mburahati mnaijua Historia kuliko wao?
View attachment 2237349
Hapo hujaweka list ya matukio after 1991, Guys vichwani mna ubongo au hard drive tu iliyo na data "specific" kwa kuzikonga nyoyo zenu?
Ok now let say Washington ni waongo nyie ni wakweli, US hajawahi kushiriki vita yoyote. Mnapata wapi nguvu za kusema anashinda au ni mbabe ikiwa hana historia ya pambano lolote lile alilowahi kushiriki 😂???
Aaaa nyie dah, Mnajiweza kwa kweli.
Nitajie "vita" alizopigana USA?Acha uongo.

Kinachotakiwa ni Ukraine kushinda vita. Sasa Urusi akichukua Kiev km alivyofanya donbas hiyo mahakama inakuwa ilipoteza muda tuu....haya ndio malipo ya wanajeshi wa Russia nchini ukraine ukiachana na kuuliwa
Mi nilikuwa namshangaa huyo mdau aliyeiita "American war of independence" eti ni civil war bila kukua maana ya civil war ni nini!Hii siyo war ni. Conflict
Daa, akili zetu watu wengi walikula mbuluga zenye madawa ya kuzoofisha ubongo, kama wewe championship,Mrusi yupo hoi bin taaban.
TuwaombeeeWajukuu wa Uncle Sam wanafurahisha sana, kwamba Mzee hakuwahi kupigana vita yoyote baada ya kujipatia uhuru 1776 hadi leo. Hii level mliyofikia sio mahaba, ni Uenda wazimu.
Mexican American War
Indian American War
Philippine American War
Spanish American War
Hizi zote kapigana kabla ya WW1
Mdau akadai tena kua WW1 hakushiriki alikuwa anasaidia tu 😂, he he he so alisaidia wanajeshi Mil 5 kasoro. By the way neno World lina maana gani? If hakuwa involved, US ipo sayari gani?
WW2, wanajeshi wake zaidi ya Mil 16 walikuwa wanapika chakula tu huko vitani au sio wadau 🤣?
Korean War, wanajeshi wa US zaidi ya Mil 1.7, hao walikuwa wanapika chachandu hawakushiriki.
Vietnam War, wanajeshi wa US zaidi ya Mil 3.4, hao walikuwa wanakunywa supu au sio wadau?
Desert Shield/Desert Storm, wanajeshi zaidi ya laki 6, hawa walikuwa wanafua nguo hawakushiriki au sio?
To make it short ni kua Washington ni waongo nyie mko sahihi that US ana vita vya uhuru tu eh?
View attachment 2237344
That hiyo Office ya Public Affairs Washington, hawajui wanachokiandika. Nyie wa mburahati mnaijua Historia kuliko wao?
View attachment 2237349
Hapo hujaweka list ya matukio after 1991, Guys vichwani mna ubongo au hard drive tu iliyo na data "specific" kwa kuzikonga nyoyo zenu?
Ok now let say Washington ni waongo nyie ni wakweli, US hajawahi kushiriki vita yoyote. Mnapata wapi nguvu za kusema anashinda au ni mbabe ikiwa hana historia ya pambano lolote lile alilowahi kushiriki 😂???
Aaaa nyie dah, Mnajiweza kwa kwelii
kaka as long as watu wa Magharibi wanamsaidia Ukraine, hivyo vita haitaisha leo ama kesho and as result Urusi ananyongonyea sana kiuchumi maana vita inatumia national resource kubwa mno.
Ukraine anapata misaada toka G7 na US inazidi kumpa mabillion ya dola, vita haiishi leo hii.
😂😂😂Wajukuu wa Uncle Sam wanafurahisha sana, kwamba Mzee hakuwahi kupigana vita yoyote baada ya kujipatia uhuru 1776 hadi leo. Hii level mliyofikia sio mahaba, ni Uenda wazimu.
Mexican American War
Indian American War
Philippine American War
Spanish American War
Hizi zote kapigana kabla ya WW1
Mdau akadai tena kua WW1 hakushiriki alikuwa anasaidia tu 😂, he he he so alisaidia wanajeshi Mil 5 kasoro. By the way neno World lina maana gani? If hakuwa involved, US ipo sayari gani?
WW2, wanajeshi wake zaidi ya Mil 16 walikuwa wanapika chakula tu huko vitani au sio wadau 🤣?
Korean War, wanajeshi wa US zaidi ya Mil 1.7, hao walikuwa wanapika chachandu hawakushiriki.
Vietnam War, wanajeshi wa US zaidi ya Mil 3.4, hao walikuwa wanakunywa supu au sio wadau?
Desert Shield/Desert Storm, wanajeshi zaidi ya laki 6, hawa walikuwa wanafua nguo hawakushiriki au sio?
To make it short ni kua Washington ni waongo nyie mko sahihi that US ana vita vya uhuru tu eh?
View attachment 2237344
That hiyo Office ya Public Affairs Washington, hawajui wanachokiandika. Nyie wa mburahati mnaijua Historia kuliko wao?
View attachment 2237349
Hapo hujaweka list ya matukio after 1991, Guys vichwani mna ubongo au hard drive tu iliyo na data "specific" kwa kuzikonga nyoyo zenu?
Ok now let say Washington ni waongo nyie ni wakweli, US hajawahi kushiriki vita yoyote. Mnapata wapi nguvu za kusema anashinda au ni mbabe ikiwa hana historia ya pambano lolote lile alilowahi kushiriki 😂???
Aaaa nyie dah, Mnajiweza kwa kweli.
nimemwambia mwenzio kwamba Urusi anatongonyea kiuchumi maana vita hii haiishi leo wala kesho, anayepigana naye kila kukicha anapata misaada ma billion ya dola, mrusi hata kama ana resources kiasi gani itafika pahala atadhoofika.
Hii vita itaamuliwa na nguvu ya kiuchumi, atakayechoka atatoa majeshi yake - Ukraine imeapa haitaachia sentimita moja ya ardhi yake.
Usipoangalia unachizika maana aiseee🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂ila usikate tamaa n ndg zetu sasa tufanyaje.😂😂😂
Umekaa kimya weee, ukaamua uzunguze tu 🤣
Pro NATO w JF ni kweli wanajiweza wenyewe tu. Hawa ishia kusoma comment zao uendelee kupekua page after page... Ila kukaa chini kujadiliana nao mara buku ukacheze game la nyoka ieleweke 🙌