T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Equipments gani hazijafanya kazi. Kama unataka kusema electronic warfare systems zimejitahidi kwa kiasi chake. Kilichozifelisha ni kitu kingine ambacho sio kosa lake ni mazingira ya vita.AFU MKUU, HIZO EQUIPMENT WANAENDA KUTEST TUU KAMA ZITAFANYA KAZI.
MAANA HAZIJAFANYA KAZI SEHEMU YOYOTE KWA HIO UKRAINE WANAENDA KUFANYA MAJARIBIO HUKO. NA MOTO UTAWAKA KWELI KWELI NA SINA UHAKIKA KAMA VITATOSHA.
MAANA UKRAINE NI NCHI KUBWA SANA. DAA.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa unachekesha kweli.kwa kuangalia tu hayo madaraja yanafanana kweli hata tu mazingira ya maeneo[emoji23][emoji23][emoji23]. Ebu jiongeze basi kk
Nafikiri unamzungumzia yule jamaa wa Azam.Shida kwenye hii vita Uhongo umezidi sana tena sana, hasa kwa UPANDE wa zele na NATO. Kuna kipindi cha mwaka jana zilikuwa zinatoka habari usikiliza utafikili kama URUSI anaenda kushidwa vita kumbe Mia YAO ni kushawishi watu waende kupigana kule.
Sasa hivi VYOMBO vya habari vya magharibi kutangaza habari za Ukraine speed YAO ile ni mdogo sana.
Maana wameona propaganda hazisaidii.
Kuna mchinguzi mmoja mbongo nilimsikia kipindi vita vinaanza alisema URUSI itaanguka kiuchumi baada ya miezi kadhaa Kwa sababu ya vikwazo😆😆😆
mohamedidrisa789 triga BukyanagandiPro-Russians ukiwauliza eleza kuhusu uchumi wa Russia wanakwambia GESI na MAFUTA.
Ukiwaambia waeleze namna Russia itakavyoendeleza vizuri biashara na dunia na hivi vikwazo wanakwambia BRICS ambayo ina nchi nyingine nne.
Nawashangaa, mwaka 2019 Huawei kampuni ya China ilipowekewa vikwazo na Marekani pekee wala sio nchi nyingine hao BRICS na Russia akiwemo waliisaidia nini isishuke. Mbona ilikuwa ni #1 au #2 kwenye idadi ya mauzo ya simu duniani ila leo hata top 10 sijui kama ipo ila nachojua top 7 haipo. BRICS wako wapi?
Achana na BRICS wote, China yenyewe iko wapi si iiokoe kampuni yake. Mbona Apple ndio brand inayoongoza kwa mauzo China. Mbona Huawei ilitoka kuwa either #1 au #2 within Chinese market ila sasa hivi haiwezi kuzipiku Apple, Vivo, Oppo, Xiaomi na Honor (ambayo Huawei waliiuza ikawa independent kwa owner mwingine ili ikwepe vikwazo, leo hii nayo inawapita).
Marekani ilipoiwekea vikwazo ZTE ya China walienda wapi hao BRICS mbona ilipotea kabisa soko la dunia. Kama mnaamini China itafanya sacrifice ya uchumi wake kukiuka vikwazo vya Russia sawa kuota sio dhambi, mtuambie North Korea (third world country) ambayo inafanya biashara na China na Russia pekee kwa asilimia kubwa sana je ina uchumi gani kulinganisha na majirani zake Japan na South Korea
Tuma salamu kwa watu watatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] soledar gani iyo
Hahahaha [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Daaah we jamaa ndio maana ProRussia hua hawakuachagi salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawakuwa na adabu na superpower yule. Ndege aliyetorosha ni rubani wako, kaja kutusumbua kwenye airport yetu. Lipa hela tukupe ndege yako
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Tuma salamu kwa watu watatu
The Ukrainian Army has retaken the salt factory in Soledar after an overnight counter-attack.
AFU in Soledar.
Journalist Yury Butusov sends a message this morning from the Salt mine in Soledar, where a group of PMC Wagner mercenaries reportedly broke into yesterday. Apparently the AFU counterattacked overnight. He mentioned the newly created 46th brigade now defends the city.
Tuma salamuHili eneo lingine lishabebwa huko
View attachment 2472429
Inapatikana wapi?Naangalia documentary hio kwa sasa.
Zile za mwanzo zimeenda wapi MKUUPackage nyingine hiyo kwa Ukraine. Bradley zinakuja miezi michache ijayo tusishangae kuona Ukraine inapewa vifaru hata vya zamaniView attachment 2471799
WatabishaMna habari kwamba Soledar umeenda?
#BREAKING
#Soledar is practically liberated. the only Ukrainian troops present are hiding inside underground mine tunnels.
They will starve if they dont come out soon.
The end is near
#Ukraine #NATORussiaWar
Supa-pawa bado hajamaliza tu kumpiga Ukraine ?Sawa. Ila Urusi hastaili kupewa sifa akimaliza kumpiga Ukraine, Ila Ukraine anastahili sifa kwa kupambana na Urusi mpaka muda huu sababu wote tunajua kuwa Ukraine ni mtoto sana kwa Urusi kijeshi.
Hata CNN sijaiona hiyoTuma salamu
[emoji298]️ Ukrainian border guards repel Russian attack near Bakhmut.
Ukrainian border guards repelled the advance of Russian troops near Bakhmut, Donetsk Oblast, killing the unit’s commander, Ukraine’s State Border Gu..
ard Service reported on Jan. 7.
Mr Skunk....hiyo convoy ilifika salama ?Russia has secured air space in most of parts of Ukraine ndo maana convoy inazidi kusonga, watu walikuwa wanahoji kwanini Ukraine isilipue Russia convoy ambayo inatembea very slow and predictable movement
Hayo masaa hayajaisha bado ?Hii ngoma inaisha within 48 Hrs hali imekuwa hali Kyiv kipigo kimeanza