Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,804
- 2,128
Kwetu upo1. MWANZA hakuna umeme
2. Moshi Kilimanjaro hakuna umeme
3. Geita , Katoro hakuna umeme
4.
5.
Kwani hajui uozo wa Tanesco?!! Vipi huko kwenu sukari shs ngapi?!! Kuanzia kesho karibu nchi nzima sukari itakua ya kusaka kama rupia!!Bashite ajitahidi kuzungumxia Tanesco sio kumpa mama sifa za kishamba na kichawa..
Chifu huku nchi ndo inapata token ya kugharamia capacity charges ya kuendesha Tanesco๐Mkuu Sina hela za kula starehe.
Asantee sanaDadalakee Karibu supu hapa Milestone...Tanesco ilishaga jifia miaka mingi tu
Giza tupu. Tanesco mlaaniwe mpigwe na shoti ya umeme wenu
Si mpaka niwe na hela ya Kuja huko?Chifu huku nchi ndo inapata token ya kugharamia capacity charges ya kuendesha Tanesco๐
4. Kiteto Manyara umeme umerudi dk 10 zilizopita na unayumba kweli.1. MWANZA hakuna umeme
2. Moshi Kilimanjaro hakuna umeme
3. Geita , Katoro hakuna umeme
4.
5.
Visiwani hakuna mgao wa umeme, ni huko kwa wadanganyika msiojielewa ndo mnagawiwa umeme.@FaizaFoxy kwake kuna umeme wa Tanesco?
Kwani unasoma?Haina mwanga wakutosha
wamesharudi? na Abdul alikuwepo?Hivi na biteko alienda Indonesia?
Pole huku umerudi lkn wakati wowote watakata.Hawa jamaa ni nyumbu kabisa
Hapa nilipo tangu saa 12 asubuhi hadi muda huu saa 2usiku hatuna umeme
Yaani badala ya Rais kuingilia kati hili tatizo ameamua akakate keki ya kumbukizi ya kuzaliwa kwake.
Bado maji hayajajaa????????Teh! [emoji1][emoji1]