True,Zenji inanuka ushoga ,wanawake ndio wanafirwa kama niniUshoga sio ajenda ya siri ya Magharibi, wala hata sio ajenda kabisa.
Kwa nini Zanzibar ambapo 99% ni Waislamu kuna ushoga??
Wanawasingizia ,nenda huko mafia uone Hali ni mbayaWatalii..😀
Kuna kitu kinaitwa BACHA BAZIKAMA NI KWELI BASI HAPO SIMPO NIPO KWA HAO MABINTI
wengi waoWaislamu wakiambiwa wachague kati ya kuishi USA ,CANADA , nchi za magharibi au wakaishi nchi za kiislamu kama Iran, Afghanistan,n.k watakimbilia nchi za Ulaya au USA na CANADA .
WAKIWA HUMU WANAPONDA NA KUTUKANA NCHI ZA MAGHARIBI,ILA WAKILETEWA LINDEGE WADANDIE LIWAPELEKE ULAYA WANALIKIMBILIA
Kwa hiyo Misri, Morocco na Tunisia zinazoongoza kwa Watalii Africa zina mashoga wengi zaidi kuliko Zanzibar?Watalii..😀
Waislamu ni wanafiki sana ,ni dhambi inayowatafunawengi wao
utasikia Marekani ni makafiri ila kila siku wanakimbilia huko
Vinasaba vya kiajemi basi! Wazee wa vilemba🙌🏿🏃🏿Wanawasingizia ,nenda huko mafia uone Hali ni mbaya
Sina hakika kwakweli.. Ila unaona Arusha ilivyoharibika sasa hiviKwa hiyo Misri, Morocco na Tunisia zinazoongoza kwa Watalii Africa zina mashoga wengi zaidi kuliko Zanzibar?
Hapa mimi naona ni sheria kandamizi kwa mwanamkeKwani Afghanistan hawana Amani?
Kwani Wanawake wa Afgha hawana Amani?
Wanachofanywa si kinaongozwa na Sharia za Kiislamu zinazotokana na Dini ya haki:
Sharia zilizo amriwa na Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake Qurani:
Usiwe unapenda kudandia vitu usivyo kuwa ba elimu navyo.Si ndio Uislamu inavyotaka:
Unajua kwanini Mwarabu hakujenga shule wala Chuo Cha ufundi Tanganyika ?
Bali alijenga Misikiti mingi tu na kusambaza Qurani:
vipi hadith?Usiwe unapenda kudandia vitu usivyo kuwa ba elimu navyo.
Hakuna sehemu ndani ya Quruan inayo ruhusu kumpiga mke wako.
Hakuna sehemu ndani ya uislamu inayo mkataza mwanamke kusoma au kufanya kazi,hizo sheria za watariban wanaziweka kwa matakwa yao ambayo wanayajua wao wenyewe.
Hata kama ni wewe ungeenda!?😂Nini kinachokuzuia kwenda Afghanistan kuishi?
Hao watu wamepitiliza viwango vya ushenziKAMA NI KWELI BASI HAPO SIMPO NIPO KWA HAO MABINTI
Hivi mnapo kariri hicho Kitabu Huwa hamuelewi maana yake kabisa?Usiwe unapenda kudandia vitu usivyo kuwa ba elimu navyo.
Hakuna sehemu ndani ya Quruan inayo ruhusu kumpiga mke wako.
Hakuna sehemu ndani ya uislamu inayo mkataza mwanamke kusoma au kufanya kazi,hizo sheria za watariban wanaziweka kwa matakwa yao ambayo wanayajua wao wenyewe.
Huo ni mtazamo wako tu na usipende kuwa unachukua matamanio yako una yafungamanisha na matamanio ya wengine.Kwa nini Waswahili wote wenye ndoto za kuishi nje wanataka kuishi Magharibi na sio Afghanistan, Pakistan, Iran au Uarabuni?
Pwani na ushoga ni lila na fila sijui sababu nininiWanawasingizia ,nenda huko mafia uone Hali ni mbaya
Hao Taliban ndio wanafuata Uislamu kama ulivyo kwenye Quran na Hadithi, wengine huwa mnajiongeza kidogo.Kitendo cha kusema mwanamke apigwe ila asivunjwe mifupa hiyo sio sheria au taratibu ya kiislamu,kwasababu hapo kuna kipigo kikubwa kinyume na mafundisho ya kiislamu,ambayo yanaelekeza kumwadhibu kidogo pasina madhara makubwa kwenye mwili wake,na isiwe usoni,kwahiyo ifahamike kuna taratibu za kislamu na taratibu za hao wanaojifanya wanafuata Uislamu lakini nyuma yake wana agenda zao
Kwa sheria za kiislamu mwanamke once akiolewa anakuwa kwenye mamlaka ya mume,kwahiyo hata kwenda kwao inahitajika ruhusa ya mume,sio kujiendea tu, hata kama umefiwa unatakiwa upate ruhusa ya mume,kwahiyo wazazi ambao wanafahamu taratibu za dini hili kwao halina shida kabisa kwani wanafahamu I haki ya mume kutoa maamuzi,lakini haikusemwa kuwa akienda basi apigwe
Siku zote kupigwa ni hatua ya mwisho baada ya diplomasia kutumika na kushindwa kutoa matokeo chanya,baada ya mazungumzo ya mume na mkewe kushindwa,kutafuata mazungumzo ya mume na mkewe na ndugu wa panda zote mbili,hii yote ni kutafuta suluhu kwa njia ya amani kabisa
Taliban ndio wanafuata Uislamu Original ule wa Karne ya 7, wengine wamejiongeza kidogo kuachana na mambo ambayo yataleta mtafaruku mkubwa au vita katika dunia ya leo japo yapo kwenye vitabu.Huna cha maana unachoongeaga.
Mbona Qatar,Oman,Iran na Iraq huzitaji hapo!??
Nchi zote hizo zina amani na mwanamke ana amani!??
Udini umekukaa