MACHONDELA
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 940
- 1,573
Ernest Mangu yuko wapi?Zile posts 5 za juu za executives, CDF, Director wa TISS, Director wa PCCB, IGP na CAG, baada ya utumishi wa ngazi, haruhusiwi kuhudumu kwenye executive position yoyote.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ernest Mangu yuko wapi?Zile posts 5 za juu za executives, CDF, Director wa TISS, Director wa PCCB, IGP na CAG, baada ya utumishi wa ngazi, haruhusiwi kuhudumu kwenye executive position yoyote.
P
Hivi ni nini kisichoeleweka hapo?Watanzania tuamke, Katiba ya mwak 1977 ina-limit mihula miwili ya miaka mitanomitano, ndiyo maana kabla ya hiyo katiba muda wao ulikuwa unabadilika.
Heb tupitie historia kidogo.
View attachment 1252969
View attachment 1252970
Yaani prof. Assad anavyochukiwa, hadi picha yake kwenye website (National Audit Office of Tanzania » The CAG) walishafuta kwenye orodha ya ma-CAG.
-Je, kafikisha miaka 60? (Mussa Juma ASSAD Born : 6 October 1961)
-Je, sheria ilibadilishwa lini kustaafishwa kabla ya miaka 60? (Mandatory retirement also known as enforced retirement or compulsory retirement)
-Je, anaumwa ama ametiwa hatiani na tume ya maadili?
-Je, Rais amefuata katiba inavyosema?
View attachment 1252957
View attachment 1252749
Pamoja na kuwa sio mwanasheria hapa najua unapotosha, kinachozingatiwa hapa sio umri tu bali ni kuwa pale CAG akiteuliwa kwanza atamaliza miaka yote ya kipindi alichoteuliwa yaani miaka mitano ya mwanzo ,baada ya hapo anaweza kuteuliwa tena (angalizo na sio lazima kama vilaza walivyoshupalia neno (eligible) nadhani hawajui tafsri ya neno eligible ,neno eligible halilazimishi ni sawa tu na kusema ''anastahili'' )kwa miaka mingine mitano ambayo hataongezewa tena,hapa kiliwekwa kwanza kipindi cha miaka mitano,na maana yake ni kuwa anaweza kutoteuliwa tena kinapokuja kipindi cha pili cha miaka mitano,mnaolilia na ukihiyo wenu wa sheria mngejiuliza kwanini haikuwekwa miaka kumi moja kwa moja na ikawekwa miaka mitano mitano? maana yake yule aliyemteua anaweza tu kumyoa kwa kutomuongezea miaka mingine mitano,hiyo ndio kinga ya CAG. Kule Marekani Trump anatoa na kuingiza pale anapoona hufai tena yeye anatwit tu,hata ungekuwa kwenye ziara ,mnakumbuka yule aliyekwa waziri wa mambo ya nje alipokuwa ziarani Kenya kibarua kikaota mbaya,pamoja na hizo kanuni sijui katiba mwisho wa yote anayeteua ndio mwenye mamlaka ya kutengua,kama alivoteua kwa raha zake pia atatengua kwa raha yake.
Ndo ujinga wetu... Ukomavu huu utakuwa ni ule unaoendekeza ujinga!!Huku nikuonyesha ukomavu. Safi P.
Ameibua madhaifu ya serikali kusimamia hela zetu tril 2.4 zimepoteaLegacy ipi p naona unauma na kupuliza
State agent
Kwa hiyo na magufuli akimaliza miaka mitano tusimwongezee mitano mingine? Mmeset precedence tayari, 2020 tutampiga chini magufuli msilalamikeKishamaliza miaka yake mitano. Boss kaona haina haja ya kuongezea mhula mwingine. Hakuna katiba iliyovunjwa.
Kiingereza nintatizo.Wengi wanaopiga yowe hawajasoma English Medium schools wasamehe bureShall be eligible doesn’t mean shall be reappointed.
Sijui tatizo ni lugha..????
Du sijawahi kusikia jibu ka kipuuzi kama hili? Kumbe Prof Assad alikuwa akifanya kazi kwa manufaa yake binafsi sio kwa manufaa ya nchi kwa ujumla??? Mkuu una mawazo mgando sana.Kwani yeye Asadi au Mke na watoto wake wanasemaje? Asadi alishawahi kukuomba hela ya kula?
Watanzania tuamke, Katiba ya mwak 1977 ina-limit mihula miwili ya miaka mitanomitano, ndiyo maana kabla ya hiyo katiba muda wao ulikuwa unabadilika.
Heb tupitie historia kidogo.
View attachment 1252969
View attachment 1252970
Yaani prof. Assad anavyochukiwa, hadi picha yake kwenye website (National Audit Office of Tanzania » The CAG) walishafuta kwenye orodha ya ma-CAG.
-Je, kafikisha miaka 60? (Mussa Juma ASSAD Born : 6 October 1961)
-Je, sheria ilibadilishwa lini kustaafishwa kabla ya miaka 60? (Mandatory retirement also known as enforced retirement or compulsory retirement)
-Je, anaumwa ama ametiwa hatiani na tume ya maadili?
-Je, Rais amefuata katiba inavyosema?
View attachment 1252957
View attachment 1252749
Vipi kuhusu picha yake kuondolewa kwenye tovuti rasmi ya serikali? Sawa hii?Tumtakie CAG Mstaafu, Prof. Mussa Assad kustaafu kwema na amestaafu kwa heshima na kwa mujibu wa sheria na sio kwa hoja zozote za vitatange na vibirifitina, jina lake litaandikwa kwenye kile kitabu cha mashujaa wa kweli wa taifa wetu kwasababu ameacha Legacy.
Karibu CAG Mpya, Charles Kicheere, tunakutakia kazi njema.
Paskali
Assad hajawahi kuwa na njaa. Very soon ataenda kufanya kazi IMF au WB. Kufanya kazi na majitu mbumbumbu ni sawa na kubeba gunia la misumari.Kasome vizuri sharia ya CAG
Atakaa madarakani kwa miaka mitano
Ni uamuzi wa ngazi ya uteuzi kumuongezea muhula au la
Assad atarudi kwenye ajira yake UDSM
Hoja sio njaa hapaAssad hajawahi kuwa na njaa. Very soon ataenda kufanya kazi IMF au WB. Kufanya kazi na majitu mbumbumbu ni sawa na kubeba gunia la misumari.
Huwezi kuelewa mantiki, we endelea kuabudu tuAisee ufipa mna kazi...neno renewal ubongo wako umeļipita kama kituo cha polisi..
Hoja ni kukataa kushiriki kuiibia nchiHoja sio njaa hapa