Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


JOKA LA KIBISA
 

Mig na China wapi na wapi??
 
Ukweli ni kwamba west wanaelekea kuimwaga Ukraine na kuachana na huu mgogoro, yaani wanatafuta exit strategy. Mainly through negotiations.
Mbona wanajiandaa kupeleka mamia ya vifaru vyao vya kisasa ?
 
Ukraine haijawahi kuwa mwanachama wa NATO hivyo haiwezi kuwa tishio kwa Urusi....mbona mataifa ya Baltic ambayo yalikuwa sehemu ya Ussr hayajavamiwa japo yapo NATO ?.... Finland naye ana mpaka na Urusi na anajiandaa kujiunga NATO mbona hajavamiwa mpaka Sasa?...

Hivi Vita ni sehemu ya mkakati wa Putin kujitanua tu kama alivyofanya huko Georgia mwaka 2008 na Crimea mwaka 2014........ila safari hii haitakuwa rahisi kwake.
 
Nashukuru hisabati nilipata mswaki. Ndio.
Bila shaka.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi we ulisoma PCM eh?
Vietnam gani unayoizungumzia? US hakuangusha utawala wa Vietnam wa General Ho Chi Minh. Kipigo lilikua kikali wakakimbia kwa helicopter kupitia paa za maghorofa.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Vovote vile lkn wajerumani waliwauwa Warusi Zaidi ya milioni 20. Na Russia Wala haikuishinda Germany ktk hiyo vita. Jidanganyeni huko

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kutoipenda Russia hakutasababisha historia yake ya kivita katika world war 2 kufichika na kudharaulika.
Wamagharibi hasa waingereza na Wamarekani wamejaribu na wanajaribu ku underestimate Mchango wa Soviet Russia katika ww2 lakini Hili halifanikiwi.
Moja ya dalili kuu ya ushindi wao ilikuwa kuingia Ujerumani na wakaigawa katika pande mbili wakajenga Iron Curtain

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kumfananisha Iskander na HIMARS Ni Kama kumfananisha mbingu na ardhi . Kuanzia accuracy ya silaha hii pamoja na Range yake ya umbali.
Iskander missile moja Ina uharibifu wa kutisha Sana. Fuatilia kuhusu accuracy ya uharibifu mjini Kiev hasa mwanzoni mean mgogoro huu.
Nb.
Mchina kwa Marekani Bado Sana. Mchina hucopy TU silaha za kirusi na Kimarekani na kuzalisha kwa maelfu. Eg J 16 Ni export version ya su 27
F6 ni mig 21
Na pia Wana version ya S 400 ya jina lao

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Miscalculation akiamini Ukraine ni dhaifu na raia wake wengi wangetaka kuwa upande Russia hivyo wanajeshi wa Russia wangepokelewa kama kwenye Harusi.

Hii ilikuwa iwe operation ya siku kadhaa kuondoa serikali ya Zelenskyy na kuweka kibaraka haikupangwa kuwa vita ya miezi na sasa mwaka.

Liliposhindikana hilo lengo ndipo Putin akageukia uporaji wa maeneo huko Mashariki ili kupunguza aibu ya kushindwa lengo lake kuu.
Ndio njiuliza nia ya Putin ni nini hasa??? Maana jamhuri nyingi tu zilizokuwa sehemu ya soviet socialists hazipo tena kama sehemu ya Urusi. Why Ukraine??
 
UMESEMA kweli na busara tupu mie najua mtu mwenye stress anavokua HUWA nakwepa ku engage nae .
 
Urusi kalemewa Kwa Ile Air Supremacy and Air superiority Yao mpk Leo hii Ukraine kuna Viumbe hai wanapumua !? Sio kweli Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…