Habari ndugu Abel asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto, ukishapata mkandarasi na akisha jaza taarifa zako kwenye mfumo nadani ya siku 7 za kazi surveyor anafika na kufanya tathmini kisha mteja anasubiri kupatiwa control number kwa ajili ya malipo, tafadhali tupatie namba ya ombi kwa ufutiliaji zaidi.^OKHabari Tanesco
Naomba kujua.
Ikiwa taarifa za maombi yamepokelewa na mkandarasi na kupewa mrejesho,
Je, 𝙞𝙣𝙖𝙘𝙝𝙪𝙠𝙪𝙖 𝙢𝙪𝙙𝙖 𝙜𝙖𝙣𝙞 𝙆𝙪𝙚𝙣𝙙𝙚𝙡𝙚𝙯𝙖 𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙝𝙪𝙙𝙪𝙢𝙞𝙬𝙖/𝙠𝙪𝙪𝙣𝙜𝙖𝙣𝙞𝙨𝙝𝙞𝙬𝙖 𝙪𝙢𝙚𝙢𝙚?
𝘼𝙗𝙚𝙡 𝙁𝙧𝙖𝙣𝙠
𝙈𝙠𝙪𝙣𝙙𝙞 𝙢𝙬𝙞𝙨𝙝𝙤
𝙅𝙞𝙧𝙖𝙣𝙞 𝙣𝙖 𝙤𝙛𝙞𝙨𝙞 𝙯𝙖 𝙠𝙖𝙩𝙖 𝙯𝙖 𝙯𝙖𝙢𝙖𝙣𝙞
𝙒𝙞𝙡𝙖𝙮𝙖 - 𝙈𝙤𝙧𝙤𝙜𝙤𝙧𝙤
𝙈𝙠𝙤𝙖 -𝙈𝙤𝙧𝙤𝙜𝙤𝙧𝙤.
0753927572
𝙉𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙤𝙢𝙗𝙞 -1912232123
𝙏𝙖𝙧𝙚𝙝𝙚 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙤𝙢𝙗𝙖 -25/01/2024
𝙃𝙄𝙩𝙖𝙟𝙞 - 𝙃𝘼𝙍𝘼𝙆𝘼
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto, tafadhali tufahamishe eneo lenye changamoto kwa ufuatiliaji zaidi.^OKTANESCO sweetheart, nini shida? Hiki kipande chetu kimebarikiwa, ila sku hizi mmetuanzishia saa 1 mpk saa 3. Tunamiss taarifa za habari aisee.
mimi bado nawamini sana mafundi mitambo wa shirika la umeme
No sory, Ni tarehe 20/1/2024Naomba Msaada kuunganishiwa umeme, Nimelipia tangia tarehe 20/1)2023
Mahali : MTWARA MJINI
Mtaa: Ufukoni stendi
Jina. AUREUS CHARLES NDIMBO
Simu. 0683420332
Nitashukuru sana
Naomba Msaada kuunganishiwa umeme, Nimelipia tangia tarehe 20/1)2023
Mahali : MTWARA MJINI
Mtaa: Ufukoni stendi
Jina. AUREUS CHARLES NDIMBO
Simu. 0683420332
Nitashukuru sana
| Habari ndugu mteja ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, ombilako lenye namba 021023-0921 na jina AUREUS CHARLES NDIMBO, lipo hatua ya kuunganishwa na huduma wakati wowote kuanzia sasa watalamu wetu watakufikia na kukupatia huduma.^OK |
nyie TANESCO ni shirika la wajinga
Habari ndugu mteja ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, ombilako lenye namba 021023-0921 na jina AUREUS CHARLES NDIMBO, lipo hatua ya kuunganishwa na huduma wakati wowote kuanzia sasa watalamu wetu watakufikia na kukupatia huduma.^OK
Ok thanks kwa majibu mazuri. I mark this date nasubiri
Habari ndugu mteja ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, ombilako lenye namba 021023-0921 na jina AUREUS CHARLES NDIMBO, lipo hatua ya kuunganishwa na huduma wakati wowote kuanzia sasa watalamu wetu watakufikia na kukupatia huduma.^OK
Achana na hizi mifugo nunua sola panel kuepuka stresNaomba Msaada kuunganishiwa umeme, Nimelipia tangia tarehe 20/1)2023
Mahali : MTWARA MJINI
Mtaa: Ufukoni stendi
Jina. AUREUS CHARLES NDIMBO
Simu. 0683420332
Nitashukuru sana
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Achana na hizi mifugo nunua sola panel kuepuka stres