Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nikiendelea kukuita ndezi sio kwamba nakutukana hapana... La hasha nazidi kukusifia tu... Mkiambiwa mnakariri bila kuelewa mtasema tena sie twajifanya wajuaji.

Huenda ukawa unacopy na kupaste so mbaya ila ubaya huja pale unapocopy kitu kisha ukashindwa kukielezea... Ukacopy kitu usichokijua.

Katika maelezo yako yote hujajibu niliyokuuliza. Unajua even how GDP is calculated? hiyo ambayo umekomaa nayo kila nukta? Ngoja niassume hufaham nisiendelee kukuuliza.

Kingine kwenye maelezo yako unazungumzia trade balance hali kadhalika demand and supply vinachagiza katika value ya currency husika...

Ndio n kweli but hizo ni katika factors zinazotumika kudetermine value of currency...

Nikuulize swali kama hujakariri unaeza kunielezea au kutuelezea sababu za Kuwait Dinar kua na thaman Mara 3 zaidi kuliko dollar? Kwa kutumia factor ya Demand and Supply?

Factor nyingine ya Trade balance, na nakupa tena swali utujib kama kweli hukariri mambo.

Kwa data za 2020 Tanzania alikuwa na Deficit ya around Tril 4Tsh (1.83B USD) hv kwenye Trade Balance yake ilhal nyie Kenya apo mlikuwa na trade deficit ya zaidi ya Trillion 20Tsh (9.4B USD)... Mna budget deficit ya around -8% to GDP ratio ila sie tuna deficit ya -1.8% ratio kwa pato letu la taifa... Enhe ikawaje bado ela enu ikawa kubwa kuliko ya Tz?

Na swali lingine la kizushi na la ziada ka kweli hukariri unaelewa unachokizungumza... Unaeza kutuelezea sababu za kushuka kwa kasi kwa thaman ya Ruble baada ya kutangazwa vikwazo ilifika mpk 1USD = 134Rubles mwezi March 12....

Lakin leo hii tunaandika apa 1USD = 104Rubles... Unaeza kutuelezea sababu ya kuanza kuimarika kwa hyo rubles? Is it demand and supply effect? Is it handling of Micro economy? Is it Surplus of balance of trade? Is it due lack inflation?

Kijana tuendelee tu mjadala wa vita kila mtu na team yake [emoji2958][emoji2958][emoji2958] HUKO ACHANA NAKO.
 
🇺🇸🗞📲 Donald Trump Jr. and other former Trump staffers are launching a free news aggregation app to combat what they say is bias against conservatives in the media space, Axios reports.

The app MxM (minute by minute) News, a potential competitor of Apple News and Google News, will curate news stories from an array of publishers.

"We created the MxM News app to help people cut through that clutter and get trustworthy news and information about topics that matter and impact their lives … We view it as an important public service and also believe it will be a great business," Trump Jr. said.
 
Allegations of this magnitude need to be accompanied by credible sources. There is a need to distinguish between a person who is a national of Israel and someone who is a Jewish by religion.
In order to balance the story, let's hear on the side of conflict with respect to issues pinpointed in your post.
 
"Russia should continue to supply oil to democratic countries, but the recipients should not pay for it."

Such a great American-style business idea was voiced by former US Ambassador to Russia Michael McFaul.

In his opinion, "democratic countries" should withhold payment for Russian oil until the end of hostilities in Ukraine. But they must not remain without oil.
 
Latvian Church Catches Fire During Ukraine-Themed Mass


Just as the priest asked if Russian soldiers taking part in the conflict should be forgiven, the church went up in flames! The incident was caught on camera by a local news crew.


According to Latvian media, nobody was hurt, and the holy site is under repair.
 
Unasema taifa kubwa duniani linaporomoka na haliwezi kuanguka hivi hivi ... .....ni marekani au urrusi ......
Italy ilikuwa inatisha lakini ilianguka kwa free fall. Ugriki ilikuwa na nguvu balaa.

Hii dunia haiwezi ikamilkiwa na kundi la familia ya watu wachache. Anguko la Marekani ni uhuru kamili kwa wamarekani.
 
Huwa ninachokaga sana kumjibu mtu bado ananuka maziwa mdomoni kwa uchanga hapa JF,hebu kuwa kwanza ufikishe walau mwaka mmoja ndiyo urudi kuniquote 😉
Kwani hii vita ya ukrain imeanza mwaka 1990 ....et nyumbu ....
 
Biden said Russia's Kinzhal hypersonic missile is just like any other missile, except "it's almost unstoppable."
Galip SV Liwagu View attachment 2160318
Ile Kinzhal ina warhead ndogo unless waipe nuclear warhead. Mlipuko inayotengeneza ni wa kawaida sana hata video clip waliotoa Warusi wenyewe inaonyesha. Alafu missile yenyewe ni very expensive
 
Na baada ya hii vita,mataifa mengi sana yatafanya tafakuri ya mustakabali wao hasa hizi taasisi za kimataifa na kujiweka chini ya marekani kama kiongozi wa dunia.
Russia anachokifanya ni kuwaumbua tu. Sanction wanazozitoa hakika wamekurupuka. Nadhani hawa wazungu sometimes maamuzi yao ni ya muhemko. Huenda kuna kijana mdogo uanaongoza deep state kwa sasa.
 
Wewe mkenya unashupaza shingo na "Kiev mmechukua" huko wenzio wanaendelea kupokea kipigo [emoji1787]

Vita ni vita, lazima pawe na kipigo, ila leo siku nyingi zimepita ilhali Kiev iliyokua ichukuliwe kwa special operation imekua mfupa uliomshinda fisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…