Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
Nenda shuleAcha Apumzike mzee kufanya kazi na watu wapumbavu ni kama kuzidi kumshushia heshima. Kwa mtu makini hawezi kufanya kazi na Magufuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda shuleAcha Apumzike mzee kufanya kazi na watu wapumbavu ni kama kuzidi kumshushia heshima. Kwa mtu makini hawezi kufanya kazi na Magufuli.
Ukielewa neno ”Eligible" tu, utajua kwamba hakuna sehemu ya katiba iliyo vunjwa! Hapa maana yake CAG antaserve kwa miaka mitano na anaweza akaongezewa au mitano hiyo hiyo.Watanzania tuamke, Katiba ya mwak 1977 ina-limit mihula miwili ya miaka mitanomitano, ndiyo maana kabla ya hiyo katiba muda wao ulikuwa unabadilika.
Heb tupitie historia kidogo.
View attachment 1252969
View attachment 1252970
Yaani prof. Assad anavyochukiwa, hadi picha yake kwenye website (National Audit Office of Tanzania » The CAG) walishafuta kwenye orodha ya ma-CAG.
-Je, kafikisha miaka 60? (Mussa Juma ASSAD Born : 6 October 1961)
-Je, sheria ilibadilishwa lini kustaafishwa kabla ya miaka 60? (Mandatory retirement also known as enforced retirement or compulsory retirement)
-Je, anaumwa ama ametiwa hatiani na tume ya maadili?
-Je, Rais amefuata katiba inavyosema?
View attachment 1252957
View attachment 1252749
Soma maelezo uelewe, shida tunatumia hisia kujudge ndo shida yetu, wewe umepewa maelezo ya kwanini kaondolewa bado unalazimisha kusoma historia ?Mkuu soma historia ya Ma CAG waliopita, hakuna miaka kumi tu? Kwa mfano aliyepita ameongoza muda gani? Vipi yule Wa kwanza.pia kuna umri Wa kustaafu kuanzia miaka 60, kumbuka Assad ana miaka 58.Hawezi staafu maana bado umri huo...Wa kustaafu.
The problem umetumia general English use kwenye masuala ya kisheria!Shall be eligible doesn’t mean shall be reappointed.
Sijui tatizo ni lugha..????
kwamba ATALAZIMIKA kuachia office akishafikisha miaka 60! Je, Profesa Assad aliyezaliwa Oktoba 6, 1961 ameshafikisha miaka 60?!Controller and Auditor-General of the United Republic shall be obliged to vacate office upon attaining the age of sixty or any other age which shall be prescribed by a law enacted by Parliament.
Hilo neno SHALL umelitafsiri kwa Kiingereza na sio kwa lugha ya kisheria!!The Controller and Auditor-General shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only.
Sasa kwa kuangalia tarehe ya kuzaliwa ya Prof Assad, ni kwamba atatimiza miaka 60 Oktoba 6, 2021!(1) Where in a written law the word "may" is used in conferring a power, such word shall be interpreted to imply that the power so conferred may be exercised or not, at discretion.
(2) Where in a written law the word "shall" is used in conferring a function, such word shall be interpreted to mean that the function so conferred must be performed.
Unless the question of removal becomes the subject of investigation in terms of Article 144(3) of the Constitution, the Controller and Auditor-General shall vacate office upon attaining the age of sixty five years;
Umeelewa alichoandika Shivji?!Hakuna sehemu Katiba imevunjwa
Mimi sijui chochote kile,ila nilitaka kufahamu kutoka kwako kama taasisi ya urais inajua kila kitu na haiwezi kukosea,na hakuna taasisi zingine zozote ambazo zinajua zaidi?Soma maelezo uelewe, shida tunatumia hisia kujudge ndo shida yetu, wewe umepewa maelezo ya kwanini kaondolewa bado unalazimisha kusoma historia ?
Umeambiwa mamlaka ya uteuzi ndio inayoamua kama aendelee au la sasa umejuaje hao waliomtangulia kama waliona wanafaa kuendelea na madaraka hayo?
Just a simple logic, tatizo tunalazimisha kujiaminisha tunajua kumbe hamna!
Pia unapofanya mijadala kama hii hasa ya kisheria ukumbuke Urais ni taasisi ,kwahiyo kuna wanasheria nguli na washauri ikiwemo hata wazee wa heshima ,sasa watu tunafikia mahali tunajiona kwamba tunajua kuzidi taasisi ya Urais
Nyuzi kama hizi zinaonyesha mlivyo empte.Huwezi kuelewa mantiki, we endelea kuabudu tu
Huwa sipendi kumjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake!Mimi sijui chochote kile,ila nilitaka kufahamu kutoka kwako kama taasisi ya urais inajua kila kitu na haiwezi kukosea,na hakuna taasisi zingine zozote ambazo zinajua zaidi?
Kuna watu mmeishia kuzungumzia tu uhalali wa kuenguliwa kwa Assad Ila hili la kuteuliwa mtu ambaye huyo huyo mteuzi alishasema hafai kabisa hamlioni?!?
Mteuzi anafanya kazi ya kumtetea kuwa ngumu sana yani
Uteuzi unalithibitisha hili waziHuyo ndiye atamsaidia kutafuna rasilimali za nchi vizuri sana.
Mbona alijimilikisha nyumba za nssf kule tanga?Hoja ni kukataa kushiriki kuiibia nchi
Man, umesoma thread hadi mwisho?! Hiyo "shall" hatuitafsiri sisi bali inatafsriwa na Interpretation of Laws Act Ibara ya 53 (1&2) Kwamba:-Shall inayoongelea term limits mnaitafsiri vibaya.
Katiba unasema rais hawezi kuendelea kuwa rais baada ya vipindi vya urais viwili.
Je, hilo lina maana rais ni lazima awe rais kwa vipindi viwili vya urais?
Kama CAG anatakiwa kuwa CAG kwa miaka kumi, kwa nini mkataba wake ni wa miaka mitano?
(1) Where in a written law the word "may" is used in conferring a power, such word shall be interpreted to imply that the power so conferred may be exercised or not, at discretion.
(2) Where in a written law the word "shall" is used in conferring a function, such word shall be interpreted to mean that the function so conferred must be performed.
Shall inayoongelea term limits mnaitafsiri vibaya.
Katiba inasema rais hawezi kuendelea kuwa rais baada ya vipindi vya urais viwili.
Je, hilo lina maana rais ni lazima awe rais kwa vipindi viwili vya urais?
Kama CAG anatakiwa kuwa CAG kwa miaka kumi, kwa nini mkataba wake ni wa miaka mitano?
Kwani nimekataa maana ya shall?Man, umesoma thread hadi mwisho?! Hiyo "shall" hatuitafsiri sisi bali inatafsriwa na Interpretation of Laws Act Ibara ya 53 (1&2) Kwamba:-
Umeeleza maana ya "shall" kwa mujibu wa nini?! Mimi nimeeleza kwa mujibu wa sheria zetu, na nimeweka kifungu! Kwamba kwanini haikutaja miaka 10, kwa sababu suala ukishaweka neno renewable tu, tafsiri yake hiyo contract inaenda kwa terms!Kwani nimekataa maana ya shall?
Nimeeleza maana ya shall kabla hujapost thread hii.
Unaelewa objection yangu iko wapi?