kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Unawashwa eeh![emoji16]Utani wa ukweli hauruhusiwi ndugu FisadiKuu [emoji16]
Mhim ushindi tuuuuUtakuwa huwajui warusi wewe,world war 2 Soviet ilipoteza watu zaidi ya mil 27 most of them Russians!
Na mpaka Leo wanasherehekea ushindi dhidi ya Nazi's,Ile victory day!
Tumia akili Yako vyema,usiandike kujifurahisha!
Ndio, Baada Ya Russia kuiteka Soledar wako wapi sasa, au bado kuna minor fighting 😁😁Mkuu bado unasubiri Jmosi
SMO inaenda poa sanaaaZele saizi tumbo joto. Maana hata USA WANAHOFU vifaa kukamatwa. [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]
Wanasafisha Soledar, then wanaeka camp.Ndio, Baada Ya Russia kuiteka Soledar wako wapi sasa, au bado kuna minor fighting [emoji16][emoji16]
Maadam walikua wanatumwa na mabeberu hata wangeuliwa mamilioni niushujaa MKUUKwa hiyo kuua maelfu ya wanafunzi wasio na silaha ndio ushujaa wa kikomunisti ?....
MKUU ukiwa makini unaweza ukajikutia wewe ndio mpumbavu sababu IRAN waliishatangaza kama hawana mpango wakutengeneza silaha za NYUKWe ndo mpumbavu kwa kudhani kuwa ili kutengeneza nyuklia Ukraine ina hitaji kuvuna kwenye vinu vya vyuklia.kam ni hivyo Iran ingekuw nyuklia tayali kwan wanavinu vya kuzalishia umeme.mmoja sababu kuvunjika kwa soviet union kukosekan fund we kwa akili yako mgando ulitegemea Ukraine itoe pesa wap?kama Russia yenyewe ilikuwa inapokea fund kutoka U.S ili kumaintain Nyuklia freet.Ukraine ulitaka wafanyaje ?
@T14 ArmataDuh, kumbe pale bakhmut na soleder kuna network ya underground tunnels, mita 100 chini ya ardhi, hadi vifaru vinatembea huko, no wonder kazi ya kuuchukua hizo miji imekuwa ngumu kama ilivyokua malioupol, [emoji848].
Duh,,,,Bakhmut ni jehanamu kwa sasa
Nimekuonea huruma MKUU [emoji16][emoji16][emoji16]Huko soledar mambo si mazuri
Na wewe pia huwa unanipa Raha mkuu,kp kipanya44
Huwezi amini! Wewe ni miongoni mwa watu kwenye Uzi huu wanaonifurahisha sana!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kina T14 Armata wakasema wanatumia vifaa vya washing mashine kueka kwenye silaha [emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]*Waliambia wana chakula cha siku tatu[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
*Wakambiwa wameishiwa silaha[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
* Wakambiwa wamepoteza morali[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
*wakambiwa awana hata uniform[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
*Wakambiwa wanakimbia wenyewe uwanja wa vita[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika Urusi Katupa somo
View attachment 2476976
Bila ya CHUMVI [emoji23][emoji16][emoji23]Haya ndo machimbo makubwa ya chumvi kwa Ulaya.kwa iyo Ukraine kwa sasa Watakuwa wanakula chakula bila chumvi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2477405View attachment 2477407
Soledar warusi wamegonga kisiki, acheni kujidanganyaWanasafisha Soledar, then wanaeka camp.
MUNGU WETU IBARIKI URUSI KWA USALAMA WA VIUMBE WAKO WAISHIO KWENYE DUNIA YAKOI agree with him
Yani Kama kuna mtu anasubiria Russia aishiwe siraha basi hana tofauti na wale watu wanaosubiri Yesu/Issa arudi, ndio inaweza kutokea lakini itachukua muda mrefu sana na pengine hata isitokee kabisa.
Nadhani watu wengi wenye mawazo hayo wanaichukulia akiba ya silaha ya Urus nisawa na akiba ya silaha ya "Vatican city" ambao adui yao ni shetani na majeshi yake kama wachawi, majini na n.k pasipo kujua Urus ni taifa kubwa na lenye maadui dhidi ya mataifa makubwa kiuchumi na kijeshi duniani hivo basi hata namna yake ya kujilinda ni kubwa zaidi ya tunavyofikiria.
Huwezi kuwa hasimu wa USA, EU na NATO halafu ukawa na silaha za kumalizwa na vita moja tu ambayo haijamaliza hata miaka 5. Utafyekelewa mbali asubuhi na kupotezwa kwenye uso wa dunia.
Kitu kingine nikuwa wengi tunajizima data kwa kufikiri Russia imeanza kupigana vita mwaka jana pale Ukraine na kupuuza makumi ya vita iliyopigana kwa asilimia kubwa ya ushindi toka enzi ikiwa ndani ya Soviet union mpaka leo tena hadi vita za dunia imepigana halafu leo mtu kashiba viazi vyake huko Kakunyu ndani ndani anakuja hapa kubwabwaja "Urusi hawezi kuhimili hii operation silaha zitamuishia" daah! Wabongo bhana yani wanaamini nchi yao inasilaha za kutosha kupigana vita na kushinda dhidi ya nchi yeyote ya EA kwa zaidi ya mwaka mmoja ila Urusi haina silaha ya kutosha kuendeshea operation ya kijeshi pale Ukraine[emoji23][emoji23]
Nyie watu hivi hata huwa hamujiulizi yakuwa kama silaha zilishindwa kumuishia kwenye vita vya dunia, afighansitan, Vietnam, Korean, Syria, Venezuela, winter war na nk zije zimuishie kwenye operation ya kijeshi pale Ukraine kweli?
Hebu ndugu zangu tuacheni kujitoa ufahamu kwa mambo sensitive kama haya, mnadhani kama Urusi ingekuwa laini kama mnavyo lazimisha kuochukulia, USA na washirika wake (NATO) mpaka sasa wangekuwa wanabweka hovyo namna hii kama mbwa koko bila kuingia mzigoni kuichakaza Urusi kweli?
Ukiona wanabweka hivo bila kumsogolea basi jua hata wao wanajua Urusi ni kina kirefu wakiingia kichwa kichwa wanazama na ndo maana wahenga wa hapa jamvini wanasema;
"URUSI SIYO IRAQ, YUGOSLAVIA, ZIMBABWE WALA LIBYA" ambazo the so called international peace makers (USA&NATO) waliingia mzigoni kukichafua bila kupoteza muda.
Ndugu zangu, BILA URUSI [emoji635] HII DUNIA USA ANGEIFANYA KAMA JIMBO LAKE NAKUFANYA CHOCHOTE ANACHOJISIKIA BILA KUINGILIWA WALA KUPINGWA NA KIUMBE CHOCHOTE.
MUNGU WETU IBARIKI URUSI KWA USALAMA WA VIUMBE WAKO WAISHIO KWENYE DUNIA YAKO
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]URAAAAAA[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu jamaa ana imani balaa.yani mpaka leo bado ana amini Soledar bado haijanguka.Soledar warusi wamegonga kisiki, acheni kujidanganya
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Anayekonda ni wewe unayeshinda hapa ukichekacheka kama Malaya maana unapoteza energy nyingi [emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu jamaa ana imani balaa.yani mpaka leo bado ana amini Soledar bado haijanguka.
Bro URUSI sio Zimbambwe, utajikondesha bure