Hii kauli ya Sipika ndio iliyopelekea yule kijana aliyechoma picha yake yenye mchoro unaofanana na Rais apotee na asijulikane mpaka leo.

Mijitu ya ovyo kama hii huwezi kuikuta Kenya maana zamani wangekuwa washamalizana na wananchi
 
Hivi anao ubavu hata wa kupigana na mwanmke mwenzie kikinuka?
 
Wanawake na taswira zao kwenye wakiwa kwenye madaraka!
 
Humohumo ndo wanapochomokeaga nyoka... Waache vijana wabahatike na kesho zao zilizo tamu bana 😂👍
 
Huyu nae atakutana na mapigo mpaka atakuja kuuliza ndie amewahi kua speeker, ni swala la mda,

Nimekuelewa na ni kweli maana Imeandikwa: “Mwenyezi Mungu huwapinga wenye viburi .”

Hata yule ex sabufa hakujua amefikaje hapo alipo.
Mwenyezi Mungu akiamua ako na jinsi zake za kushusha kiburi cha mwanadamu na kuwanyoosha.
Imeandikwa: hautathibitika.
Mungu atainua mtesi mwenye jeuri zaidi yako akushughulikie akunuooshe.
Hiyo ndio kanuni Mojawapo ya jinsi ya kuingilia kati au kuamua ugomvi .
 
Mwanadamu yoyote akishajitia kiburi Basi Mungu huinika kumpinga.
Bali huwapa Neema wanyenyekevu wa moyo.
 
Upo sahii sana ,shida watu wakiinuliwa huona wengine wapumbavu
 
Mkuu ili kuwa Mbunge, Diwani na Mwenyelkiti wa Mtaa, sifa ya elimu ni kujua kusoma na kuandika. Mtu mmoja Aliniambia " hata kama una madigirii na madiploma makubwa makubwa ukichanganyikana na mimi wa ngumbaru katika kutatua/kupanga mipango basi jua kuwa usomi wako unapungua kidogo kidogo na hatimaye ndiyo haya tunayaona.
 
Mimi ni MTANGANYIKA, kura yangu ya Urais 2025 nitapiga KITANGANYIKA!
 
Huyo Tilia ni shetani ila huwa anajificha kwenye ulokole wakati ni mshirikina mkubwa. Bila shaka hata kwenye hii mipango ya utekaji anaweza kuwa ni mfadhili, mtia moyo na mshauri. Ana roho mbaya sana huyu mtu.
 
 
Wameufanyia kazi ushauri wake,hongera kwake.
Sasa roho yake imesuuzika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…