Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

Mataga mmekuwa watoto yatima, hata hamueleweki kabisa, yule jamaa wa mimacho mzee wa "kenda" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaenda wizara gani vile?
Kwani ile wizara aliyoenda inamuathiri vipi?


Yupo katiba na sheria, ungekuwa mpinzani unaeona mbali nafikiri ungepinga uwepo wake pale ila kwakuwa wewe ni kipofu unashangilia kwa hisani ya mihemuko ya muda mfupi.

Msingekuwa wapumbavu sasa hivi mngeanza kupigania mifumo itakayowezesha kuwa na uwanja sawa wa ushindani badala ya hivi vigelegele mnavyompigia mama kwa wakati huu! Huyu ni ccm na 2025 atasimama kuitetea ccm hatajali vigelgele vyenu
 
Unaandika vitu usivyovijua
Unajua nini kuhusu 16%? Elezea
 
Genge hilo ni lipi lilikuwa chini ya mfumo upi?

Kipi kinakupa uhakika kwmaba umerudi kwenye mstari?
Chini ya mwenyekiti wa chama, wanyang'anyi na nyie wanyonge mmechanganyikwa ,kila mara mnajifanya kushauri wakati nchi iliharibika
 
Nchi imeibiwaje?

Alafu kwanini wachaga mna hasira sana na wasukuma? Mbona sisi wahehe hatuoni shida yeyote kwa wasukuma?
 
Let Great Thinkers discuss hii kitu. Wewe endelea kupiga kimya na kusoma comments. Unapoanza names calling tena kwa majina ya ajabu ajabu unaonyesha tu jinsi gani ambavyo elimu yako haikukusaidia. Hoja hupingwa kwa hoja.

Sukuma gang ni kitu gani?
Mkuu hao ni chadema wajinga wajinga wanafikiri hiyo inainua chama chao hawajui kama Samia ni ccm
 
Mungu asingeweza kuruhusu kuona watu wake wanatawaliwa kwa Mabavu, Uawaji na kuumizana kwa kisingizio chochote kile alingilia kati kulinusuru taifa lake
Ila Mungu anapenda sana nchi ya Tanzania, kuna nchi zinatawaliwa na madictator miaka 20 au 30 ila Tz tunabahati kubwa mutano tu, Meko alikua (evil) kauua biashara za watu kauua watu bila sabababu za msingi
 
Hulijui Leo sio???

Nyie watu mna roho mbaya sana. Na bado Mama atawanyoosha mpaka mtatajana nyote safari hii.

Na ripoti ya BOT itawasilishwa soon.
Nikafikiri unakuja na ufafanuzi kumbe ni ujinga ujinga tu!

Wewe unafikiri kuna chochote chadema mna gain hapa kwa kumsifia sifia mama? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mh SSH hapendi unafiki ,anasema kweli na anataka wateule pia waseme ukweli wasifiche fiche ili waweze kutatua tatizo ,kama mama anasema uongo Je kitalu C kimevamiwa au bado? kama kitalu C kimevamiwa basi na swala la kupigwa madini nalo ni kweli.
 
Tanzania mtu yoyote anaweza kwenda wizara yoyote bila kujali kama anaweza kuimudu ama la, ukitaka kulielewa hili angalia mchakato wa 2015 ambapo mtu kama Jiwe akapata mamlaka ya juu kabisa ya nchi. Wewe ni shuhuda wa yaliyotokea baada ya kupewa hayo mamlaka.
 
Kwa sasa mama namuona bado achora dots itachukia Mda kidogo kuziunganisha na kupata picha kamili kwa sasa nampa benefit of doubt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…