Na siku wakinyooka na wewe usilie. Unapofurahia kuumiza wengine kisa Tulia kakwambia , usilie siku ukigeukiwa.
Amina mtumishi,CCM oyeeeeeeeeeeeeeee,CCM Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Nyokeniiiiiiiiiiiiiii
 
Hana lolote. Spika wa hovyo kuwahi kutokea Hana umakini wowote. Tangu alipo wakingia kifua kina Halima Mdee nilimuona kilaza wa mwisho asiyekuwa na maana. Yupo pale kwa Tumbo lake tu.

You're absolutely entitled to your opinion.
 
Wasaidie vijana kwa kutengeneza ajira katika jimbo lako na wakiwa busy hawatakuwa na mda wa kuwasema viongozi. La pili wewe nimekuona ukiingia kanisani (Mcha Mungu) na kwa maneno unayoongea sijui kama ni mazuri kwa mcha Mungu kuwaambia vijana hivyo lakini ungewafundisha vijana neno la Mungu linasema ni vizuri kuwatii viongozi na wakiona mtu anakwenda vingine wamuonye na si kuwaambia wamshughulikie maana hapo unatengenezaa uadui na anaweza akauliwa mtu na ikawa murder case. Sasa hapo umesaidia au umeharibu. Afadhali ungesema mtu akimsema vibaya kiongozi aripotiwe polisi na si vinginevyo.
 
mcheki na misurumbweta yake vile!!(tusi maarufu walitumialo walimu wakike)
 
Habari za muda huu wadau.

rejeeni kichwa cha habari hapo juu.
M/kiti wa bavicha taifa na wenye viti wa mikoa na wilaya zote tanzania bara na visiwani tunaomba tumjibu huyu bibi TULIA ACKSON kuwa sisi kama vijana tupo tayari kwa lolote alilowaagiza vijana wake, tupo tayari kwa kazi. tutamfurahisha muda si mrefu, anatubip tumpigie kabsa,

uzi tayari,

nasema tuanze kujiandaa kujibu mashambulizi, wakianza tunamaliza.
nimemalizaaaaaaaaa tumsifu yesu kristuu
 
haikubaliki, haikubaliki haikubaliki haikubaliki haikubaliki haikubaliki haikubaliki haikubaliki nasema haikubaliki haikubaliki
 
Dk tulia anasimamia mhimili mkubwa unao Tunga Sheria na kuisimamia serikali!! Kasema watakaomsema rais .
Washughulikiwe!! Mimi najua rais hajawa mungu kwamba asisemwe! Akiifanya vizuri tutampongeza ila akidemka tutamsema bila kuchoka Wala kuogopa kauli ya tulia!! Kama tulia amefikia Mahali pa kutaka rais asisemwe huku uraiani vipi bungeni nako wataruhusiwa kumsema rais akikosea? Rais sio mungu na kamwe hatakuwa mungu !! Kwa nini tulia anamuwekea kinga rais ! Kuna nini? Tutamsema ,tutamsema na tutamsema tena!!! Tulia anaona watanzania wote ni sawa na familia yake !! Asali imemlewesha anzeni kuwashughulikia !! Watanzania sio waoga ila ni wavumilivu!
 
Hekima haisemi hivyo.. Hekima inatufundisha kuwa werevu kama nyoka! Chizi akikuibia nguo humkimbizi. ..
 
Anahamasisha watu qachukue sheria mkononi
 
haikubaliki, haikubaliki haikubaliki haikubaliki haikubaliki haikubaliki haikubaliki haikubaliki nasema haikubaliki haikubaliki
Ndio haikubaliki kabisa lakini Tulia anatafuta wa kufa nao, kuna kivuli kinamtisha halafu anaokiogopa sana.. Fear of the unknown
 
Tulia kachemka wapi tena. Ccm nao mambo yao
 
Rwanda huruhusiwi kisheria hata kuchora katuni ya kumdhihaki kiongozi yeyote wa mihimili yote mitatu bila kujali wa juu au chini


Wanaruhusu kuongea kistaarabu tu hawataki Matusi

Mfano nimekwambia wewe Raisi Bwege pointi gani ya maana nimeongea hapo?

Tulia yuko sahihi tufike mahali tuongee pointi tu sio matusi
 
Naunga mkono hoja ,spika ni kiongozi mkubwa katika Taifa lolote , endapo rais,vice president, pm hawapo nchi inabaki mikononi mwake

Huyu katangaza vita vya wazi kabisa na asipochukuliwa hatua na chama Chake ,tafasiri itakua ni kauli ya chama,

So vita ambavyo ameamua vianzia Mbeya vitaishia Mbeya, ushauri

Chama Chake kimuajibishe KWa kumuondolea nyadhifa zote ndani ya chama, na ajiuzuru Mara moja ,haikubaliki hii
 
hapo yeye ameongea point gani sasa??? mbona kama mnakuwa hamna akili hivi?? learned kabsa uanaongea upuuzi huu???
 
hapa sio rwqnda sasa.
 
Speaker wa bunge la jamhuri ya Tanzania Dr Tulia Akson, leo tarehe 3. 10. 2022 alipokuwa anaongea katika kikao na vijana wa CCM amewasisitiza kwamba ikiwa kuna mtu yeyote atakaye msema raisi Samia Suluh vibaya basi wana wajibu wa kudeal naye sambamba.

Speaker tulia kauli hii ni ya uchochezi na kauli kama za kwako yalipelekea mauaji ya kimbari, hivyo unachokitafuta utakipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…