Yaani kila anayehoji jambo ni CHADEMA?,ndo uwezo wenu ulipokomea kufikiri?,..kama CHADEMA wanahoji hv basi wanaakili kuwazidi wapeni nchi wataipeleka mbele
 
Na hii tabia ya TANESCO kuleta umeme mdogo, tutaunguziana vifaa jamani, na usawa huu vyuma vimekaza kuanza kununua vifaa vipya.
 
Na hii tabia ya TANESCO kuleta umeme mdogo, tutaunguziana vifaa jamani, na usawa huu vyuma vimekaza kuanza kununua vifaa vipya.
...
...bora umesema kwa sababu mambumbu yamejaa ....Fidia wange firisika
 
Je wale walioambiwa waandike barua pale umeme ukikatika wamechukuliwa hatua gani? but why wanasiasa wanapenda kutoa kauli ambazo hawatekelezi?
 
Yaani kila anayehoji jambo ni CHADEMA?,ndo uwezo wenu ulipokomea kufikiri?,..kama CHADEMA wanahoji hv basi wanaakili kuwazidi wapeni nchi wataipeleka mbele
Waambie wakazane kuleta sera zenye mvuto zitakazowavutia wananchi wawape rizaa yao.
 
Tanesco chali, hoi taabani. Umeme wa mgao umerudi kwa kishindo ktk nchi ya kusadikika ya viwanda.
 
Yani umetiririka weeee mwishowe umeharibu kabisaa.
Et hakuna mbadala hizi ndio akili mlizonazo nyie Lumumba. [emoji35] [emoji35]
 
Kuna hitilafu imetokea tunaifanyia kazi mpendwa mteja
Watu wengi wanategemea umeme kuendesha maisha yao. Kuna mafund welding, salon, mafund simu, pc, stationery, wenye mashine kukoboa na kusaga nafaka, wafanyabiashara wa samaki, barafu na wengineo.

Hawa wote wanategemea umeme kuendesha maisha yao kwahiyo hakikishen umeme wa uhakika uwepo ili watu waweze kupata ridhiki zao.
 
Waziri muongo alisema kukatika umeme itakuwa historia . CCM imechokwa nchi nzima.sijuwi hawa wanaokichagua hiki chama wanatumia tochi au vibatari?
Hakuna anae wachagua mkuu..
Wanajimilikisha tu.
 
Huujui umeme ndio maana wabwatuka swali kama hilo. Vitu hivi vya umeme na moto lolote laweza kutokea wakati wowote.
Sasa kwa nini mli mtumbua yule jamaa kule kidatu sijui mtera?
Mlisema mnahujumiwa vipi hii sasa!!!
 
cha ajabu ni pale rais apo zungukazunguka around the corner umeme haukatiki hata nukta
 
MAHANJU
JIULIZA SWALI hivi watu wenye suti nyeusi wameshindwa kuugundua na kuuzuia ufisadi wa bandaarini?,kwa nini huenda nikubadili mada ya uchaguzi ili watu wasiifuatilie
 
Hata mimi hapa ninaye bet online tayari wameshaniharibia mipango yangu.
 
Wafanyakazi wamefanyiwa ongezeko la mshahara la 6500! Walisema tunaenda uchumi wa kati kwaajili ya gas,sasaiv gas haiongelewi tena! Mgao wa umeme nchi nzima!Halaf watu kila siku kuzunguka bandarini na kuyaonyesha magari ya 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…