Nasikia hostomel bado hapashikiki, pamekuwa pa moto sanaHawa VDV ni special force ya Marekani, ni kama 82nd Airborne Division ya Marekani. Ila hawa wanakufa sana tangu wameanza kutua pale Hostomel siku ya kwanza ya vitaView attachment 2161247View attachment 2161248
Kina Maxar Technologies na PlanetLab huwa wanatoa picha nyingi free zikishanunuliwa na wateja, wapo kina Bellingcat tangu vita ya Syria wanatoa taarifa amazing za location. Hata FlightRadar wanatoa location ya ndege bure zikiwsha transponders. Kuna private companies nyingi raia wanaweza access kiasi chakeHii vita tumejifunza tech nyingi sana. Ashukuriwe Marekani, spaceX kwa kuwasaidia Ukraine space Link inayotuwezesha kupata kiendeleacho vitani
Ndipo walipoanzia tena wakiwa na special forces. Ukraine walikuwa hawajajipanga wakaretreat kufanya regrouping na makombora mengi ya Russia yalipiga hapo day one. Ni strategic area ile inapambaniwaNasikia hostomel bado hapashikiki, pamekuwa pa moto sana
Hehehe sasa mumeanza kujitetea eti makomando wa US ndio wamewachelewesha.Kwanza Urusi ni vidume. Mkino wa NATO umetamalaki kimya kimya Ukraine. Makomandoo naa watalaam wa vita wa Marekani wako pale.
Marekani haijawahi ongea maneno matupu hata siku moja.
Unasahau Ukraine anasaidiwa na nchi za NATO kupitia mlango wa nyuma siyo moja kwa moja.
Kama ingelikuwa peke yake siku 4 nyingi angesaliti amri.
Pale Russia anapigana na wengi hata hivyo atawashinda tu. Ni suala la muda tu.
Asante kwa ibu. Sidharau jeshi la Kirusi. Ila ni vema kutambua tofauti ya yale unayolinganisha. Libya tuache nje, hapo Marekani hawakuingia wa jeshi la ardhi, ilikuwa ndegevita pekee. - Hata Afghanistan serikali ya Taliban iliondolewa na jeshi lake kuvunjwa 2001 na wapinzani Waafghani pamoja na msaada wa ndegevita na komandoo wa Marekani. Baadaye walijaribu kuidhibiti nchi kwa serikali ya Waafghanistan (maadui wa Taliban) na kwa mchanganyiko wa wanajeshi wao na wa Kiafghani. Iliyofuata ilikuwa vita ya msituni ambayo hawakushina na hatimaye kuondoka.Mkuu hebu tuangalie huyo America na Nato walitumia siku ngapi kuiangusha Afghanstan au hata Libya? Strong Alliance with sophisticated weapons na unmanned drones kweli mnatumia siku nyingi namnahyo kwa watu wanaotumia silaha za kizamani? Twende kwa mrusi sasa. Hadi mda huu silaha ya kisasa aliyotumia ni Hypersonic missiles zilizobak zote anatumia zakizamani. Tena ni sawa na yuko pekeake tu kwenye hii vita wakat Ukraine anapata sapot ya silaha na vikwazo vya kiuchumi. Bado mzee unaidharau nguvu ya jeshi la kirusi?
Kumgaragaza Ukraine kwa siku tatu ingewezekana kama Russia ingeingia kama vita kamili. Hii ni operation maalum na Russia inajitahidi sana kuepuka vifo vya raia wengi na ndio maana kuna siku wanaweka pose ili kuruhusu wananchi watoke ktk maeneo hatalishi.
Unalizarau jeshi la Russia kwasababu tu umeshupaza shingo. Hio NATO imeundwa kwa ajilo ya kuikabili Russia na toka ihundwe mpaka leo hii NATO haijiamini kama wanaweza kuikabili Russia. Mfano mwingine, jiulize kwanini sehemu yoyote USA au NATO wakianzisha chokochoko na Russia akitia timu NATO/USA wanatoka nduki. Mfano mzuri tu wa kalibuni Sirya na Venezuela
Hivi ni nani yule ambaye anatishia watu nyuklia.. 🤣🤣🤣Sio wewe wala mimi tunaoweza kupima uwezo wa jeshi la urusi. Hao hao wa magharibi tena wataalamu sana kwenye maswala ya military ndio wanaotuambia uwezo wa nguvu za kijeshi za urusi.
- Wakati vita vinaanza,
Putin: yeyote atakayeingilia sisi tunaye
- Vita vikiwa vimepamba moto na ukraine anaelemewa
US: poland wapeni ndege vita ukraine.
Poland: tutazileta kwenu US hizi ndege vita zetu ili nyie mzipeleke huko ukraine.
US: basi bwana kama vipi tumeghairi. Hata sisi hatutapeleka hizo ndege huko ukraine
Zelensky: Nato/Us ni waoga wanamuogopa russia.
Assad bado yupo mpaka leo (kwa hisani ya putin)
Maduro bado yupo mpaka leo (kwa hisani ya putin)
Georgia alizingua akapigwa vibao mchana kweupe na hakuna aliyesema kitu
Crimea ilimegwa kama keki na hakuna aliyefanya kitu
Ukraine wanapigwa dk hii na hakuna aliyefanya kitu
Bado unaubeza uwezo wa urusi kijeshi!?
World's nuclear super power[emoji736]
Urusi haijaisha na wala haianguki. Wewe ndio unataka ianguke na iishe kabisa. Wapo watu kila pembe ya hii dunia masaa 24 wanatumia akili zao zote mpaka mwisho kuhakikisha Russia inazidi kusonga mbele na wewe uko hapa unategemea itaanguka hivi karibuni!? Hilo linabaki kuwa dua la kuku kamwe halitamfika mwewe. Rasilimali!? Hakuna nchi dunia hii yenye rasilimali kama russia na wala vita hii haitochukua muda mrefu kama unavyohisi wewe.
Urusi imeteka kamji kamoja tu!? Bwahahahaha endelea kujipa moyo waView attachment 2161010
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Anayevamia asiwe kichaa ila aliyevamiwa ndio awe kichaa.! Hiyo assertion yako iko kinyume sana na ina misingi ya kishabiki.How can you make demands while you on loosing side.huyu Rais wa Ukraine ni kichaa.
Hao wanapigania nchi yao wewe ulitaka wakishavamiwa wakalale ndani.Raia gani? Hawa👇👇👇👇 mliowabebesha magobore wapambane na makombora huku wakivizia kwa kujificha kwenye makazi ya watu!
Hao wanatandikwa kama wanajeshi wengine tu
View attachment 2160764View attachment 2160765
Hongera zsoPerformance ya Ukraine leo imenifurahisha. Kesho nawatakia upambaji mwema superpower wa mafuta na gesi mwenye uchumi wake na BRICS duniani abanwe. Zile meli zilizoonwa na Japan zinafika lini hizo zinaleta shidaView attachment 2161035View attachment 2161036