Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Nashukuru sana kwa msaada. Nimefanikiwa kuingiza unit za umemeBonyeza 0nambaya mita0namba ya mita ok kisha itaandika good kisha ingiza umeme wako
Pole sana ndugu mteja, kwa sasa maeneo ya Kimara mwisho baadhi walikuwa wanakosa umeme baada ya hitilafu,Huku mbezi ya kimara umeme umekatika SAA kumi na moja kamili jioni hii....Tanesco mnatuharibia siku
Pole sana ndugu mteja, kwa sasa maeneo ya Kimara mwisho baadhi walikuwa wanakosa umeme baada ya hitilafu,
Je eneo lako huduma imerejea
Tunafuatilia mteja tutakujulishaNaomba kuuliza moshi kuna matatizo gani# maaana tunalazana usiku bila umeme na ukija unakuja usiki sa 7-8 na kukatika tena sa 2 so nini maana yake ? Na nikwa eneo moja tu uku mengine yana umeme au ndo mgao umerudi tujue?
Tuombe tu # mbadala upatikane kama kampuny za simu [HASHTAG]#maana[/HASHTAG] tunateswa na pesa ni zetu yakija makampuny mapya ili litaanguka vibaya kama ttclTanesko n ttcl ni mapacha kwa kila kitu kuanzia matatizo, usanii, matamko na kila aina ya ulaghai na urasimu.
Maeneo ya rau/ ushirikaMoshi eneo gani
Namba ya simu tafadhali