chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Hapa nilipo toka SAA moja Hamna kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kila anayehoji jambo ni CHADEMA?,ndo uwezo wenu ulipokomea kufikiri?,..kama CHADEMA wanahoji hv basi wanaakili kuwazidi wapeni nchi wataipeleka mbeleMAHANJU
Unapoandika jitahidi kufanya uchambuzi wa mambo unayoandika. Kuhusu suala la umeme, huoni jitihada zinazofanywa. Ule mradi wa stiglers george unazani utaingiza megawati ngapi katika gridi ya taifa? Tatizo vijana wa chadema kutamani jambo fulani litokee kama ndoto bila kuwekeza jitihada kufikia hiyo ndoto.
Hayo ya kutokea wakati wowote yanatokea Tanzania tu?Huujui umeme ndio maana wabwatuka swali kama hilo. Vitu hivi vya umeme na moto lolote laweza kutokea wakati wowote.
...Na hii tabia ya TANESCO kuleta umeme mdogo, tutaunguziana vifaa jamani, na usawa huu vyuma vimekaza kuanza kununua vifaa vipya.
Waambie wakazane kuleta sera zenye mvuto zitakazowavutia wananchi wawape rizaa yao.Yaani kila anayehoji jambo ni CHADEMA?,ndo uwezo wenu ulipokomea kufikiri?,..kama CHADEMA wanahoji hv basi wanaakili kuwazidi wapeni nchi wataipeleka mbele
....Waambie wakazane kuleta sera zenye mvuto zitakazowavutia wananchi wawape rizaa yao.
Yani umetiririka weeee mwishowe umeharibu kabisaa.MAHANJU
Kuna taarifa imetumwa kwamba kumetokea hitilafu ktk Grid ya Taifa iliyopelekea umeme kukatika muda wa saa moja na dakika mbili leo asubuhi na tatizo hilo linashughulikiwa sasa wewe unayeongea sana mara CCM imefanya hivi,kwani hao walio nje ya CCM si na wao walikuwa CCM na bado matatizo haya ya umeme tulikuwa nayo. Kipindi Lowassa akiwa Waziri Mkuu alisema ataleta umeme kutoka Indonesia sijui ulikuwa ni umeme wa kuchota na ndoo lkn hatukuuona hd anatimuliwa madarakani kwa ufisadi wa RICHMOND. Sumaye huyo mlonaye ndo ziro kabisa kakaa kwenye kiti cha Uwaziri Mkuu miaka kumi kuliko Mawaziri Wakuu wote tangu Tanganyika ipate Uhuru lkn hatukuona la maana alilofanya sasa leo hii ndo ataweza kutatua matatizo ya umeme? Tujadili matatizo ni kwa namna gani tuyaondoe lkn ukiongelea chama mimi japo si mwana CCM lkn naona hakuna chama mbadala wa kuiongoza Serikali bali nawaona walioko huko upande wa pili ni makanjanja tu..!!!
Kweli Nchi ya V wonder.Kaka hapa Niko mwanza nyakato steel(kiwanda cha nondo) taka asubh mpaka sasa vibarua na wajiriwa wapo nje ya gheti wanasubiri Umeme.
Watu wengi wanategemea umeme kuendesha maisha yao. Kuna mafund welding, salon, mafund simu, pc, stationery, wenye mashine kukoboa na kusaga nafaka, wafanyabiashara wa samaki, barafu na wengineo.Kuna hitilafu imetokea tunaifanyia kazi mpendwa mteja
Hakuna anae wachagua mkuu..Waziri muongo alisema kukatika umeme itakuwa historia . CCM imechokwa nchi nzima.sijuwi hawa wanaokichagua hiki chama wanatumia tochi au vibatari?
Sasa kwa nini mli mtumbua yule jamaa kule kidatu sijui mtera?Huujui umeme ndio maana wabwatuka swali kama hilo. Vitu hivi vya umeme na moto lolote laweza kutokea wakati wowote.
Hata mimi hapa ninaye bet online tayari wameshaniharibia mipango yangu.Watu wengi wanategemea umeme kuendesha maisha yao. Kuna mafund welding, salon, mafund simu, pc, stationery, wenye mashine kukoboa na kusaga nafaka, wafanyabiashara wa samaki, barafu na wengineo. Hawa wote wanategemea umeme kuendesha maisha yao kwahiyo hakikishen umeme wa uhakika uwepo ili watu waweze kupata ridhiki zao.