TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,600
- 2,134
- Thread starter
-
- #4,041
Ndugu mpendwa mteja wetum kwa huduma unayohitaji inakulazimu kujaza fomu kisha tutakagua na kujuridhisha kama unakidhi vigezo na mashrtiMimi nipo bunju
Ukiniambia niende ofisi za Tanesco zilizo karibu yangu ni brach ya Tegeta
hao wafanyakazi wa Tanesco tawi la tegeta ni wa ovyo kabisa
Kuniunganishia umeme tu nilizungurushwa karibu mwaka mzima wakati nililipa gharama zote za Tanesco za kuunganishiwa umeme,
Mbaka nilipo wasirisha humu malalamiko ndio nikafungiwa umeme na Tanesco kutoka makao makuu ubungo siku ya pili tu baada ya kutoa taarifa hapa hapa kupitia thread hii
Sasa Basi kama kuna ofisi nyingine ya Tanesco nambieni niende nikajaze fomu na kuhakiki Taarifa za kupata hiyo D1
Lakini kwa Tanesco tawi la tegeta nitapoteza bure muda wangu pale nahisi kuna wapiga dili tu sio watoa huduma kwa wateja.
Mimi nipo bunju