Hii haikubaliki katika nchi inayojinasibu ni kidemokrasia
 
Ka video please!
Kama kweli kasema hivyo atakuwa amekengeuka..
Inaitwa ulevi wa madaraka
 
Ndivyo ilivyo huwezi kukubali boss wako asemwe vibaya all in all mkubwa lazima aheshimiwe kwa gharama yoyote na sio utamaduni wetu sisi watanzania kumsema rais vibaya japo kuna wachache miongoni mwetu wanakengeuka na kujitoa ufahamu
Yeye ameomba kazi wenye kazi yetu tusimseme yeye ni Nani huyo MUNGU anasema sembuse yeye ,tulitaka Uhuru 1961 Kwa mambo kama hayo hatutaki utumwa kwenye nchi yetu kama amechoka kazi aachie ngazi
 
Wa kumpa hicho anachokitaka ni nani ?
 
Ndivyo ilivyo huwezi kukubali boss wako asemwe vibaya all in all mkubwa lazima aheshimiwe kwa gharama yoyote na sio utamaduni wetu sisi watanzania kumsema rais vibaya japo kuna wachache miongoni mwetu wanakengeuka na kujitoa ufahamu
Utamaduni wako na familiar yako tu...lazima asemwe na atasemwa tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…