Mbona wanachafua image ya mama ,sidhani kama Rais ana muda wa kunyooka na wale wanaomkosoa,ila wapambe uchwara wanajidai kumsemea.
 
Sio kauli nzuri kwa kiongozi
Haya masuala ya usalama wa Rais ni kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama na ni Siri utendaji wake
Hao vijana walale na mtu Kisha wageuziwe kisasi watajuta
 
Kamishna Awadhi uko wapi je huyu ajaleta taharuki?
 

Attachments

  • VID-20240817-WA0009.mp4
    1.4 MB
Spika anakua na lugha za ugomvi hivi je wengine itakuwaje.? Mtu anayeheshimika lkn yy apendi kuheshimu wengine.
 
Kisheria, ni nini maana ya maneno "nyoooka naye!" ?
 
Hapa tunaunganisha na tukio la kupigwa kwa Sugu na viongozi wengine wa CDM Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…