Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,558
Mkuu kuna vitu huvifahamu hivi unajua Ukraine walikuwa wanapanga mashambulizi kwa raia wa Marekani na nchi za ulaya ili kuwavuta NaTO waingilie mgogoro moja kwa moja, tena walipanga kufanya unyama na ugaidi wa hali ya juu kwa sura ya Russia, majasusi wa Russia wamegundua hilo na kuna general mmoja wa Ukraine alipokamatwa amekiri juu ya mpango huo.Kuanzia mwanzo tulijua Ukraine hana ubavu wa kupambana na Urusi, tulijua Urusi kwa namna huwa inasifiwa itagaragaza Ukraine mbaya mno kwa siku tatu kama walivyojinadi, ila leo tumekuja kugundua Urusi ni nguvu ya soda, hamna lolote pale, wameshindwa kuteka mji wa Kiev, wameuawa hadi basi.....
Mkuu kuna vitu huvifahamu hivi unajua Ukraine walikuwa wanapanga mashambulizi kwa raia wa Marekani na nchi za ulaya ili kuwavuta NaTO waingilie mgogoro moja kwa moja...
Nazungumzia uhalisia kwamba Ukraine haiwezi battle na nchi kama Russia.Tatizo mnaaminishana vitu vya hovyo huko vijiweni na kwenye misikitini, tunachojua na kuona ni uonevu wa Urusi dhidi ya taifa ndogo la Ukraine, ameingia kushambulia nchi ya watu na kupiga mabomu raia wake kwenye mauaji ya kimbari. Mwanzo Putin alisema itakua special operation ya siku chache, alichokutana nacho pale kimemtia aibu hadi ameamua kulipua raia na kuawaua popote, tumeshuhudia vifaru vinapitia juu ya magari yenye watu ndani.
Kwa sasa Urusi ipo kwenye hali mbovu, uchumi unadondoka kwa mwendo kasi, na dunia imeingiwa na hamaki dhidi yake, kwa kifupi Putin alikosea steps balaa na italigharimu taifa lake, litasalia tu na manyuklia yake ambayo kuyatunza ni gharama kubwa sana.
Nazungumzia uhalisia kwamba Ukraine haiwezi battle na nchi kama Russia...
Allegations of this magnitude need to be accompanied by credible sources. There is a need to distinguish between a person who is a national of Israel and someone who is a Jewish by religion.
In order to balance the story, let's hear on the side of conflict with respect to issues pinpointed in your post.
Kwanza Urusi ni vidume. Mkino wa NATO umetamalaki kimya kimya Ukraine. Makomandoo naa watalaam wa vita wa Marekani wako pale.Hii ilikua iwe special operation ya siku tatu, leo bado wanazunguka zunguka....
Mrusi wa BuzaRussia wanashambulia wakikuta kuna resistance kali wanarudi nyuma halafu wanawazunguka, toka vita inaanza ndio mbinu yao...
Hii vita imekuwa tamu, dubu anaaibishwa, tumpe heshima Marekani ambaye ana uwezo wa kuhamisha watu 10000 ndani ya siku kutumia C17 globe trotterAnti armour weapons made in Spain. Hizi zitasaidia kupambana na APC na IFV, kwa tanks sio most effective. Hizi ni nyepesi sana na nzuri kwenye hit and run za mjini mitaani.
Zimefika PolandView attachment 2160961
Mi hawa watu nimeamua watia block tuMzee utateseka sana kama ukiendelea kunifuatilia maana naona nakukasirisha. Nakushauri ufanye kuniblock au uwe na vipimo vya BP karibu yako ili usije acha familia bila wosia. Nitaendela kuwa humu, huna hisa JF na hunipangii.
Sanasana nitakusaidia kukupa handkerchief ufutie machozi. Kushinda kwangu Wikipedia haikufanyi Urusi ipoteze vita, hainijui hataView attachment 2160983
Hii vita tumejifunza tech nyingi sana. Ashukuriwe Marekani, spaceX kwa kuwasaidia Ukraine space Link inayotuwezesha kupata kiendeleacho vitaniDunia imebadilika zamani kupata picha ya satellite ngumu ila mtandaoni watu wanatuma coordinates za silaha. Hapa unatuma drone ije direct kufanya confirmation inalipua au kama ni reconn inadirect artillery strikeView attachment 2161002
WanHoo hiyoWakati Marekani anatelekeza Humvees kule Afghanistan, huku superpower uchwara wapiganaji wanaomuunga mkono kutoka Donbass region wanaendesha nini hiki tunaita huku wanabebea nyanya sokoni. Sijui ni Bajaji nayoView attachment 2161025
Nimeona jinsi cluster zinavyofanya kazi ni hatari aisee ila naona zinatumika misituni sanaHiyo ni Soyuz rocket hasa kazi kubwa ni kutuma satellite nje ya dunia. Hilo kombora lenye nyongeza unalosema either ni ballistic lenye masafa marefu lenye vichwa vingi (MIRVs) ambalo ni nuclear na halitumiki hapa.
