Sawa, ngoja nidemkie huko
Sawa, ngoja nidemkie huko
Mkuu we ni mgeni katika hili taifa letu ?Wakuu leo AIRTEL na TIGO, luku imegoma! naomba anaejua mitandao mwingine ninayoweza kununua umeme aniambie.
Hadi kwa wakala mtandao hakunaKwa mawakala vipi kwani?
Pole mkuu nivile unit hazifai kupunguzia mtuHadi kwa wakala mtandao hakuna
Anatoa taarifa. Mfano hapa kwetu tumeshahangaika hadi basiSo what?
Ila unaweza mnunulia ππPole mkuu nivile unit hazifai kupunguzia mtu
Mtandao sasaIla unaweza mnunulia ππ
Menyu yao ni ngap ngapi mkuuKwa leo mtandao wa ttcl ndio unaokubali kununua umeme wa luku, mingine nimeshindwa!
*150*71#Menyu yao ni ngap ngapi mkuu
shukraan mkuu*150*71#