Swali: Dunia bila Mwanaume je nani angemlinda Mwanamke?

Wanawake wanaweza kujilinda wenyewe, wengi huwa wanajibebisha tu wakiwa na wanaume.

Ndiyo maana wengine tumeacha habari za kusaidia saidia wanawake kwa huruma.

Umeandika kwa hisia kuliko kwa kutafuta ukweli.

Bila wanaume wanawake wangeweza kuuana na kufanya mabaya kama wanaume kama wanaume wasingekuwapo. Unawaona wanawake kama watu tofauti sana kwa sababu kuna wanaume, wanaume wasipokuwapo kati ya wanawake humo humo mngeanza kubaguana. Dhambi ya ubaguzi haina mipaka.

Unaposema wanaume hawana wanacho offer zaidi ya uharibifu wa mazingira na mijasho yao mikali ya makwapa, unaonesha chuki uako inavyokujaza ujinga na kukupofusha.

Wewe kama mtoto uliyetokana na mwanamme ni zao la mwanamme.

Je, wewe ni uharibifu wa mazingira au mijasho mikali ya makwapa?
 
Umeingia deep sana ila ukweli ni kwamba dunia ingekua salama kama kusingekua na wanaume
 
Hao wanafunzi wa Kenya walikua influenced na boyfriends zao na wengine baba zao kumbe hukufatilia
 
Mimi pia uhitaji wa mwanamke upo japo sitafuti mwanamke 🤣🤣



Utani tu ole wako uchukie

Sijachukia lakini nimewaza/nimeshangaa mada na nilichocomment mbona vinaendana

Sio kwamba nilikuwa natafuta mwanaume lakini nimeandika uhitaji wa mwanaume kwangu upo(nikimaanisha umuhimu wa mwanaume upo)
 

Msipoolewa mnakuja kuanza mambo yenu ya ( 45 - 50 ) Dini yeyote awe na mtoto Mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…