mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Nadhani jamaa hujamuelewa vizuri japo ameingizia utani ishu ya mchepuko.Huwa wanajaa hakuna seat inayobaki wazi ndugu yangu,huyo mchepuko atapanda wapi?
Ujue mi sifanyi hivyo kwa ubaya ni kero.Siku hako ka vitz chako kakikwamaa,kwenye topee ai shimo,ukisukume mwenyewee nyau
Hilo jibu la Sina Huwa nalitoa haraka tu.Hii ni ishara ya udhaifu kitu chako nacho una kililia humu , Bila shaka nyie ndo wale ambao ata mkiombwa pesa na mwanamke hata kama huna uwezi sema sina na upo tayari uka kope uumpe
Ok hiyo ni siku ya Moja vipi siku zinazoendeleaMkuu kama wewe ukaa Mbezi Beach waambie unaenda Msibani Chamanzi
Mkuu si unawaambia tu kuwa kuna sehemu napitia hivyo utemchelewesha kwa safari yakeHabari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Hii mbinu nzuri ila itakuwa inanichelewesha sana kuondoka na kuwahi kwenye mambo yangu,pia linaweza kutokea Tatizo ofisini nikaja kuhusishwa kisa nakuwa wa mwisho kuondokaChelsea kutoka ofisini waambie kuna rafiki yako au Mke wako unamsubiri
Kaka hebu nielezee vizuri,naona kama unaweza kunisaidia kwa hiliMsaada au lift hailazimishwi..ni kweli tunasaidiana lakini tusijiendekeze! Ikitokea mara moja moja sawa... kusaidiana kupo ila busara itawale..
Sema mletaa mada kama huna amani usibebe mtu ueleweke kua huzimiki hayo mambo hutaona mtu akijileta.... usijistukie ..mbona mimi siombwi lifti ila tu watu wanajuaga sipendi haya mambo ya ujima..navimba mwenyewe kwenye chuma la watu 7.
Siku nikiwa sina gari hua nakwea mwendokasi
.bolt au bajaji sisumbui mtu.
Nayo ni sababu yangu mojawapoNdio.
Kaka ntaonekana napiga vijembe hapoWabandikie huu msitari nyuma ya gari lako, Mithali 25:17 Mguu wako usiingie katika nyumba ya jirani yako ila kwa kiasi; Asije akakukinai na kukuchukia.
Insurance ya masaa mawili??? Akigongaa mnalipwa🤣🤣🤣🤣Hizo tabia za kijamaa za kuombaomba mnaendekeza sana.
Na ukiendekeza ipo siku utambeba mtu akafia kwenye gari na humjui hata jina lake
Ila na wewe una tatizo kubwa
Eti unampa gari mtu kwa kumuheshimu
Seriously?
Yeye kashindwa kuwa na Soni wala aibu kwa kukuomba gari lako, sasa wewe unamhurumiaje Ombaomba?
Sijawahi kuombwa gari wala kuomba gari kwa mtu
Hii ni tabia za kimasikini sana
Huna gari agiza Uber
Unampa gari mtu bahati mbaya kagonga na limeharibika itakuwa imekula kwako
Maana kama kashindwa ku request atakuwa na hela ya kukutengenezea?
Mtu hana hata Insurance unampaje gari lako na humjui
Mwanangu alipokuwa anajifunza gari alitaka aendeshe kidogo mtaani kwetu
Nikamwambia huwezi kuendesha bila Insurance
Nikamkatia hapo hapo ya masaa mawili nikalipia tukaondoka kwa raha bila wasiwasi wowote
Kwahy kumbe mnazungumzia uhuru wa kuchukua malaya njiani?Wengi hamjamuelewa mtoa mada yeye kiuhalisia halalamikii mafuta anacholalamikia zaidi ni uhuru
Yani anataka kwenye gari yake awe pekeake ili akikuta manzi pisi Kali njiani anaipigia honi anaipa lift na kuanza mtongozo sasa mkijazana kwenye gari hizo pisi za njiani atazibebaje?
Watu Huwa hawajali wanajijali wao tu, kumbe mwenye chombo pia una mahesabu kibao kuhusu chombo chakoHyo kitu inakela kwakwel, nina boxer yangu natoka mishemishe nina mzigo mkubwa pia nimepata abilia njian..
Nikapigwa mkono njian na mdada tunafahamiana nae anaomba lift jaman nikamwambia nafas hamna ila kakomaa ikabid akae juu ya mzgo mda huo njia ilikua ni kupanda mlima. ilipga mayowe pikipk mpaka niliihulumia.
Yey tukamwacha njian alifka, na bahat mbaya mafuta yakatuishia njian ikabid tusukume ila chanzo tumegawa lift.
Inakata ila sasa ndo yashakukuta mzee pole sana jipange kuwakimbiza kwa kuwaambia wachangie mafutaa utaonaa walivyo wanafikiii.Mkuu labda hujaelewa hawa watu wanajua kabisa mi ninakoishi, hivyo wanapanda wakijua naelekea Goba Sasa nikisema nielekee njia ya tofauti italeta maneno na majungu.na wao wameshageuza ni utaratibu Sasa kupanda gari yangu ila kiukweli mi Kuna muda Huwa nahitaji kwenda kwenye mishe zangu nyingine ila sipendi wao wajue,je nafanyeje na wameshapanda kwenye gari huku wanajua kabisa ni muda wa kwenda majumbani
Kaka kama ulikuwepo yaani hii ndio mbinu kubwa Huwa wanatumia na mi Huwa nakereka mno maana Kila nnapotaja jamaa utasikia twendeIpo Mimi nakuomba lifti wewe unsniliuza naenda wapi? Mimi nakujibu kwa kukuliza kwani wewe unaenda wapi ili swali linakua la kimtego ili usininyime lifti, Popote utapsema unaenda basi mimi nitasema utaniacha sehemu fulani.
Bila shaka umeelewa tumpe mbinu mwana ya kuwatoa hao kauzibe wanaofanya asifaidi ndinga yake
Hakuna namna zaidi ya kuwaambia hao ambao hawana magari kuwa seat zimebaki kwa ajili ya malaya tuu, hvy kama wao ni malaya bc wapande.Bila shaka umeelewa tumpe mbinu mwana ya kuwatoa hao kauzibe wanaofanya asifaidi ndinga yake
Raha ya ndinga ni kuwapa lift mishangazi na pisi kali
Kazini Kuna umbali kidogo na Mimi usafiri wa umma Huwa naona changamoto Ile kujazana mle kwenye gari.Kuishi na watu hutakiw kuishi kinyonge,inatakiwa wakat mwingine ujifunze kusema hapana,maana wengine hufanya makusudi ili watumie vitu vyako kwa kukuona wew huwa hukatai na kuna mwingine atakuja kuliharibu tu makusudi ili uteseke kulitengeneza wakat yeye akifurah
Siku ukiwa na ratiba zako uwe unaliacha nyumban
Wabongo kqa kujikausha ni nomaa nakwambia mtu anaweza Panda gari miezi 6 kavuu bili kuchangia hata 100 ya mafuta na huwa unapita nae Sheli lakini binadamu ndivyo tulivyo.Watu Huwa hawajali wanajijali wao tu, kumbe mwenye chombo pia una mahesabu kibao kuhusu chombo chako