Let's assume ana roho mbaya, ushirikiane na nani na mali hujachangia hata shilingi kutafutaWewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini hapo?
Ukiwa ukweli wanaanza chukiWatanzania bana, takataka za ujamaa zinawatesa sana, watu kunyonyana na kuburuzana, ugumu uko wapi hadi ufungue uzi, wape ukweli wao...
Natamani watu wangeelewa kiasi gani imekuwa kero lakini nashindwaUshawai kutana na mazingira anayosemea uyu jamaa au unazungumzia uafrica tu?
Mkuu Hali uliyoongea ni kama ulikuwepo asilimia mia mojaUnaenda wapi?Kwani wewe unaenda wapi?
Yaani hapo anafosi ili mradi na yeye atie kishoka kwenye gari ya kupewa lift
NakaziaNi Mali yako lakini inakukosesha amani.
Anyway tafuta parking tofauti na hapo ofisini kwako mkuu.
Yaani najilaumu kwanini hii tabia niliwazoesha mwanzoni mpaka wengine wanaambiana kaazime kwa mtu Fulani.Vaa uso wa mbuzi, mtu hana gari huo ujasiri wa kuazima gari anautoa wapi? Mimi gari yangu hakuna mtu mwingine anayeendesha zaidi yangu.
Ndio kaka,wengi Huwa tunakuja kujilaumu baadaeMazoea ofisini n mabaya sana, yote hiyo ni sababu ya kuzoeana kupitiliza.
Mtu anakuazima eti aende kula hotelini.Gari sio kitu cha kuazimana bila dharura maalum, mgonjwa, msiba n.k.
Car insuranceUna maana gani unaposema insurance.
Na ndio utaratibu naouona kwa wafanyakaz maofisi mengi, wengi wanakereka ila waoga kusema.Ndio kaka,wengi Huwa tunakuja kujilaumu baadae
Ubinadamu kaziHabari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Bas vumiliaHilo jibu sio rahisi,linaweza kuzaa chuki
Hilo sio tatizo la waomba lift, ni lako. Ulipaswa kuonesha hupendi mazoea kabla hawajakuzoea.Gari mtu ananunua kwa matumizi binafsi,watu Wanahitaji privacy, 🔏.
Kwanini tunalazimisha ujamaa kwenye Mali za watu.
Kulazimisha msaada iwe haki huo ndio umaskini
Wewe utakuwa na roho mbaya mkuu. Huku Afrika siyo ulaya huwa tunashirikiana.
Mfano unatoka posta unaenda mbweni ukimpa lift mtu ukamuacha mwenge unapungukiwa nini hapo?
Sio Choyo mzee yani nishindwe Kuongea na Simu zangu za binafsi eti nimebeba Coworkers?Choyo
Inakatiwa kwa mtu au gari. Cjaelewa uliposema ulimkatia insuranceCar insurance
Lolote likitokea unakuwa covered
Inategemea na daraja mtu analoishi. Kuna daraja mtu mwenye ist wanaona kama ni tajri mkubwa mjiniHivi tanzania ya leo tunaona gari ni mafanikio.
Unapokata insurance ni wewe unaeendeshaInakatiwa kwa mtu au gari. Cjaelewa uliposema ulimkatia insurance
Yaani ulichozungumza ni kweli kero sana ni kama kumfatilia mtu ratiba zake na kumjua zaidi. Hasa hilo la kuwauliza unakwenda wapi naye anakugeuzia wewe kwani unaenda wapi ntashuka huko huko. Hapo ukute pengine ulishapanga na staff wa kike ili uzungumze naye na kakubali ndiyo unakuta watu wanakusubiri.Habari,
Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi?
Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense.
Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee.
Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na yeye anakuuliza kwani we unaelekea wapi utanishushia hukohuko!
Mtu unashindwa hata kupitia kwa kimchepuko chako kisa hawa watu.
Halafu huwezi jua mtu ana michongo yake gani anataka aifanye ila hapendi watu wa kazini wajue.
Pia tambueni gari mkipanda watu wengi hata ulaji wa mafuta unaongezeka tofauti na akiwa mtu mmoja au wawili.
Tabia ya nyingine ni kuazima gari yaani pale ofisini inafika mchana, mtu anakwambia niazime gari nikafuate chakula hotelini, daah! Yaani unampa mtu kupunguza lawama ila hii tabia inakera maana wengine Wana uendeshaji mbaya kama mi gari yangu ni manual Sasa wengine hawawezi hata kuziendesha vizuri ila wanaforce pia mafuta wakitumia hawa watu Huwa hawachangii hata tone.
Kwanini mtu kama hujataka kununua gari basi kwenye michongo yako bolt au kapande daladala usiwe kero kwenye Mali za watu wengine
Sijui nidhibiti vipi hizi tabia
Ukweli mchungu....ngoja waomba lift waje kwanza.Habari,