Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye
Hii haikubaliki katika nchi inayojinasibu ni kidemokrasia
 
speaker wa bunge la jamhuri ya Tanzania Dr Tulia Akson, leo tarehe 3. 10. 2022 alipokuwa anaongea katika kikao na vijana wa CCM amewasisitiza kwamba ikiwa kuna mtu yeyote atakaye msema raisi Samia Suluh vibaya basi wana wajibu wa kudeal naye sambamba.

speaker tulia kauli hii ni ya uchochezi na kauli kama za kwako yalipelekea mauaji ya kimbari, hivyo unachokitafuta utakipata
Ka video please!
Kama kweli kasema hivyo atakuwa amekengeuka..
Inaitwa ulevi wa madaraka
 
Ndivyo ilivyo huwezi kukubali boss wako asemwe vibaya all in all mkubwa lazima aheshimiwe kwa gharama yoyote na sio utamaduni wetu sisi watanzania kumsema rais vibaya japo kuna wachache miongoni mwetu wanakengeuka na kujitoa ufahamu
Yeye ameomba kazi wenye kazi yetu tusimseme yeye ni Nani huyo MUNGU anasema sembuse yeye ,tulitaka Uhuru 1961 Kwa mambo kama hayo hatutaki utumwa kwenye nchi yetu kama amechoka kazi aachie ngazi
 
speaker wa bunge la jamhuri ya Tanzania Dr Tulia Akson, leo tarehe 3. 10. 2022 alipokuwa anaongea katika kikao na vijana wa CCM amewasisitiza kwamba ikiwa kuna mtu yeyote atakaye msema raisi Samia Suluh vibaya basi wana wajibu wa kudeal naye sambamba.

speaker tulia kauli hii ni ya uchochezi na kauli kama za kwako yalipelekea mauaji ya kimbari, hivyo unachokitafuta utakipata
Wa kumpa hicho anachokitaka ni nani ?
 
Ndivyo ilivyo huwezi kukubali boss wako asemwe vibaya all in all mkubwa lazima aheshimiwe kwa gharama yoyote na sio utamaduni wetu sisi watanzania kumsema rais vibaya japo kuna wachache miongoni mwetu wanakengeuka na kujitoa ufahamu
Utamaduni wako na familiar yako tu...lazima asemwe na atasemwa tu..
 
Back
Top Bottom