Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russian Special Military Scrapeyard
 
Kwanini wewe usitaje la maana kwako lililotajwa pale kuhusu vita. Mimi kwangu ni hilo, kama hutakiView attachment 2525413
Ushauri wangu TU,ni kwamba zamani hukua hivi.
Uliheshimika sana humu kwa uchambuzi wako mzuri,lkn Sasa umekua unachambua kwa kuongozwa na chuki badala ya uhalisia.
Ukiona watu wanakushambulia sana ujue walikua wanakuamini sana,Sasa wanaona unawaangusha,hata Mimi nilikua nafatilia makala zako kwa lengo la kujifunza,lkn Sasa hauko hivyo Tena ,umekua mtu wa matukio na umepanic sana.
Bado una nafasi ya kurudi ulipofika hasa ukiongozwa na facts.
Ni ushauri TU.
 
Hapa namsikiliza kibabu Biden, anabwabwaja hiki na kile...Mimi nangojea aseme majeshi ya USA yanaingia Ukraine kuisadia...maneno ninayosikia ni democracy freedom, thank you all, may God bless the heroes...dah..duh...Putin kweli amewashika vibaya au pabaya...
 
Jeshi la machoko haliwezi kwenda kupambana na wanaume.. Hao wanaishia kupambana na wanamgambo wanaovaa kobazi wanajificha kwenye milima na AK-47 na RPG tu.. Tena hapo wanaenda msululu wa machoko kibao kutoka Amerika mpaka Ulaya yote
 
Mkuu huchoki tu, tangu malengo uanze kuyasema hadi leo hayatimii na yanabadilika. Mashabiki wenzako tunaowaamini kabisa wako wanalalamika hukuView attachment 2525081

Ila hiyo comment ya mwisho ni ukweli wake
Malengo yake yapi!!!??

Malengo yatakapotimia hakutakua na SMO tena hapo UKRAINE

Mimi wala sio shabiki nitoe huko
 
View attachment 2525407Russian Special Military Scrapeyard
Haaa naona tangu wakuite kiongozi wa wapiga nyeto wa jf hasira zako zote umezihamishia kwa Putin una bwabwaja bwabwaja tu bila mipangilio.

Haaa kwamba super power anapigana na Talban ambayo hawana hata viatu kwa miaka zaidi ya 20 na bado wanawashindwa na kuwakimbia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Shujaa muongoza njia alisha tahadharisha kuwa tuogope sana mungu na teknolojia hiyo Post yako kuhusu nyeto ni ya miaka mingi lakini sasa hivi wajuba wanaitumia kukuumiza kisaikolojia na wamefanikiwa maana siku hizi uwezo wako wa kufikiri umepungua kwa kasi ya ajabu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]nacheka kwa dharau.
 
Mara ya mwisho marekani kuvamia nchi ilikua mwaka gani !!!??
 
Ila mauzo ya nafaka yamepanda

Hata RUSSIA sio AFRIKA sababu alijua akiyumba huku kule atakaa sawa

Sijajua mnaangalia kigezo gani maana mwanzo walisema kwamba RUSSIA anategemea mauzo ya GAS kufadhili mnayoiita vita

Ila mauzo yameshuka lakini bado SMO yake inaendelea

RUSSIA kwenye hizi ishu hakukurupuka nandio maana mataifa mengine ya NATO huko yashaanza kugwaya kwenye kupeleka silaha na huu nimwanzo tuuuu
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Zile zircon hypersonic zinawapa Kwikwi.
 
Samahani BOSS hakuna sehemu nimebeza joe kutoa taarifa KREMLIN

Nililokua nalisema na kulisisitiza nikwamba joe hakuenda hajaenda na hataweza kwenda kule UKRAINE bila ruhsa ya MOSCOW

Huu ndio msimamo wangu na hata wao walithibitisha hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…