Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine yasema leo Russia imedondosha mijibomu mikubwa miwili ya ajabu na yenye nguvu kubwa ktk mji wa Mauripol. Serikali yenyewe ya Ukraine imeshindwa kujua ni aina gani ya mabomu hayo kutokana na ukubwa wake na nguvu ya uharibifu

Hayo yamejiri baada ya Russia kutoa masaa kadhaa kwa wapiganaji wa Ukraine waliomo kwenye mji waweke silaha chini na wausalimishe mji wa Mariupol kwa majeshi ya Russia. Walipokaidi ndio wamedondoshewa hizo dhahama mbili.

Mwambieni Zelensky ajifunze kutii sheria kwa hiari pasi na shuruti

 
Hata wenyewe wamejaza chanjo za Westerns mwilini. Hata vifaa vya hospitalini wanatumia, magari wasio na Mjapan au Mchina its likely watakuwa na Western. Nani pro Russia humu anatumia Lada ambayo ni kampuni kubwa ya magari Russia? Bado hata yenyewe iko majority owned na Renault ya Ufaransa. Watajibu gesi, mafuta vitu ambavyo hata Nigeria anatoa
 
Urusi imeshindwa kutimiza malengo yake huko Ukraine, hili lipo wazi kabisa.

Wanachofanya Sasa ni kuharibu miundombinu ya Ukraine ili kuwatia hasara ila kuangusha utawala wa Ukraine imekuwa ngumu.
Tatizo hapa Urusi inapigana na karibu bara lote la ulaya na America. Ukraine ni sehemu ya kupima product za silaha
 
Hizo zote zipo mikononi mwa Marekani
 
Hatua wanazochukua Rusia dhidi ya mataifa yanayofuata anachokisema au kutaka USA,inadhihirisha jamaa wakoradhi hata kuishi na marafiki 2 kuliko mamluki kibao.
Jino kwa jino kwa kila anayezingua.

Mmarekani amewashika matako kuna wengine ndani humu. Nchi kama UK ilibdi iwe mbali sana kiuchumi ila ndo hvo mmarekani anawatia gumba wanakenua tu.

Mpaka sasa Russia ameonesha njia sahihi ya kudeal na hawa wanafiki na tumeona hao west walivyo waoga na dhaifu ni sawa na mbwa koko anabweka huku anakimbia na mkia umefyata.

West wamebaki na maneno na vikwazo hiyo ndo silaha yao, tumshukuru mrussi kaonesha njia mataifa mengi yalikua usingizini yameshtuka

Tutashuhudia mengi sana mbeleni. Kiuhalisia hata nyie pro NATO mnajua Marekani hapendwi yani tukichukua nchi zote zikapiga kura za siri mmarekani hawezi zidi kura 10. Mtu kukupa mssada mpaka ukubali kupitisha ushoga si mashetani hawa?

Afu kuna vilaza wanaiunga mkono asee kweli africa bado sana sisi[emoji119]
 
Vipi tena nyinyi wajapaniola, si mlituanza kidogo tu mshaanza lialia
 
Mkuu nakuheshimu sana kwahiyo sihitaji nianze kutilia mashaka heshima ninayo kupa.
Hii vita tunafatiria wote hakuna anaye hadithiwa.
Magari yote ya Urusi yana nembo ya V au Z zimeandikwa ubavuni, nyuma na mbele ya gari sasa hili mbona halina?
Hahahaha Pro Putin kipindi hiki tumewabana ukutani kudadadeki,kila zana zenu mnazikana kuwa sio zenu mnataka muone herufi Z. Tuliwaambia hapa silaha na technology za Mrusi haimfikii za Marekani mkawa mnasema supa pawa
 
Tangu lini jinsia ya kiume ikapendelea kutumia neno "kuchambana"? Relax Mkuu,najua Putin kawalet down,special operation ya siku chache imekuwa balaa.
 
Yes mpaka mtoke kwenye reli. Hapa tukubaliane kwamba superpower wenu mmemtetea vya kutosha mkakosa hoja. Sasa tuhamishe mada
Superpower amegeuka kuwa Superkibatali,to be honest hii vita imeliweka uchi Jeshi la Russia vibaya sana,wale majama wa mitaa ya Washngton DC and the Co watakuwa wanagonga glass za mvinyo huku wanacheka wakiona Superpower wa makaratasi anavyohangaishwa na Comedian Zelensikyy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…