Tumepokea taarifa zako kwa hatua zaidi tafadhaliSidhani kama site ya kutoa malalamiko inachagua jinsi ya kuripoti tatizo. Na hii kauli yenu ya tunatatua tatizo nadani ya saa 24 toka mteja katoa huduma ina tija! Nimetoa taarifa na kupewa namba ya taarifa nimekuja kushangaa napigiwa simu na kutolewa kauli ya kushutumiwa juu ya taarifa niliyota hapa na kupigiwa cm ambayo mimi kama mteja wenu sikuona mantiki na pia ni simu ambayo haina staha kbs. Je huu ukurasa sio rasmi kwenu Tanesco? Na je ni kosa kuleta malalamiko hapa. Najiandaa kulala giza tena na leo najua fika hamtokuja na sina nia tena ya kukumbushia hili. Ila tu nimesikitishwa na simu ya mfanyakazi wenu ambaye katumia simu namba 0788379696.
Nyie hamna nia ya kutatua matatizo. Hapa natumia jina bandia lakini wewe unataka nijiweke wazi. Hapana. Huko kote tunapolalamika kuna matatizo , ofisi zenu zipo, fuatilieni kujua ukweli na kuwachukulia ukweli. Pale TANESCO nyamagana, %kubwa ya wafanyakazi wenu ni wala rushwa.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya mita
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Unaweza kutuma hata inbox kwa kuwa TANESCO tunatumia taarifa za mteja husika na sio ananymous, tafadhali onyesha ushirikiano wakoNyie hamna nia ya kutatua matatizo. Hapa natumia jina bandia lakini wewe unataka nijiweke wazi. Hapana. Huko kote tunapolalamika kuna matatizo , ofisi zenu zipo, fuatilieni kujua ukweli na kuwachukulia ukweli. Pale TANESCO nyamagana, %kubwa ya wafanyakazi wenu ni wala rushwa. Kupata control no mpaka mtu atoe rushwa, kupata meter rushwa, yule anayepanda juu ya nguzo rushwa, meter kusajiliwa rushwa. Nenda TANESCO nyamagana, waulizeni kwanini hawasajili meter?. Nadhani wanataka mtu ashindwe kununua token ili aende ofisini kwao, atoe rushwa ndio meter no isajiliwe.
Ndugu mpendwa mteja wetuWakati huu tulionao ni wakati tete sana hasa kuhusiana na ugonjwa wa corona. Tuliaminishwa huko nyuma kuwa ugonjwa huo haukuwa tishio kwa maisha yetu hivyo tuendelee na shuhuri zetu kama kawaida na bila tahadhari; lakini hivi sasa viongozi wetu wamegundua Kuwa corona ni tishio kwa uhai wetu na hivyo wananchi hatuna budi kuchukua tahadhali juu ya maambukizi!!
Ningewaomba viongozi wa TANESCO wawakataze tabia ya mafundi wao kuingia majumbani kwa watu bila sababu za msingi kwa kisingizio cha kufanya ukaguzi usioeleweka yote hiyo ikiwa kuwasumbua wazee wa watu waliostaafu na kupumzika. Na hawa wazee ndio hasa wanaoathirika na haya maradhi; hivyo tafadahalini wakatazeni mafundi wenu kugonga gonga majumbani mwa watu bila sababu ili hali kwa kuingia majumbani mwa watu wanaweza kuwaambukiza wazee haya maradhi!!!
Ndugu mpendwa mteja wetu
Tafadhali tambua ukaguzi unaofanyika ni kwa mujibu wa sheria na wakati mwingine usalama wa wateja wetu.Kwa aina ya kazi za TANESCO kama itahitajika mtaalamu wetu kufika eneo husika inatulazimu kufanya hivyo.Aidha tunapokea ushauri wako kuendelea kuchukua tahadhari ili kujinga na kuwakinga wateja wetu.
TANESCO HUDUMA KWA WATEJA
MAKAO MAKUU
TANESCO ,ina maana bandiko langu hamjaliona au?Tumelipia umeme baada ya survey kwa control number 991032358153 ,shilingi 27,000 za kitanzania.Tarehe 4 February 2021--Ila hadi leo hawajaja kufunga umeme.
Ndugu mpendwa Mteja wetuTANESCO ,ina maana bandiko langu hamjaliona au?
Ushahidi huo hapo nje nje! mki-trace hamuoni kuwa malipo yalifanyika na mko nje ya makubaliano?
Mmechukua hatua gani hadi sasa?maana hata hizo namba mmeweka hapo ukipiga unapewa jobcard number--na hawakurudii tena.
Kwanini mnakuwa wezi?
Tumeona taarifa yako instagram tunakujibu tafadhaliSamahani TANESCO . Nipo mbali na nyunbani na nyunbani Kuna Bibi pekee hajui kusoma. Tafadhali Naomba mniangalizie idadi ya units zilizobaki ili nifanyie mpango wa kununua kabla hazijaisha kabisaa ili huyo Bibi asilale gizani. Namba ya mita ni 37220559852. Ahsante
Tanesco malipo ya fidia ya mradi wa 400 KVAKINYEREZI MNATULIPA LINI FIDIA ZETU MLIKUJA MKASEMA WEEK YA MWISHO WA MWEZ WA SITA SASA NI MWEZ WA SABA NA UNAENDA KUISHA MMEMWAMBIA MBUNGE NA MWENYEKITI WETU KUWA MTAKUKA TAREHE 17 MWEZ HUU TUNATAKA MALIPO KAMA HAMUWEZ TUAMBIENI TUENDELEZE MAKAZ YETU TUNASHINDWA HATA KUBORESHA NYUMBA ZETU KWA KUWA MMESHAFANYA TATHIMIN TOKA MWAKA 2017 MNA NIA GAN NA SISITumeona taarifa yako instagram tunakujibu tafadhali
Tafadhali tusaidie namba ya simu na ukaribie ofisini pia kwa kuwa swala la madai lina taratibu zakeTanesco malipo ya fidia ya mradi wa 400 KVAKINYEREZI MNATULIPA LINI FIDIA ZETU MLIKUJA MKASEMA WEEK YA MWISHO WA MWEZ WA SITA SASA NI MWEZ WA SABA NA UNAENDA KUISHA MMEMWAMBIA MBUNGE NA MWENYEKITI WETU KUWA MTAKUKA TAREHE 17 MWEZ HUU TUNATAKA MALIPO KAMA HAMUWEZ TUAMBIENI TUENDELEZE MAKAZ YETU TUNASHINDWA HATA KUBORESHA NYUMBA ZETU KWA KUWA MMESHAFANYA TATHIMIN TOKA MWAKA 2017 MNA NIA GAN NA SISI
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Najua kuna taratibu na zmeshafanyika mmetufanyia tathimin maana yake mtulipe au tulifikishe ngaz za juu maana mnakuja kila siku na story mpya na pesa kutoja hazina za kutulioa mshapewa kwa nn hamtulipi uliza swala kwa wahusika uje na majibu ya msing kama had mbunge wetu mnamuongopea auTafadhali tusaidie namba ya simu na ukaribie ofisini pia kwa kuwa swala la madai lina taratibu zake
Siyo MimiTumeona taarifa yako instagram tunakujibu tafadhali