Au unasema rockets zenye vibomu vidogovidogo vingi (cluster munitions) ambazo Russia anatumia.
kwa sababu cc wote hatuko uwanja wa mapambano, naona ukraine kajitahidi sana. russia ni one of the world superpowers, ukraine ana trail far behind among super powers kama kamuweka vitani russia karibia mwezi sasa kwa kweli zelensky kajitahidi sana, russia atakuwa amepata hasara kubwa sana kwenye vita hii. kumbuka hata marekani alijiamini sana wakati alipoingia mazima vietnam, kilichomkuta huko anayo habari mpk leoUjue ukweli wa vita hausemwi, Ukraine haina ubavu wa kushindana na Russia, Russia wamepiga zaidi ya vifaru 1500 ya Ukraine, drone 230, air defense system zaidi ya 180.
Hii vita haisemwi upande wa pili, ukiwa unampiga mtu anajifanya ye ni mgumu hasikii lazima uongeze ujazo wa kipigo na hiko ndicho kinachomkuta Ukraine, wanajikakamua lakini ngumi ni nzito mno kana kwamba wapo kati kati ya ku surrender, hata Russia yenyewe walijua wata surrender lakini Ukraine wanajikaza lakini wanaugulia maumivu, wana bleed ndani kwa ndani ila wanajikaza tu.
Mkuu upo objective, lakini mleta mada ni subjective. Kwa hiyo, hawezi kukuelewa. Kikubwa uendelee kutuhabarisha juu ya mzozo huu bila kuzingatia sana taarifa za mleta mada.Mkuu kuna vitu huvifahamu hivi unajua Ukraine walikuwa wanapanga mashambulizi kwa raia wa Marekani na nchi za ulaya ili kuwavuta NaTO waingilie mgogoro moja kwa moja...
Usalama wa Dunia au wa kwake mwenyewe[emoji4]Rais wa Ukraine mh Zelensky amesema yuko tayari kukutana na Rais Putin wa Russia katika mazingira yoyote.
Zelensky amesema ni muhimu kukutana kwa ajili ya usalama wa dunia.
Source: CGTN
Unasahau Ukraine anasaidiwa na nchi za NATO kupitia mlango wa nyuma siyo moja kwa moja.Tatizo mnaaminishana vitu vya hovyo huko vijiweni na kwenye misikitini, tunachojua na kuona ni uonevu wa Urusi dhidi ya taifa ndogo la Ukraine, ameingia kushambulia nchi ya watu na kupiga mabomu raia wake kwenye mauaji ya kimbari. Mwanzo Putin alisema itakua special operation ya siku chache, alichokutana nacho pale kimemtia aibu hadi ameamua kulipua raia na kuawaua popote, tumeshuhudia vifaru vinapitia juu ya magari yenye watu ndani.
Kwa sasa Urusi ipo kwenye hali mbovu, uchumi unadondoka kwa mwendo kasi, na dunia imeingiwa na hamaki dhidi yake, kwa kifupi Putin alikosea steps balaa na italigharimu taifa lake, litasalia tu na manyuklia yake ambayo kuyatunza ni gharama kubwa sana.
Unapambana na mtu unaemzidi kwa kila kitu,bado unakimbilia kutishia kutumia Nukes hiyo ni dalili tosha ya kuzidiwa .Ulishawahi sikia wapi USA katishia silaha za Nuke katika vita zake zote alizopigana ambazo ni nyingi zaidi kuliko huyo Russia.Ki ufupi Russia kazidiwa na hii vita imemuweka uchi uwezo wake wa kupigana,hakuna kitu ndiyo maana anapanic hadi kutishia NukesRussia wanashambulia wakikuta kuna resistance kali wanarudi nyuma halafu wanawazunguka, toka vita inaanza ndio mbinu yao.
Wakizungukwa ujue hawatoki, ngoja tusubiri uone...