TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Mimi nipo bunju
Ukiniambia niende ofisi za Tanesco zilizo karibu yangu ni brach ya Tegeta
hao wafanyakazi wa Tanesco tawi la tegeta ni wa ovyo kabisa
Kuniunganishia umeme tu nilizungurushwa karibu mwaka mzima wakati nililipa gharama zote za Tanesco za kuunganishiwa umeme,
Mbaka nilipo wasirisha humu malalamiko ndio nikafungiwa umeme na Tanesco kutoka makao makuu ubungo siku ya pili tu baada ya kutoa taarifa hapa hapa kupitia thread hii
Sasa Basi kama kuna ofisi nyingine ya Tanesco nambieni niende nikajaze fomu na kuhakiki Taarifa za kupata hiyo D1
Lakini kwa Tanesco tawi la tegeta nitapoteza bure muda wangu pale nahisi kuna wapiga dili tu sio watoa huduma kwa wateja.
Ndugu mpendwa mteja wetum kwa huduma unayohitaji inakulazimu kujaza fomu kisha tutakagua na kujuridhisha kama unakidhi vigezo na mashrti
Mimi nipo bunju
Ukiniambia niende ofisi za Tanesco zilizo karibu yangu ni brach ya Tegeta
hao wafanyakazi wa Tanesco tawi la tegeta ni wa ovyo kabisa
Kuniunganishia umeme tu nilizungurushwa karibu mwaka mzima wakati nililipa gharama zote za Tanesco za kuunganishiwa umeme,
Mbaka nilipo wasirisha humu malalamiko ndio nikafungiwa umeme na Tanesco kutoka makao makuu ubungo siku ya pili tu baada ya kutoa taarifa hapa hapa kupitia thread hii
Sasa Basi kama kuna ofisi nyingine ya Tanesco nambieni niende nikajaze fomu na kuhakiki Taarifa za kupata hiyo D1
Lakini kwa Tanesco tawi la tegeta nitapoteza bure muda wangu pale nahisi kuna wapiga dili tu sio watoa huduma kwa wateja.
 
Tanesco sorry, hivi kuna Mgao? Kwanini kila siku mnakata umeme maeneo ya sinza/ubungo.....hizi line zina shida gani?
Tunakuomba radhi sana mpendwa mteja wetu, kituo chetu cha kupoza umeme cha ubungo kipo kwenye matengenezo
 
Shirika ovyo kabisa kuwahi kuwepo duniani, sijui nyie watu mnajisikiaje kukata umeme na kutoa huduma mbovu kiasi hiki.

Wenzetu duniani wapo so proud kuhakikisha kila mtu yupo satisfied kwa huduma wanazotoa, nyie Tanesco mpo tu hapo ili mradi maisha yaende. Ni majungu tu la zaidi hakuna.

Hivi watu wa nchi hii tuna laana gani? Umeme 24hrs kweli unakatika bila taarifa yoyote? Hizo electric trains mtaendesha na umeme gani?

Pathetic Company, so pathetic!!!
Ndugu mpendwa mteja wetu, upo eneo gani na namba yako ya simu tukusikilize na kukuhudumia
 
Nimefatilia tatizo la umeme nyumbani mpaka nshakata tamaa na hata upige simu kupata msaada mnatoa ahadi lakini wapi. Tambua tumeteseka to max.
 
Mimi ni mpangaji wa muda mrefu hapa kwenye hii nyumba... Nilikuta nyumba haina umeme na mwaka 2004 niliweka umeme... Sasa miaka hii ya karibuni ilivyokuja kuenea luku nimepewa mita ya luku ambayo kila nikinunua umeme nakatwa asilimia Fulani ya deni la zamani
Sasa nimejenga nyumba yangu.. Nataka kuhamia bado sijaweka umeme.. Na siwezi kumwachia mwenye nyumba deni hilo..
Je naweza kuhamisha deni kutoka mita ya mama mwenyenyumba na kulihamishia kwenye mita yangu????
 
Jamii forum mna tatizo gani. Nimeweka post hapa kuhusu tatizo la kununua LUKU kupitia mitandao ya simu mmelifuta. Hadi sasa mitandao ya VODA, TIGO, HALOTEL inagoma kununua LUKU.. Inatoa ujumbe huu......

Ndugu mteja, hutoweza kufanya muamala huu kwa sasa tafadhari jaribu tena baadaye

Tangia saa moja jioni inagoma. Fikisheni ujumbe kwa TANESCO ndio mute post yangu.. Nipo gizani hapa
 
Tafadhari wasiliana na ofisi za Tanesco zilizo karibu nawe
 
Tafadhari wasiliana na ofisi za Tanesco zilizo karibu nawe

At this time!!!????
Use common sense. Hili ni tatizo kwenye mitandao yote ya simu. Unafikiri ofisi za TANESCO karibu yangu wana solution ya hili??

Sijasema umeme umekatika, bali umeisha na siwezi kununua LUKU kupitia mitandao yote ya simu..
Selah
 
KULIPA TULIPE THEN MJISIKIE KUTOA HUDUMA KAMA HAMUWEZI KUTOA HUDUMA TOENI TAARIFA MAPEMA MAANA TOKEA UHUHURU kILA MWAKA MAREKEBISHO TU.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kuna tatizo gani Mbezi na Msigani umeme unakatika mara kwa mara hata tunashindwa kufanya shughuli za kiuchumi na tunalala giza halafu hakuna taarifa yoyote wakati unakuta maendea mengine kama Saranga umeme upo? Tunaomba ufafanuzi wahusika
 
KULIPA TULIPE THEN MJISIKIE KUTOA HUDUMA KAMA HAMUWEZI KUTOA HUDUMA TOENI TAARIFA MAPEMA MAANA TOKEA UHUHURU kILA MWAKA MAREKEBISHO TU.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sio kila mwaka hawa TANESCO kila wiki ni kukata tena bila taarifa sababu wamezoea kutoa taarifa za uongo kumfurahisha malaika mkuu.
Sasahivi wanakata tu uongo umewaishia[emoji196] [emoji200] [emoji90] [emoji218]
 
Yani nimelipia nguzo mbili toka mwaka jana lakini mpaka sasa kila nikiuliza naambiwa hakuna vifaa.. Huu sio uungwana kwa kweli mnatuumiza sana. Hela zenyewe tunazitafuta kwa shida tunawapa alafu tunaanza kuzungushw hivi.
 
Wanabodi,

Tangu wiki iliyopita, watu wengi wa maeneo ya Tegeta na Bunju (kwa kiwango kikubwa) wanashuhudia umeme kuwa mdogo wakati wa usiku na mchana. Maeneo mengi yanakuwa na giza na kuwa kivutio kwa uhalifu. Hili linatokea kwa watu hao, kesho linaweza kutokea maeneo mengine. Wekeni mambo sawa, tuwashe viwanda vya uzalishaji tumuunge mkono JPM.

Nelson,
Dar es Salaam
 
Jamani wanajamvi hebu niambieni, kuna mtu yeyote ambaye tatizo lake limetatuliwa kwa kuandika kwenye thread hii ? Nimeandika kuhusu TANESCO Mbezi, badala ya kufuatilia limefutwa, je TANESCO wanufurahia uzembe wa ofisi yao ya Mbezi ? Wanataka Raisi atatue matatizo mangapi ? Kama mnataka kila kitu kiende kwa Raisi sawa ila msitulilie baadaye.
 
Back
Top Bottom