Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3.tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Uzalendo ni kukubaliana na kuwasifia watawala kwa kila jambo
 
Ukiotea kijipu jichoni umemcheka mkweo na ili kiondoke inabidi uchekee kwenye kinu
 
Kuwa eti kinyonga akikupandia kichwani huwezi kumtoa mpaka shangazi yako ndio anaweza kumtoa.
 
Kwenye kucha ukifanya vidoto vyeupe una bahati. Mtu akiwa na dimples anapendwa sana na wazazi wake. Mwanamme akiwa na mwanya ana dushe kubwa
 
Halafu hyo ya kununua chumvi usiku sijui iliishiaga wapi
 
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3.tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
3
 
Ukimwombea mgonjwa anapona

Huu ujinga asilimia kubwa sana wanaamini
Wewe utakuwa NI mganga was kienyeji kwa hyo unachofanya hapa unatafuta wateja kijanja
Watu wasimwombe Mungu awaponye???
UMECHEMKA

Mtu anaemwamini Mungu akimuomba anamponya Tena fasta tu
 
Kingine wengi wanaamini Jf ni sehemu salama sana kiasi kwamba eti taarifa zako ni siri hata serikali ikizihitaji hawawezi kupewa [emoji28]
 
Kipindi Julius Kambarage Nyerere anasoma kwamba alikuwa anatembea kwa miguu kutoka BUTIAMA HADI MWISENGE kwenda na kurudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…