TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Usalama wa wanamchi ndio kipaumbele kwanza. Natumaini watatoa tamko pia maana siku hizi wanaminyia sana taarifa..
 
Wasije kufukuza mtu kazi tu si unajua wanasiasa wa kigamba kwa mhemko.
 
1a41feed376e24c9e3dbf98f4ae44886.jpg
 
Nilileta malalamiko yangu hapa,,kuhusu kuletewa umeme,,ni muda sawa ,lkn namshukuru Mungu wamekuja kunifungia,,
 
Nilileta malalamiko yangu hapa,,kuhusu kuletewa umeme,,ni muda sawa ,lkn namshukuru Mungu wamekuja kunifungia,,
Asante kwa mrejesho huo, na kwa niaba ya Shirika tunaomba radhi kwa hilo ndugu mteja
 
Huku mbezi ya kimara umeme umekatika SAA kumi na moja kamili jioni hii....Tanesco mnatuharibia siku
Pole sana ndugu mteja, kwa sasa maeneo ya Kimara mwisho baadhi walikuwa wanakosa umeme baada ya hitilafu,

Je eneo lako huduma imerejea
 
Naomba kuuliza moshi kuna matatizo gani# maaana tunalazana usiku bila umeme na ukija unakuja usiki sa 7-8 na kukatika tena sa 2 so nini maana yake ? Na nikwa eneo moja tu uku mengine yana umeme au ndo mgao umerudi tujue?
 
Tanesko n ttcl ni mapacha kwa kila kitu kuanzia matatizo, usanii, matamko na kila aina ya ulaghai na urasimu.
 
Tunafuatilia mteja tutakujulisha
 
Tanesko n ttcl ni mapacha kwa kila kitu kuanzia matatizo, usanii, matamko na kila aina ya ulaghai na urasimu.
Tuombe tu # mbadala upatikane kama kampuny za simu [HASHTAG]#maana[/HASHTAG] tunateswa na pesa ni zetu yakija makampuny mapya ili litaanguka vibaya kama ttcl
 
Tanesco ilala
eneo lla kiwalani kuanzia airport leo siku ya 3 hakuna umeme kisa nguzo imeanguka kwenye maji .wakazi wa maeneo haya wanategemea maji ya kupampu hakuna ya dawasco kwa hali hiyo tanesco msipoharakisha hali ni tete kipindupindu tunaomba itumike nguvu ya ziada
 
Back
Top Bottom